Watanzania tusitupe vyakula

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,458
Reaction score
2,753
Ndungu zangu tujenge utamaduni wa kukomba chakula kwenye sufuria au sahani. Haiwezekan wakati binadamu kwenye mataifa mengine wanalia njaa, huku sisi tunatupa vyakula.

ona chakula kingi kilivyobaki, hii si sawa nimemwambia binti achukue maji ya kunywa asuuze anikusanyie viukoko kwenye kikombe aniletee ninywe.

Miaka inayokuja mbeleni haisomeki kabisa, Mimi nimeanza sasa kujiandaa, Wewe je?
 
Chakula kingi gani kilichobakia kwenye hiyo sahani ya picha?

Yaani ale mwingine halafu ukombereze wewe, hata kama ni njaa jamani huo ni udhaifu na unyonge kiwango cha changarawe!

Njaa ya kileo ni pesa na si vyakula.

Hata kuwe na njaa kiasi gani, lakini 'Kariakoo' haliwezi kauka vyakula, labda kiwe kimejiri kiama.

Kukosa pesa ya kununulia chakula ndiyo njaa yenyewe.
 
Upumbavu wa JF ambao bwana Melo ana hita ni up grade....uzi kama huu ndiyo una tokea mbele kabisa ....ndiyo maana mifumo ningi sasa hivi inazingatia tabia za mtu kwa kile kinacho jitokeza mbele kwa asilimia 60%
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…