Watanzania wa haki ya kuhoji ukimya wa waziri mkuu mizengo pinda kwa sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wa haki ya kuhoji ukimya wa waziri mkuu mizengo pinda kwa sasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lu-ma-ga, Jun 3, 2011.

 1. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,843
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Wahenga walisema kimya kingi kina mshindo mkuu, katika kipindi cha mwezi Mei waziri wetu mkuu amekuwa kimya kiasi cha kutia shaka, kulikoni????? mshindo mkuu unaosubiriwa utakuwa hasi au chanya????
  Inavyoonekana kuna hitilafu ambayo haijawekwa wazi juu ya utendaji wake.

  Plse mwenye taarifa atujuze, maana huyu ndiyo mtendaji mkuu wa serikali na pia bunge la bajeti liko mbioni kuanza lakini yeye hajulikani aliko.Mara ya mwisho kwake kuongea kupitia media ilikuwa siku ya kusaini ujio wa misaada ya wahisani wachangiaji wa bajeti ambapo tz ilikubaliwa kupatiwa dola za kimarekani 453 million pungufu na za mwaka jana (534millioni)
   
 2. MALUNGU

  MALUNGU JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Membe alituambia alikuwa uingereza ku-check afya! may be ameshauriwa apumzike b4 ya kikao kirefu cha bunge next week.
   
Loading...