Watanzania uuuwi! uuuwi! uuwi!

Wengi wetu ni wavivu hasa wakufikiri ndo maana tunadondokea kwenye njia ya mkato ya kutembeza bakuli kwa wahisanai na kujisifu.Hatuwezi tukajenga uchumi wa nchi tena ukawa imara kwa kuwa omba omba.
 
Avatar mbona ipo bomba tu, hizo ndio nyumba za kuenziwa.
pRETTY, pRETTY, pRETTY, mbona unaongeza kilio changu kweli nma wewe ndio wale wanaoamini hakuna mabadiliko yatayotokea Tanzania? Nyumba za kuenziwa, unamaanisha nini? Bibi na Babu, Baba na Mama yako wanaishi uko moshi unawazunguka, udongo unawdondokea usiku wakiwa wamelala. Wanalala na wajukuu kitanda kimoja pamoja na umri wao mkubwa. Wewe Pretty wanalala na kuku, ng'ombe na kondoo ndani halafu unasema nyumba za kuenziwa una maana gani wewe dada. Wewe unakula less, unadrink less unaexercise more uko wenzako hiyo kula less hawaijui kuwa ni less kwasabbu siku zote hakitoshi. Kuna njaa ya kufa mtu watoto, wamama, wababu na wababa pamoja na mifugo yao inakufa njaa. Mbona Pretty unanillazimisha niamini kuwa wewe sio mmoja wetu wakati nilikuwa naamini kuwa u mpambanaji sio wa maneno tu bali wa vitendo.
Pretty nyumba za kuenziwa sawa lakini zikae kwenye kijiji cha Makumbusho na sio watu wakae huko miaka nenda miaka rudi . Prety sikutaka kulia leo Jumamosi ila umeamsha kilio changu kwa mchango wako wenye msukumo wa kuwaona wanyonge na wabangaizaji kwenye televisheni na kusoma kwenye magazeti. Pretty uuuuwwiiiiiiiiii! uuuuwiiiiiiiiiii! Acha haya maneno mbofumbofu mbona wewe huishi uko kweny nyumba za kuenziwa ili uenziwe na nchi yako.
 
Mimi naiombea nchi yangu kila siku, I hope One day God will have mercy on us. Wapo walioandaliwa kuyatoa maisha yao kwa ajili ya wengi kama akina hayati Sokoine, na wengine, lakini wengine tutaendelea kumuomba Mungu, iko siku pande zote zitasimama, watoto kwa wakubwa,masikini, wajane, wafungwa, walemavu, wagonjwa,wanafunzi wa shule za msingi hadi vyuoni, kila kona, watasema sasa hapana, tumechoka. hapo ndipo tutakapoona ukombozi wa nchi yetu Tanzan, nchi iliyojaliwa maziwa na asali.
Zurich wewe ni mwema kwakuwa nchi inahitaji uzao wako na uzazi wako utaiitiisha hii nchi. Siku vilio vya hao hapo vikifika panapotakikana basi maneno yako yatatimia hakika na hii itakuwa kweli. Zurich simama wima na utetee nafasi yako na hakika utakumbukwa na kuenziwa. Toka mbele na unene na kutenda tazama ukiwa fisi kwa uoga kama Watanzania wengi tulivyo tutakufa na kusahaulika daima dumu.
 
Kwani wewe ulimchagua presidaa,sidhani kwani ungemchagua angekusikiliza lakini presidaa wetu anawasikiliza wafanyabiashara ndio maana hata mgao ulipoanza na sisi akina yakhe kuanza kupiga kelele hakutusiliza,Zitto kaongea akaonekana mchimvi lakini wafanyabiashara walipomwambia wakiwa wako kwenye viyoyozi akaamua hapo hapo IPTL ifungue mitambo,sasa nani anasikilizwa,besa bana sabuni ya roho
hakika mie sio mtu wa hadithi wala riwaya kama ambavyo wengi wenu mwaweza kuwa ila nashawashika kuamini kuwa mwenye nacho ataongezewa na kupata mpaka kupwaa. Mfianchi na kweli ufie nchi yako husiwe fisi na kusubiri mizoga ndio unyanyue mikono ukitamba kuwa umemuua swala au nyumbu. Husipige kelele na kuishia hapo twende public tunene nao na kutenda nao. Huku JF toka nimejiunga nimesoma michango mimgi mizuri na ya kupoendeza kuanzi kwenye siasa mpaka kwa JF Dokta lakini bado Watanzania na Tanzania kwa ujumla tuko nyuma na tumekalia kuti kavu hatusogei mbele zaidi ya kurudi nyuma tunachekwa na majirani zetu. Kumbuka sisi ndio tuliowasaidia kuwatoam kwa Mkoloni lakini leo wamepiga hatua kubwa mbele wametuacha. Wakati wa kulewa sifa za kijinga umepita tupambane na kutoka vifua mbele kama walivyofanya mababu na mabibi zetu. Mfianchi watu kama wewew wanaweza kunifuta machozi lakini bado ninalia Uuuwwwiiiiiiiiii! Uuuuwiiiiiiiiii!
 
Sipo..si haupo?
Asiyekuwepo na lake halipo.
Unatakiwa uwepo urekebishe mambo
wengi wanaokalia politiki hawapo!
 
Sipo..si haupo?
Asiyekuwepo na lake halipo.
Unatakiwa uwepo urekebishe mambo
wengi wanaokalia politiki hawapo!
veracity hakika Sipo lakini ni kama Invisible hasivyoonekana lakini kilio changu ni kwa kila Mtanzania! Kwa mfano wewe Vaercity umechangia umekimbia sitaki kuamini kuwa na wewe ni miongoni mwa wanaochanga mbuga na kuukimbia ukweli kuwa tuko nyuma na kukaa nyuma kunatufanya tuvimbiwe na mwishowe tunajihisi kuwa tumeshiba wakati walioko mbele wanakula vitu vitamu na mbatembate! Veracity hakika vitendo vyako ni vya thamani sana katika kulitoa taifa hili hapa lilipo na kulipeleka pale tunapolitaji.
Namshangaa hata Bubu Atakusema kuwa kamwe yeye hakutakiwa kusema kwani kwa vitendo tungeona imani yake na sisi tungepigana naye bega kwa bega. Sasa Bubu akitaka kusema hakika hii nchi haitosoge kamwe. Bubu njoo utoe vitendo na mimi nimeshaanza safari kitambo nina uhakika nitafika hata kama mtanikimbia maana nimeshajua wengi tu mafisi tusiosogelea kile kikombe cha moto
 
pRETTY, pRETTY, pRETTY, mbona unaongeza kilio changu kweli nma wewe ndio wale wanaoamini hakuna mabadiliko yatayotokea Tanzania? Nyumba za kuenziwa, unamaanisha nini? Bibi na Babu, Baba na Mama yako wanaishi uko moshi unawazunguka, udongo unawdondokea usiku wakiwa wamelala. Wanalala na wajukuu kitanda kimoja pamoja na umri wao mkubwa. Wewe Pretty wanalala na kuku, ng'ombe na kondoo ndani halafu unasema nyumba za kuenziwa una maana gani wewe dada. Wewe unakula less, unadrink less unaexercise more uko wenzako hiyo kula less hawaijui kuwa ni less kwasabbu siku zote hakitoshi. Kuna njaa ya kufa mtu watoto, wamama, wababu na wababa pamoja na mifugo yao inakufa njaa. Mbona Pretty unanillazimisha niamini kuwa wewe sio mmoja wetu wakati nilikuwa naamini kuwa u mpambanaji sio wa maneno tu bali wa vitendo.
Pretty nyumba za kuenziwa sawa lakini zikae kwenye kijiji cha Makumbusho na sio watu wakae huko miaka nenda miaka rudi . Prety sikutaka kulia leo Jumamosi ila umeamsha kilio changu kwa mchango wako wenye msukumo wa kuwaona wanyonge na wabangaizaji kwenye televisheni na kusoma kwenye magazeti. Pretty uuuuwwiiiiiiiiii! uuuuwiiiiiiiiiii! Acha haya maneno mbofumbofu mbona wewe huishi uko kweny nyumba za kuenziwa ili uenziwe na nchi yako.

Sipo huyu sio mwenzetu huyu matatizo yetu anayafanya maonyesho, Ni kweli babu na bibi hawapendi kukaa kwenye hiyo nyumba wangependa angalau siku moja kukaa oysterbay kwenye nyumba ambazo walilizimishwa kuzijenga kwa kukosa senti moja ya kodi ya kichwa. Akina bibi na babu Wakaichukia kodi na mengineyo wakaanza vurugu wazungu wakaondoka wakatuacha sisi. Mungu wangu, hamna tofauti na walioondoka, zile nyumba sasa ni zao sio za serikali tena. Mwambie babu achukue nyumba zao /zetu. Hii itawezekana akipiga kura msisitize kama haridhiki na hali basi mabadiliko lazima yaje na njia pekee ni kupiga kura. Pretty, muonee huruma babu, yeye hana choise, lakini wewe unakula less, una drink less una exercise more babu na bibi hawachagui chakula, ubuyu na asali ndio menu, miaka minne yote iliyopita, hivi uchaguzi umekaribia wanaona neema kidogo angalau wali pilau na T shirt mpya za kijani na njano. Mwisho kumbuka maisha yao ni exercise kila siku shambani toka alfajiri trekta hawana, plau walisahau kwani kiwanda cha ufi kilichokuwa mkonbozi wao wakubwa wamekinywa sasa ni godown, maji wanatafuta kilomita 14, saba kwenda saba kurudi, kuni misitu imekwisha bibi anafuata mbali kweli kweli vyote hivyo si mazoezi ni sehemu ya maisha. Pretty wasaidie babu na bibi, chonde chonde Pretty.
 
Zurich wewe ni mwema kwakuwa nchi inahitaji uzao wako na uzazi wako utaiitiisha hii nchi. Siku vilio vya hao hapo vikifika panapotakikana basi maneno yako yatatimia hakika na hii itakuwa kweli. Zurich simama wima na utetee nafasi yako na hakika utakumbukwa na kuenziwa. Toka mbele na unene na kutenda tazama ukiwa fisi kwa uoga kama Watanzania wengi tulivyo tutakufa na kusahaulika daima dumu.

Sipo i join Zurich in the bandwagon on our way to the promised land find others to join the train
 
Sipo, as the name suggests, by then hukuwepo lakini sasa hivi lazima uwepo ili uwe part of the change we believe in and to do so you have to vote mpe pole sana bibi mwambie mabadiliko atakayoyaona yatamfanya asimulie vizazi vijavyo kuwa waliokuwepo hawakufanya tulivyowatuma na walivyotuambia kuwa watafanya. Mwambie mabadiliko yatakuja kwa yeye na wazee wenzie wenye hasira kujiamndikisha kwenye daftari la wapiga kura, wasichukue T shirt, wasile pilau na awsichukue Takrima yoyote na siku ya mkesha wa uchaguzi mwaka kesho waamke mapema wapange foleni ili wapige kura kuleta mabadiliko.Na kwako wewe usichane kitambulisho chako, badala yake tafuta watu wengine mia waambie waende wakajiandikishe kwenye daftari la kura ili wawe sehemu ya mabadiliko.Waambie na wao wawaambie watu mia wengine ambao watawaambia watu mia wengine. As for me Sipo, mapambano yako kwenye ballot, kwani umesahau wahenga walisema a ballot is better than a bullet, i vote every time for a change but it has never happened. For a change we have to vote for a change, alllllllllllllllllllllll of us who beleieve in it.

Mkuu ballot gani hiyo unayoizungumzia? Ballot ya Tanzania haitakaa iwe na nguvu mpaka Watanzania tutakapofumbuka macho na kudai mabadiliko ya katiba and hence tume ya uchaguzi iliyo huru. Kwa mazingira ya sasa hata mkijitokeza watanzania wote mkapiga kura kuikataa CCM bado CCM itashinda tu kwa set up ya tume ya uchaguzi ilivyo. Kaulize yaliyotokea Busanda na Biharamulo, kaulize yaliyotokea Ubungo kwenye uchaguzi wa ubunge uliopita. Tutapiga kura mpaka asubuhi lakini bila mabadiliko hasa kwenye tume, tusitarajie jipya!!!

Tiba
 
Nimekusoma sawasawa, Mnyika upo hapo watu hawaamini set up ya sasa ya timu moja inayocheza kuchagua refa na wengine kutopewa hiyo fursa umezungumzia hilo leo, Zito upo, Slaa upo, Maalimu Seif jee, Prof Lipumba, Cheyo Mzee mapesa na wengineo wananchi wamechoka na tume kilio chao mwakisikia. Kwako tiba tusichoke kupiga kura kila uchaguzi ni milestone kuelekea tunakoenda, sio rahisi watu kuachia madaraka, hivyo lazima yatawekwa mazingara ya kupendelea chama kimoja tunashindwa, tunainuka na tunapigana, tunashindwa tunainuka na tunapigana mpaka watachoka. Ukiangalia tulikotoka 1992 mpaka sasa kuna substantial changes. kama sio sisi wa kufaidi basi watoto au wajukuu.
 
Sipo huyu sio mwenzetu huyu matatizo yetu anayafanya maonyesho, Ni kweli babu na bibi hawapendi kukaa kwenye hiyo nyumba wangependa angalau siku moja kukaa oysterbay kwenye nyumba ambazo walilizimishwa kuzijenga kwa kukosa senti moja ya kodi ya kichwa. Akina bibi na babu Wakaichukia kodi na mengineyo wakaanza vurugu wazungu wakaondoka wakatuacha sisi. Mungu wangu, hamna tofauti na walioondoka, zile nyumba sasa ni zao sio za serikali tena. Mwambie babu achukue nyumba zao /zetu. Hii itawezekana akipiga kura msisitize kama haridhiki na hali basi mabadiliko lazima yaje na njia pekee ni kupiga kura. Pretty, muonee huruma babu, yeye hana choise, lakini wewe unakula less, una drink less una exercise more babu na bibi hawachagui chakula, ubuyu na asali ndio menu, miaka minne yote iliyopita, hivi uchaguzi umekaribia wanaona neema kidogo angalau wali pilau na T shirt mpya za kijani na njano. Mwisho kumbuka maisha yao ni exercise kila siku shambani toka alfajiri trekta hawana, plau walisahau kwani kiwanda cha ufi kilichokuwa mkonbozi wao wakubwa wamekinywa sasa ni godown, maji wanatafuta kilomita 14, saba kwenda saba kurudi, kuni misitu imekwisha bibi anafuata mbali kweli kweli vyote hivyo si mazoezi ni sehemu ya maisha. Pretty wasaidie babu na bibi, chonde chonde Pretty.
Watnzania wengi tuliokaa huku mijini tumekuwa na ile kasumba ya ng'ombe aliyetoka kwenye zizi kwenda kunywa maji mtoni!! Hii ni dhambi ambayo itatutafuna daima dumu!! Nashukur kwa kuwa nimeanza mchakato wa kutokufa tena kama walivyofanya wazee wetu akina Chifu Mkwawa, Mirambo, Nyerere na wenzao!! Hakika kwa mchakato huu kamwe sintolionja kaburi miongoni mwa Watanzania!! Wenye uelewa wanachama na wageni mtakuwa mmenipata!! Ingawa lazima niendelee kulia ili wewe uungane na mimi kwenye ngalawa hii. Pretty wewe lazima uingie humu huna jinsi haiwezekani wewe hufanye jogging halafu huseme wazee wako wanakaa kwenye nuymba za kuenziwa hii ni kweli wajameni!! Swali umeme wa IPTL unawaka lini!! Dispensary ya kijini kwetu haina jenereta na watu wawili wameshakat roho mapema wiki hii!! Je bado tumekaa kimya tu tunasubiri mada za kutoka kwa wadau halafu tukae na kujadili na kuacha kunyanyuka hapo kwenye viti hivyo ambavyo ni zao la wakoloni mamboleo
 
Mjasriamali, Shupavu, Njimba Nsalilwe majina yenu yamekaaa kishujaa sana. Je ushujaaa huo mmeutumia kulikomboa Taifa hili angamia au ndio mnajasriamali na kushupavia miili yenu na familia zenu tu. Hata neno linasema kuwa fanyeni kwa umoja nalo hilo litakakuwa na baraka na neema tele. Saasa kwanini nyie mmekaa na kimya na kuliacha taifa pasipo kujijasiriamali nakujishupavu? Twendeni amkeni mimi nimeshatangulia mtanikuta ng'ambo ya mto nikiwa naendelea na safari hakika sintowasubiri kwakuwa kuna wadau waliwasubiri lakini muda uliwaishia wakiwa bado wako kwenye vitu wakisubiri baiskeli na mikokoteni ya kwenda kudai haki zao!! Najua nyie na wadau wengine mtakuja na Landrover, VX, ballon, Nadia na mengine ya kifahari lakini mimi nitaungana na Bibi yangu tutasaga spoli tukimpitia Mzee Ngutu na wengine waliojitoa mhanga kwenda kuiweka nchi hii ya wapenda sifa na majivuno wakati ni wachache ndio wanaokula na kufaidi tende na aluwa wakati sisi tukikaa nyumba ambazo wenzetu mnaenda kuziona uko mnakoita Makumbusho!! Kilio cha kwiki kimenikaba naondoka na hakika lazima jibu lipatikane sio kwenye ripoti za tume ila kwenye matendo asilia!! UUwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!! Uuuuuuuwwwiiiiiiiiiiiii
 
Tumeshasema sana kama ulivyosema, hata hao wananchi wanajua haya, lakini kikubwa kinachosumbua ni dhiki zetu tulizonanzo ambazo wananchi wengi hufikiri kwamba zinaisha wakati wa kampeni na uchaguzi. Sasa tukawaeleze nini, tuwape Bunduki, waingie msituni? Ukitaka kujua kwamba wananchi hawa wanathamini senti, pata kumbukumbu ya mapokezi waliyofanyiwa watuhumiwa wakubwa wa ufisadi, Lowasa kwenye Richmond na Chenge kwenye Lader.
 
Sipo,
Nimekusikia ndugu yangu. Lazima uwepo kwa sababu kazi inayowakabili Watanzania ni kubwa sana. Hebu jiulize kila kukicha unasikia matawi ya CCM yanafunguliwa nje ya nchi, sijui London, Birmingham, Saigon, Bangalore, etc. Sasa hawa ni vijana waliokwishaona kuwa CCM ni short cut kwao kuingia kwenye kundi la walaji. Hawafikirii waifanyie nini Tanzania wanafikiria jinsi watakavyoifaidi Tanzania. Na hiki ni kizazi kipya. Inakatisha tamaa kweli kweli. Ukisema unajiunga na upinzani wanakuona una wazimu. Lakini hatuwezi kuiacha Tanzania yetu itokomee. Afadhali mniite mwenda wazimu lakini CCM lazima iondolewe madarakani kama kutakuwa na tumaini kwa raia wa kawaida. Na ninaamini, Tanzania bila ufisadi inawezekana, na Tanzania bila CCM itakuwa nchi ya neema.
 
Mh!!!!!, sometimes huwa nashindwa kupata jibu la swali moja kuuuuuuuuuuuuubwaaaaaaaaaa!

TATIZO LETU NI NINI HASA?

(a) UJINGA;
(b) UBUMBAVU
(c) UMASKINI
(d) KUTOKUJITHAMINI;
(e) NJAA
(f) UVIVU
(g) ULIMBUKENI
(h) UMIMI
(i) CHOCHOTE UNACHOWEZA KUFIKILIA WEWE?
 
Mjasriamali, Shupavu, Njimba Nsalilwe majina yenu yamekaaa kishujaa sana. Je ushujaaa huo mmeutumia kulikomboa Taifa hili angamia au ndio mnajasriamali na kushupavia miili yenu na familia zenu tu. Hata neno linasema kuwa fanyeni kwa umoja nalo hilo litakakuwa na baraka na neema tele. Saasa kwanini nyie mmekaa na kimya na kuliacha taifa pasipo kujijasiriamali nakujishupavu? Twendeni amkeni mimi nimeshatangulia mtanikuta ng'ambo ya mto nikiwa naendelea na safari hakika sintowasubiri kwakuwa kuna wadau waliwasubiri lakini muda uliwaishia wakiwa bado wako kwenye vitu wakisubiri baiskeli na mikokoteni ya kwenda kudai haki zao!! Najua nyie na wadau wengine mtakuja na Landrover, VX, ballon, Nadia na mengine ya kifahari lakini mimi nitaungana na Bibi yangu tutasaga spoli tukimpitia Mzee Ngutu na wengine waliojitoa mhanga kwenda kuiweka nchi hii ya wapenda sifa na majivuno wakati ni wachache ndio wanaokula na kufaidi tende na aluwa wakati sisi tukikaa nyumba ambazo wenzetu mnaenda kuziona uko mnakoita Makumbusho!! Kilio cha kwiki kimenikaba naondoka na hakika lazima jibu lipatikane sio kwenye ripoti za tume ila kwenye matendo asilia!! UUwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!! Uuuuuuuwwwiiiiiiiiiiiii

Politicians are like diapers. They both need changing regularly and for the same reason. ~Author UnknownWe'd all like to vote for the best man, but he's never a candidate. ~Frank McKinney "Kin" HubbardThose who are too smart to engage in politics are punished by being governed by those who are dumber. ~PlatoTruth is not determined by majority vote. ~Doug GwynBad officials are elected by good citizens who do not vote. ~George Jean NathanDemocracy is being allowed to vote for the candidate you dislike least. ~Robert ByrneA citizen of America will cross the ocean to fight for democracy, but won't cross the street to vote in a national election. ~Bill Vaughan ( hata Tanzania)It's not the voting that's democracy; it's the counting. ~Tom Stoppard, JumpersThe oppressed are allowed once every few years to decide which particular representatives of the oppressing class are to represent and repress them. ~Karl MarxThe best argument against democracy is a five-minute conversation with the average voter. ~Winston ChurchillNo man is good enough to govern another man without that other's consent. ~Abraham Lincolnoften say that, in a democracy, decisions are made by a majority of the people. Of course, that is not true. Decisions are made by a majority of those who make themselves heard and who vote - a very different thing. ~Walter H. Judd"A man who was completely innocent, offered himself as a sacrifice for the good of others, including his enemies, and became the ransom of the world. It was a perfect act." Mahatma Ghandi"We must become the change we want to see." Mahatma GhandiLASTLYEmancipate yourselves from mental slavery. None but ourselves can free our minds Won't you help to sing The songs of freedom?” Bob Marley“Get up, stand up, Stand up for your rights. Get up, stand up, Don't give up the fight.” Bob Marley FINALLY“Life is one big road with lots of signs. So when you riding through the ruts, don't complicate your mind. Flee from hate, mischief and jealousy. Don't bury your thoughts, put your vision to reality . Wake Up and Live!” Bob Marley “Every man gotta right to decide his own destiny.” Bob Marley Sipo soma huo usia na mwambie kila mtu, nadhani machungu ya bibi na babu yatapungua na utajua nini cha kufanya.NB: Mashine yangu inakorofisha, haitaki kuwa na ushirikiano na mimi, haitaki kuweka paragraphs bear with me please.
 
Back
Top Bottom