donniebrasco
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 887
- 775
- Thread starter
-
- #21
Boy bye.
Ndugu unanisikitisha kuhusu manchester kwenye concert tunaambiwa bomu limelipuka ndani halafu hakuna hata clip moja ikionesha mlipuko zaidi ya sauti tu kusikika kilichooneshwa sana ni watu kukimbia tena sio wote ujue hata waliokuwa kwenye concert wanaweza wasijue mchezo uliochezwa mlipuko umesikika watu wachache waliokuwa wamepangwa wakaanza kupiga makelele wengine wakapanick wakaanza kukimbia wengi waliokuwepo wakiamini kweli na wale wachache waliokuwa wamepangwa wamelala na damu feki.You're delusional. Nipo USA na tukio la Orland lilitokea kama unabisha na hilo Sina sababu ya kuendelea kubishana na wewe. Sio kila kitu sababu mtu kaweka YouTube kwa sababu zake binafsi unaamini, wadanganye watu wameuwawa kwa faida ya nani? Ili nini kitokee? Sahizi unapinga na tukio la Manchester sio kweli, really!!
YouTube haiwi filtered so mtu anaweka chochote hata Mimi Leo naweza kuweka video YouTube kwamba Hakuna mauaji kibiti na wajinga kama wewe wataamini ila hiyo haiondoi ukweli kwamba Kibiti kuna mauaji yanaendelea.
Kuna mengi sana yanaendelea USA shootings zipo kila siku hizo ulizosikia ni chache tu sababu zilikua mass shootings, Leo city yangu kuna watu wameuwawa na haipiti mwezi bila watu kufumuana kwenye miji huko, Jana San Francisco mtu kaenda kuua watu post office ambayo husikii na hizo utasema wamesababisha wenyewe ili iweje?
Hilary clinton aliyekua waziri wa mambo ya nje wa US anakubali kua wametengeneza makundi ya kigaidi na kuyafund na hasa ISIS,USA wamesema TZ kuna ugaidi? Una ushahidi gani kwamba wao Ndo wametengeneza makundi ya ugaid? Hizo nchi zenye ugaidi hazijui kwamba USA ndo chanzo hadi wewe uliopo Ileje unajua ila wao hawajui tu? Hivi Leo nikikupa bunduki nikikwambia muue ndugu yako na wewe ukamuua hapo mjinga nani mimi au wewe? Chukueni full responsibility ya matendo yenu sio kila kitu USA
USA katengeneza makundi ya ugaidi kawapa silaha halafu kawaambia waende kuuwana wao kwa wao na wao walivyopunguani wameenda kuua ndugu zao, nani mjinga hapo? Nikikupa bunduki nikikwambia muue Kaka yao utamuua?Hilary clinton aliyekua waziri wa mambo ya nje wa US anakubali kua wametengeneza makundi ya kigaidi na kuyafund na hasa ISIS,
Hilary alikua waziri wa USA na anakubali wametengeneza makundi ya kigaidi ila wewe Pangu pakavu upo huko Nanjilinji unapiga miayo tu unapinga? Wewe na Hilary clinton nani anaijua US zaidi?! Angalia hiyo clip ya Clinton hapo chini.
USA katengeneza makundi ya ugaidi kawapa silaha halafu kawaambia waende kuuwana wao kwa wao na wao walivyopunguani wameenda kuua ndugu zao, nani mjinga hapo? Nikikupa bunduki nikikwambia muue Kaka yao utamuua?
Naona umeanza kupingana na maneno yako wewe mwenyewe sasa!! Si ulikataa kua US hajatengeneza makundi ya ugaidi??USA katengeneza makundi ya ugaidi kawapa silaha halafu kawaambia waende kuuwana wao kwa wao na wao walivyopunguani wameenda kuua ndugu zao, nani mjinga hapo? Nikikupa bunduki nikikwambia muue Kaka yao utamuua?
Mkuu huyo jamaa wala hafahamiki anachokipinga au anachokikubali..!!Soma vizuri niliandika wanatumia umasikini na ujinga wa jamii lengwa. Wewe unaweza kuwa na akili usimuue kaka yako lakini hakuna uhakika kuwa kaka zako wanaakili wasikue wewe.
Vipi mkuu mbona umekimbia nilikuomba clip hata moja ya Manchester Concert Bombing inayoonesha explosion....
Hilary clinton aliyekua waziri wa mambo ya nje wa US anakubali kua wametengeneza makundi ya kigaidi na kuyafund na hasa ISIS,
Hilary alikua waziri wa USA na anakubali wametengeneza makundi ya kigaidi ila wewe Pangu pakavu upo huko Nanjilinji unapiga miayo tu unapinga? Wewe na Hilary clinton nani anaijua US zaidi?! Angalia hiyo clip ya Clinton hapo chini.
Siku nyingine unapokua hujui jambo jaribu kupiga kimya kuliko kukurupuka hovyo,endelea kujiliwaza na kujipa matumaini hewa kua hiyo vdo ni edited.Na wewe unaamini hii video ambayo inaonekana kuwa edited na mtoto wa std2. Ulienda shule kusomea ujinga
Na wewe unaamini hii video ambayo inaonekana kuwa edited na mtoto wa std2. Ulienda shule kusomea ujinga
USA wamesema TZ kuna ugaidi? Una ushahidi gani kwamba wao Ndo wametengeneza makundi ya ugaid? Hizo nchi zenye ugaidi hazijui kwamba USA ndo chanzo hadi wewe uliopo Ileje unajua ila wao hawajui tu? Hivi Leo nikikupa bunduki nikikwambia muue ndugu yako na wewe ukamuua hapo mjinga nani mimi au wewe? Chukueni full responsibility ya matendo yenu sio kila kitu USA
Hilary clinton aliyekua waziri wa mambo ya nje wa US anakubali kua wametengeneza makundi ya kigaidi na kuyafund na hasa ISIS,
Hilary alikua waziri wa USA na anakubali wametengeneza makundi ya kigaidi ila wewe Pangu pakavu upo huko Nanjilinji unapiga miayo tu unapinga? Wewe na Hilary clinton nani anaijua US zaidi?! Angalia hiyo clip ya Clinton hapo chini.
Sidhani ndugu unafahamu nini kinazungumzwa hapa. Tatizo lako ni kujiona kuishi marekani we ni mjuaji sana.USA katengeneza makundi ya ugaidi kawapa silaha halafu kawaambia waende kuuwana wao kwa wao na wao walivyopunguani wameenda kuua ndugu zao, nani mjinga hapo? Nikikupa bunduki nikikwambia muue Kaka yao utamuua?