Watanzania wa Dar! Andaeni mabango...

FBI watatenga eneo la protestors, Ulinzi utaimalishwa kuwadhibiti kama wakivuruga utaratibu. Policcm hawalijui hilo, wanachofanya ni kuficha ukweli, Kuwakamata watu wenye mabango ndio kutasababisha fujo. By the way why did you exclude yourself?

Sipo dar mkuu!
 
hahaha duuh kweli JF ni kiboko kwa ubunifu, sasa? Kwenda Airport pale ndio shughuli pevu maana mamwela wa mhusika kwenye bango hapo juu watalipora na kulificha bango lenyewe

Wale wa mamtoni hawana shida..
 
Hebu wale KUNJI wa Udsm na wale wataalam wa kuchora mabango kutoka vyuo mbalimbal 2kianzia na Ud, AiA na kwingneko watusaidie mimi naomba kushika bango!
 
Watakuja mkuu! utapenda kushika bango la saizi gani?
 
usidanganye wenzetu, kuwa haupo Dar, acheni tumpokee kwa AMANI kwani kaichagua Tanzania na Mji Salaam tunapata sifa nyingi hata km ni kwa uzoba wetutumeshaambiwa tusiingie Dar sasa ya nini ujinga wa kupambana na virungu?

Ndio vizuri mtampandisha chati JK kwa sababu IT WILL PROVE HOW DEMOCRATIC WE ARE. Gud approach
 
Sio lazima bango la maandishi, unaweza kujitokeza hata na picha ya 'tembo anayedondokwa machozi baada ya kunyofolewa pembe'

Ujumbe utafika tu hata ukichelewa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
wewe unaenda wapi ? andika kwanza
 
Mkuu we hewa kwali kwani obama baba yako mpaka upeleke yanayokusibu upeo huu utakuwa wa kibavicha tu.
 
usidanganye wenzetu, kuwa haupo Dar, acheni tumpokee kwa AMANI kwani kaichagua Tanzania na Mji Salaam tunapata sifa nyingi hata km ni kwa uzoba wetutumeshaambiwa tusiingie Dar sasa ya nini ujinga wa kupambana na virungu?

Mkuu wewe unayetaka mabango yaandae halafu kaandamane nyumbani kwako au kwenu make wewe lazima utakuwa mtoto wa mama tu
 
hahaha duuh kweli JF ni kiboko kwa ubunifu, sasa? Kwenda Airport pale ndio shughuli pevu maana mamwela wa mhusika kwenye bango hapo juu watalipora na kulificha bango lenyewe
Safi sana pinda wapigwe tu,watakupiga tu.
 
usidanganye wenzetu, kuwa haupo Dar, acheni tumpokee kwa AMANI kwani kaichagua Tanzania na Mji Salaam tunapata sifa nyingi hata km ni kwa uzoba wetutumeshaambiwa tusiingie Dar sasa ya nini ujinga wa kupambana na virungu?

Ukwaju! kwanini niseme uongo? mi sipo dar..then kumpokea kwa amani wakati yeye kaja kwa maswala ya demokrasia, ukikaa kimya utakuwa hujaitendea haki hiyo demokrasia...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu we hewa kwali kwani obama baba yako mpaka upeleke yanayokusibu upeo huu utakuwa wa kibavicha tu.

Ona ulivyo na akili za kiduwanzi!
Unataka kusema rais wa marekani anakuja kwa ajili ya ccm!
Na si ajabu watu wa type yako mkatimba na mavazi ya chama!

think less gamba!!!
 
Mkuu wewe unayetaka mabango yaandae halafu kaandamane nyumbani kwako au kwenu make wewe lazima utakuwa mtoto wa mama tu

Aliyesema kuandamana ni nani?
Unakurupuka tu!!

Btw..una uhuru wa kuongea na hayo ndiyo mawazo yako!!
 
usidanganye wenzetu, kuwa haupo Dar, acheni tumpokee kwa AMANI kwani kaichagua Tanzania na Mji Salaam tunapata sifa nyingi hata km ni kwa uzoba wetutumeshaambiwa tusiingie Dar sasa ya nini ujinga wa kupambana na virungu?

ona hao wanavyomponda hawampendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…