Sultan Zuwera
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 246
- 339
Kuhusu kipindi cha asubuhi Magazetini nawashauri RFA wasikitumie kituo chao cha Mwanza na badala watangaze moja kwa moja kutokea Dar. Mimi niliisha wakimbia siku nyingi niko Magic fm hao ni kiboko ya vituo vyote katika uchambuzi wa Magazeti.