Unajua maana ya diaspora??Watanzania waishio nje ya nchi wameanza kufunga virago na kuyahama matawi ya ccm yalofunguliwa nje ya Tanzania .
Hali hio imejitokeza kutakana na kauli ya ya Mh Lukuvi kuwaona wao sio pati ya Watanzania na mchango wao hauna faida yoyote katika mother land yao.
Wengi wameichukulia kauli ya Mh Lukuvi nikama vile kisasi cha kutaka kuwakomoa .
Mtandao wetu umewasiliana na wana diaspora wa Tanzania nakusema wamevunjwa moyo sana na kauli za Mh huyu kuto kujali mchango wao katika nchi yao.
Katika kuhojiana na wana Tanzania wanaoishi nje wamehudhunishwa sana na kauli zake .
Hata kama wao wako nje lakini kikazi na bado wao ni watanzania na wanaipenda nchi yao na ndio maana wanacho kipata hukutuma nyumbani ili kiwezi kusaidia wao na ndugu zao na jamii ilio wazungumka kwa ujumla.
Wamekua wakisema sisi si wachina au wa south africa kua tuhamishe Tanzania na kupeleka katika ma-nchi yetu no.
Sisi ni watanzania ,Tumezaliwa Tanzania na kuwa na wazee ndugu na jamaa Tanzania na Tanzania ndio kwetu.
Hatuwezi kujenga china au popote pale zaidi ya kujenga kwetu katika nchi yetu kwenye chimbuko la wazee wetu na ndugu zetu .
Nilazima tuekeze kwetu na tu-invest home land kama wana diaspora wengine katika kuwekeza nchi zao .
...CCM pampalama...Bocheleli CCM pampalama...ccm dah
Kumbe ccm waliwapa ahadi hii hewa ndiyo maana mlikua mnakata mauno kusheherekea na madera ya kijani..
Ubaguzi utakutafuna mpk wewe na wanao.Wa Tanzania wa Diaspora hawajawa affected ila ni wale walioukana uraia wa Tz na kuwa raia wa nchi nyingine!! mueleweni Lukuvu sawa sawa. Mimi ningesema wale wazawa wangeruhusiwa kuwa na uraia pacha (yaani wamatumbi, wamangati, wahazabe, and of the like) na siyo Waajemi, waarabu, wahindi and of the like) kwani mmatumbi even if ni kizazi cha tano bado origin ni umatumbini, I hope hapa mnanielewa na siyo kumwaga mchele mbele ya kuku wengi!!!
We uko wapi kwanza tujueKama ni Watanzania ila ni diaspora wanakuwa affected vipi na kauli ya Mh. Lukuvi?
Hivi Mh. Lukuvi mlimuelewa au mnataka kudandia matukio kama kawaida yenu.
Hii habari ni ya kiudaku. Haina source, haina tawi hata moja lililotajwa kukimbia. Kweli?Watanzania waishio nje ya nchi wameanza kufunga virago na kuyahama matawi ya ccm yalofunguliwa nje ya Tanzania .
Hali hio imejitokeza kutakana na kauli ya ya Mh Lukuvi kuwaona wao sio pati ya Watanzania na mchango wao hauna faida yoyote katika mother land yao.
Wengi wameichukulia kauli ya Mh Lukuvi nikama vile kisasi cha kutaka kuwakomoa .
Mtandao wetu umewasiliana na wana diaspora wa Tanzania nakusema wamevunjwa moyo sana na kauli za Mh huyu kuto kujali mchango wao katika nchi yao.
Katika kuhojiana na wana Tanzania wanaoishi nje wamehudhunishwa sana na kauli zake .
Hata kama wao wako nje lakini kikazi na bado wao ni watanzania na wanaipenda nchi yao na ndio maana wanacho kipata hukutuma nyumbani ili kiwezi kusaidia wao na ndugu zao na jamii ilio wazungumka kwa ujumla.
Wamekua wakisema sisi si wachina au wa south africa kua tuhamishe Tanzania na kupeleka katika ma-nchi yetu no.
Sisi ni watanzania ,Tumezaliwa Tanzania na kuwa na wazee ndugu na jamaa Tanzania na Tanzania ndio kwetu.
Hatuwezi kujenga china au popote pale zaidi ya kujenga kwetu katika nchi yetu kwenye chimbuko la wazee wetu na ndugu zetu .
Nilazima tuekeze kwetu na tu-invest home land kama wana diaspora wengine katika kuwekeza nchi zao .
Nimemsikiliza Lukuvi vizuri hasa kwa reference anazotoa za Patel wa Mwanza. Huyu bwana ana address ya Nzega na ameishi Tanzania kwa zaidi ya miaka hamsini. Hapa Mwanza ni agent wa Toyota kanda ya Ziwa na biashara nyingi sana kubwa. Hawa wameishi na kuzaliwa hapa. Hivi kosa lao labda ni kuwa na uraia wa nchi nyingine.Watanzania waishio nje ya nchi wameanza kufunga virago na kuyahama matawi ya ccm yalofunguliwa nje ya Tanzania .
Hali hio imejitokeza kutakana na kauli ya ya Mh Lukuvi kuwaona wao sio pati ya Watanzania na mchango wao hauna faida yoyote katika mother land yao.
Wengi wameichukulia kauli ya Mh Lukuvi nikama vile kisasi cha kutaka kuwakomoa .
Mtandao wetu umewasiliana na wana diaspora wa Tanzania nakusema wamevunjwa moyo sana na kauli za Mh huyu kuto kujali mchango wao katika nchi yao.
Katika kuhojiana na wana Tanzania wanaoishi nje wamehudhunishwa sana na kauli zake .
Hata kama wao wako nje lakini kikazi na bado wao ni watanzania na wanaipenda nchi yao na ndio maana wanacho kipata hukutuma nyumbani ili kiwezi kusaidia wao na ndugu zao na jamii ilio wazungumka kwa ujumla.
Wamekua wakisema sisi si wachina au wa south africa kua tuhamishe Tanzania na kupeleka katika ma-nchi yetu no.
Sisi ni watanzania ,Tumezaliwa Tanzania na kuwa na wazee ndugu na jamaa Tanzania na Tanzania ndio kwetu.
Hatuwezi kujenga china au popote pale zaidi ya kujenga kwetu katika nchi yetu kwenye chimbuko la wazee wetu na ndugu zetu .
Nilazima tuekeze kwetu na tu-invest home land kama wana diaspora wengine katika kuwekeza nchi zao .
Wako watoto wa mawaziri hapo wana uraia wa nje na wamejenga mahoteli makubwa sana huko Beach.Nimemsikiliza Lukuvi vizuri hasa kwa reference anazotoa za Patel wa Mwanza. Huyu bwana ana address ya Nzega na ameishi Tanzania kwa zaidi ya miaka hamsini. Hapa Mwanza ni agent wa Toyota kanda ya Ziwa na biashara nyingi sana kubwa. Hawa wameishi na kuzaliwa hapa. Hivi kosa lao labda ni kuwa na uraia wa nchi nyingine.
Kwa mtindo huu wafuatiliwe akina Nyalandu ambao wana uraia wa marekani. Kama suala ni uhindi au uarabu basi tukumbuke akina Amir Jamal hawakuzikwa hata tanzania baada ya kufariki. Kwa mtindo huu akina Manji na wafadhili wengi wa chama hicho wataondoka na nina hakika wengi wa mawaziri wana uraia mara nyingi tu!! Tuache double standard kama tunataka kuoverhaul tufanye kweli siyo majungu. Ama sivyo ninamuona Idd Amin akija tanzania na kufukuza waasia.
Huo mtandao wenu kwa nini msiutumie kutuletea Ben?Watanzania waishio nje ya nchi wameanza kufunga virago na kuyahama matawi ya ccm yalofunguliwa nje ya Tanzania .
Hali hio imejitokeza kutakana na kauli ya ya Mh Lukuvi kuwaona wao sio pati ya Watanzania na mchango wao hauna faida yoyote katika mother land yao.
Wengi wameichukulia kauli ya Mh Lukuvi nikama vile kisasi cha kutaka kuwakomoa .
Mtandao wetu umewasiliana na wana diaspora wa Tanzania nakusema wamevunjwa moyo sana na kauli za Mh huyu kuto kujali mchango wao katika nchi yao.
Katika kuhojiana na wana Tanzania wanaoishi nje wamehudhunishwa sana na kauli zake .
Hata kama wao wako nje lakini kikazi na bado wao ni watanzania na wanaipenda nchi yao na ndio maana wanacho kipata hukutuma nyumbani ili kiwezi kusaidia wao na ndugu zao na jamii ilio wazungumka kwa ujumla.
Wamekua wakisema sisi si wachina au wa south africa kua tuhamishe Tanzania na kupeleka katika ma-nchi yetu no.
Sisi ni watanzania ,Tumezaliwa Tanzania na kuwa na wazee ndugu na jamaa Tanzania na Tanzania ndio kwetu.
Hatuwezi kujenga china au popote pale zaidi ya kujenga kwetu katika nchi yetu kwenye chimbuko la wazee wetu na ndugu zetu .
Nilazima tuekeze kwetu na tu-invest home land kama wana diaspora wengine katika kuwekeza nchi zao .
Nipo hapa mikoroshini zanzibar karibu tule wali bilinganyaWe uko wapi kwanza tujue