donniebrasco
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 887
- 775
Mkuu sijasema kuna kitu kipo nimesema tuwe makini na matukio kwa mfano nimesoma sasa hivi kuna mtu kapost kuwa magaidi 11 wamekamatwa kibaha au wametajwa sasa inatakiwa tuwe makini Na mambo huwa yanaanza taratibu, mfano mwingine mwaka jana kuna waislamu walikatwa na mapanga msikitini mwanza wengine walikufa wengine walijeruhiwa, polisi kuuliwa na kunyanganywa silaha, sasa haya mambo hayakuwa kawaida yetu lazma tuumuze vichwa kuchukua tahadhari na kuhoji vizuri taarifa sio kuziaamini tu.Mbona hayo uliyosema hayapo sasa au unamaanisha kuhusu makinikia?!
Nakubali kweli unalosema kidogo lipo lakini hata hao radicals unaowa-refer ni kutokana directly au indirectly na USA kutokana na sources mbali mbali mpaka kuwafund na kuwatrain kwa muda atakaotaka wamsaidie akiwa anatayarisha akili mbovu na ufisadi aidha akijua au kutojua wengine wanaweza kuigaWamerakani hawana shida na Tanzania yako mkuu.
Watanzania wenyewe tu Kuna mambo wanaiga yanayotokea huko ktk nchi zingine na baadhi wanapenda yatokee hapa nchini.
Mfano kwa Waislam kuongozwa na Bakwata wengine hawataki kabisa kusikia na wako radhi kufanya lolote Kulikoni kuongozwa na Bakwata
Kuna wengine suala la michanganyo na makafiri ni kuweka unajisi kwao Haya mambo yako wazi underground lakini yanakua taratibu ingawa zamani hatukuishi kabisa.
Serikali inatumia akili ya ziada sana kuhakikisha hali ya jamani inaendelea kuwepo na kudhibiti kabisa utengano na hawa radicals.
Radicals popote pale duniani ni hatari sana.
Kwahiyo wamarekani hawana shida na Tz yako ?Mkuu sijasema kuna kitu kipo nimesema tuwe makini na matukio kwa mfano nimesoma sasa hivi kuna mtu kapost kuwa magaidi 11 wamekamatwa kibaha au wametajwa sasa inatakiwa tuwe makini Na mambo huwa yanaanza taratibu, mfano mwingine mwaka jana kuna waislamu walikatwa na mapanga msikitini mwanza wengine walikufa wengine walijeruhiwa, polisi kuuliwa na kunyanganywa silaha, sasa haya mambo hayakuwa kawaida yetu lazma tuumuze vichwa kuchukua tahadhari na kuhoji vizuri taarifa sio kuziaamini tu.
Ndugu hilo ndilo nalolisema nakupa mfano kuna tukio lilitipotiwa duniani kuwa magaidi wameshambulia baa ya mashoga Orlando naomba fuatilia uone uongo huo na ukatangazwa dunia nzima kupitia CNN , BBC,Al-Jazeera na vyombo vyote nakuomba wewe ingia mtandaoni uone wananchi wa huko huko kwao walivyowaumbua kuwa kulikuwa hakuna tukio hilo kabisa walitengeneza tukio zima kimaigizo halafu hadi Obama akaenda kuweka maua na kuomboleza msiba feki YouTube fuatilia uone uongo wao walivyofanya maigizo hawa watu ni hatari sana Hata haya mabomu yaliyopigwa manchester juzi juzi hakuna ushahidi ni kutengeneza uongo tu yaani wanajitahidi kila mbinu mengine wanaua watu kweli mengine wanaigiza halafu wanauimba uongo mpaka ukuingie akilini tena huwa wanaimba pamoja CNN,BBC, Sky,Al-JazeeraUSA wamesema TZ kuna ugaidi? Una ushahidi gani kwamba wao Ndo wametengeneza makundi ya ugaid? Hizo nchi zenye ugaidi hazijui kwamba USA ndo chanzo hadi wewe uliopo Ileje unajua ila wao hawajui tu? Hivi Leo nikikupa bunduki nikikwambia muue ndugu yako na wewe ukamuua hapo mjinga nani mimi au wewe? Chukueni full responsibility ya matendo yenu sio kila kitu USA
Naona bado hujanielewa kwa mfano isitokee kundi la watu wakasema waliokamatwa na polisi wameonewa ili kutupotosha na tukawaamini na pia polisi au serikali isitokee ikawaonea baadhi ya watu pia tukawaamini kirahisi pia wasitokee watu kuturubuni kuchafua amani tukawaakubalia yaani kila wakati tuwe makini na kila kinachotokea inataka kujitambua na kusaidia kuelimishana. Na sisemi USA ni adui yetu hapana. Nachosema tuwe makini tusijisahau na tujifunze kutoka kwa yaliwakuta,mambo huanza taratibu tukizubaa tu nchi inaweza kuwa mbaya mungu atuepushie mbaliKwahiyo wamarekani hawana shida na Tz yako ?
Huu unaweza kuwa uchochezi pia
Ndugu hilo ndilo nalolisema nakupa mfano kuna tukio lilitipotiwa duniani kuwa magaidi wameshambulia baa ya mashoga Orlando naomba fuatilia uone uongo huo na ukatangazwa dunia nzima kupitia CNN , BBC,Al-Jazeera na vyombo vyote nakuomba wewe ingia mtandaoni uone wananchi wa huko huko kwao walivyowaumbua kuwa kulikuwa hakuna tukio hilo kabisa walitengeneza tukio zima kimaigizo halafu hadi Obama akaenda kuweka maua na kuomboleza msiba feki YouTube fuatilia uone uongo wao walivyofanya maigizo hawa watu ni hatari sana Hata haya mabomu yaliyopigwa manchester juzi juzi hakuna ushahidi ni kutengeneza uongo tu yaani wanajitahidi kila mbinu mengine wanaua watu kweli mengine wanaigiza halafu wanauimba uongo mpaka ukuingie akilini tena huwa wanaimba pamoja CNN,BBC, Sky,Al-Jazeera
Kwani ukiwa USA ndo nini tena watu wa huko ndo shida kweli mnadanganywa kama watoto video na news kibao tunasoma watu wanaishi orlando hapo hapo wameyaumbua hayo maigizo na ukitaka ni kutolee links hapaYou're delusional. Nipo USA na tukio la Orland lilitokea kama unabisha na hilo Sina sababu ya kuendelea kubishana na wewe. Sio kila kitu sababu mtu kaweka YouTube kwa sababu zake binafsi unaamini, wadanganye watu wameuwawa kwa faida ya nani? Ili nini kitokee? Sahizi unapinga na tukio la Manchester sio kweli, really!!
YouTube haiwi filtered so mtu anaweka chochote hata Mimi Leo naweza kuweka video YouTube kwamba Hakuna mauaji kibiti na wajinga kama wewe wataamini ila hiyo haiondoi ukweli kwamba Kibiti kuna mauaji yanaendelea.
Kuna mengi sana yanaendelea USA shootings zipo kila siku hizo ulizosikia ni chache tu sababu zilikua mass shootings, Leo city yangu kuna watu wameuwawa na haipiti mwezi bila watu kufumuana kwenye miji huko, Jana San Francisco mtu kaenda kuua watu post office ambayo husikii na hizo utasema wamesababisha wenyewe ili iweje?
Boy bye.Kwani ukiwa USA ndo nini tena watu wa huko ndo shida kweli mnadanganywa kama watoto video na news kibao tunasoma watu wanaishi orlando hapo hapo wameyaumbua hayo maigizo na ukitaka ni kutolee links hapa