Watanzania tuzungumze magazeti

Watanzania tuzungumze magazeti

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,161
Reaction score
801
Rfa nilianza kuitumia miaka mingi kidogo, siku za hivi karibini nimekuwa nikikerwa sana, najiandaa na hata nabeba devices za kusikilizia nakuta wanakata eti mawasiliano.

Hivi mnatumia simu zipi nyie kuongea magazeti? Mnaniboa sana. Mara nyingi inatosha sasa. This is crazy!
 
Tatizo kwenye TV au Redion?...maanake nyie wasukuma mnataka mpaka mmuone yule anayesoma magazeti,Kama TV inazingua,hamia redion....
 
Nimekuwa mdau mkubwa wa kufuatilia kipindi cha magazeti kila siku asubuhi lkn sasa siku hizi RFA wameshindwa kurusha kipindi hicho inasikitisha sana.
 
RFA inasikilizwa zaidi mikoani, Dar sijui km kuna watu wanaijua hii radio.
 
Mkitaka kujua matatizo ya Sahara media tafuteni mfanyakazi yeyote wa pale atawaeleza Au muulizeni Kamanda Patrobas alikuwa HR pale........ofc zina matatizo zile sijapata kuona,hata sishangai wakishindwa kufanya lolote.
 
Nimekuwa mdau mkubwa wa kufuatilia kipindi cha magazeti kila siku asubuhi lkn sasa siku hizi RFA wameshindwa kurusha kipindi hicho inasikitisha sana.
 
Nimehama na muda sasa hicho kipindi. Nakushauri sikiiza Magic FM asubuh wanasoma magazet vizur na uchambuzi mkuu.
 
Kwa kweli inasikitisha sana jinsi sahara media inavyopotea kwa mwendo wa haraka hivyo. Kwa muda sasa wameshindwa kuunganisha studio za dar na mwanza na hata wanapounganisha, mara nyingi utakuta kuna tatizo la sauti. Lakini pia wamekuwa na tatizo la kuanza vipindi kwa wakati. Kwa majuma kadhaa wameshindwa kurusha vipindi vinavyoongozwa na dotto bulendu vimeshindwa kurushwa hewani na tena bila kutoa udhuru wowote; nashukuru Mungu dotto ameanza kuonekana lakini bado media hii inatakiwa kujipanga upya
 
Nimekuwa mdau mkubwa wa kufuatilia kipindi cha magazeti kila siku asubuhi lkn sasa siku hizi RFA wameshindwa kurusha kipindi hicho inasikitisha sana.
Yaani hawa jamaa wananishangaza mno, asubuhi saa 11 wanajiunga na Dar es Salaam vizuri kabisa, ikifika muda wa magazeti utasikia "..hatutoweza kujiunga na wenzetu wa Darisalama kutokana na matatizo ya kiufundi yaliwo nje ya uwezo wetu..", sasa huu si upuuzi.
 
Hata mimi wakuu,

Nilikuwa nasikiliza RFA kila siku asubuhi kipindi cha magazetini. Ila sasa unaweza kuta wanajinga saa 12.45 badala ya 12.30. Imenifanya niwe nasikiliza Megic FM, iko poa.
 
Ni mda mrefu sana wanafanya upuuzi huo tatizo gani linashindwa kushughulikiwa kwa mda mrefu vile
 
Kumbe tupo wengi eeh! Alternative yake tushauriane jamani RFA imekuwa nuksi tayari
 
Back
Top Bottom