Watanzania tusipounganisha mitaji tutadhibitiwa na Wachina na Wazungu

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
2,792
2,000
Hii nchi Utamaduni wetu ni kila mmoja aonekane ana Biashara yake, awe na Basi lake liandikwe jina lake apate sifa mtaani na kadhalika, hizi ndo aina za Biashara tunapenda sisi.

Watanzania biashara zetu zimejengwa juu ya msingi wa Udondo mtupu hasa pale itakapo kuja swala la Ushindani wa kutisha kutoka nje.Biashara zetu asilimia kubwa haziwezi kuhimili ushindani wa kutoka nje.

Nitatoa Baadhi ya Mifano Michache ninayo iona;

UJENZI
Tuna makampuni mengi sana ya Ujenzi ya wazawa yako mengi balaa, lakini angalia ni kampuni zipi zinapewa tenda ya kujenga Majumba makubwa na pia kujenga Barabara za lami nchini, Utaona ni Wazungu, Wachina na Wahindi ndo wanao tujengea Barabara zetu huku sisi tukiwa na utitili wa makampuni ya Ujenzi, Mpaka sasa hatutaki kujifunza na tumekomaa kila mtu na kikampuni chake tunasubilia janja janja na huruma tupate tenda za kuchonga Barabara za vumbi za mitaani, Hakuna hata single Company ya Ujenzi inaweza hata robo kushindana na Wachina au Wazungu.Ila Kampuni zetu zingeungana wakawa na kampuni yenye nguvu wanaweza, shindana hatutaki kwa sababu kila mmoja anataka aonekane.

USAFIRISHAJI
Hakuba haja ya kuwa na utitili wa wamailiki Daladala kwenye miji kama Dar, pale Kampuni hata 6 kubwa zinatosha kabisa kutoa huduma, ipo siku watu watakuja watamwaga Mabasi na tunaanza kulia ni Vidaladala vyetu, tunashindwa kusoma alama za nyakati kabisa,

UTITIRI WA VIWANDA
Siku hizi kumeibuka kutoka SIDO wanatoa mfunzo ya kuzalisha Sabuni, mara mafuta, Unga lishe na kadhalika, unakuta mtaa mmoja kuna Wazalisha Sabuni za maji kama 100 hivi na kila mtu anakomaa mwenyewe, hawa wana Idea inafanana ila waambie waungane asieee hutawaona na watakuja na sababu Miliona 1 za kwa nini hawataungana. Hivyo viwanda haviwezi fua Dafu kokote kule kwenye ushindani, na vingi vimekuwa vinajifia vyenyewe, Wachina unakuta Kiwanda kimoja kina share holder kama 600 hivi, Wachina kampuni zao nyingi ni Muungano wa watu wengi sana wenye malengo sawa, na ndo hao wanaotoa kichapo kwenye viwanda vyetu.

VI MIN SUPER MARKET
Hizi ni nyingi sana hasa Dar kila mtu anaona sifs kuea nacho cha kakwr, ila kusanya Min Super Markrt 100 Dar haziwezi shindana na Supet market moja kama Shorppers, na zinginezo kama Village Super Market.
Hizi Min nyingi watu wangeweza kuungana wakaja na Super market za kutoa ushindani lakini wapi hilo haliwezekani kabisa.

Sekita Ziko nyingi sana ambazo Watanzania hakika tusipo unganisha nguvu ipo siku tutaenda kulilia chooni, hatutaweza shindana na Viwanda vya India, China, Ulaya, na hawa walivyo wajanja wanakuja hata kusimika kiwanda huku huku kwetu.

Watu wanakuja na Mitaji yao wanayo pewa kutoka kwao, na watafanya vitu vikubwa ambayo sisi biashara zetu itabidi tufunge, na shida kuu tumekalia negativity kwamba Ohoo Watanzania hatuwezi ungana, hilo haliwezekani na kadhalika, Ok tungoje tuendelee kufixiwa na Wachina.
 
Ed Kawiche

JF-Expert Member
May 28, 2020
1,453
2,000
Wachina wanakuja kwa kasi sana ktk nchi hii ya maziwa na asali, angalia kampuni nyingi za ujenzi Wachina ndiyo wanaongoza kubeba tenda na wanaletana vibaya mno!
Viwanda vingi wahindi ndiyo wanatawala na kuzidi kujikita.
Sisi wabongo tupo tupo tunakula ubwabwa na mihogo!
 
Chabo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
982
1,000
Nakuunga mkono ndg.
Kwenye kuungana ndio mahali uwekezaji wenye nguvu uliko.hata matajiri wachuuzi..utakuta ni mfanyabiashara mkubwa tu wa kuuza bidhaa za wenzake lkn hafikirii kuungana ili wafungue kiwanda.
 
John locke

JF-Expert Member
May 6, 2012
814
1,000
Wachina wanakuja kwa kasi sana ktk nchi hii ya maziwa na asali, angalia kampuni nyingi za ujenzi Wachina ndiyo wanaongoza kubeba tenda na wanaletana vibaya mno!
Viwanda vingi wahindi ndiyo wanatawala na kuzidi kujikita.
Sisi wabongo tupo tupo tunakula ubwabwa na mihogo!
Mzee wa chattle aliwapa sana kazi wachina.
 
Abuu Dharr

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
2,779
2,000
Wachina wanakuja kwa kasi sana ktk nchi hii ya maziwa na asali, angalia kampuni nyingi za ujenzi Wachina ndiyo wanaongoza kubeba tenda na wanaletana vibaya mno!
Viwanda vingi wahindi ndiyo wanatawala na kuzidi kujikita.
Sisi wabongo tupo tupo tunakula ubwabwa na mihogo!
Wachina Chief
Serikali yao ina wasapoti wafanyabiashara...wawe wakubwa au wadogo

Hawana viunzi vya ajabu ajabu kama sisi
Kisha
Wanashindanishwa
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,653
2,000
Hii nchi Utamaduni wetu ni kila mmoja aonekane ana Biashara yake, awe na Basi lake liandikwe jina lake apate sifa mtaani na kadhalika, hizi ndo aina za Biashara tunapenda sisi.

Watanzania biashara zetu zimejengwa juu ya msingi wa Udondo mtupu hasa pale itakapo kuja swala la Ushindani wa kutisha kutoka nje.Biashara zetu asilimia kubwa haziwezi kuhimili ushindani wa kutoka nje.

Nitatoa Baadhi ya Mifano Michache ninayo iona;

UJENZI
Tuna makampuni mengi sana ya Ujenzi ya wazawa yako mengi balaa, lakini angalia ni kampuni zipi zinapewa tenda ya kujenga Majumba makubwa na pia kujenga Barabara za lami nchini, Utaona ni Wazungu, Wachina na Wahindi ndo wanao tujengea Barabara zetu huku sisi tukiwa na utitili wa makampuni ya Ujenzi, Mpaka sasa hatutaki kujifunza na tumekomaa kila mtu na kikampuni chake tunasubilia janja janja na huruma tupate tenda za kuchonga Barabara za vumbi za mitaani, Hakuna hata single Company ya Ujenzi inaweza hata robo kushindana na Wachina au Wazungu.Ila Kampuni zetu zingeungana wakawa na kampuni yenye nguvu wanaweza, shindana hatutaki kwa sababu kila mmoja anataka aonekane.

USAFIRISHAJI
Hakuba haja ya kuwa na utitili wa wamailiki Daladala kwenye miji kama Dar, pale Kampuni hata 6 kubwa zinatosha kabisa kutoa huduma, ipo siku watu watakuja watamwaga Mabasi na tunaanza kulia ni Vidaladala vyetu, tunashindwa kusoma alama za nyakati kabisa,

UTITIRI WA VIWANDA
Siku hizi kumeibuka kutoka SIDO wanatoa mfunzo ya kuzalisha Sabuni, mara mafuta, Unga lishe na kadhalika, unakuta mtaa mmoja kuna Wazalisha Sabuni za maji kama 100 hivi na kila mtu anakomaa mwenyewe, hawa wana Idea inafanana ila waambie waungane asieee hutawaona na watakuja na sababu Miliona 1 za kwa nini hawataungana. Hivyo viwanda haviwezi fua Dafu kokote kule kwenye ushindani, na vingi vimekuwa vinajifia vyenyewe, Wachina unakuta Kiwanda kimoja kina share holder kama 600 hivi, Wachina kampuni zao nyingi ni Muungano wa watu wengi sana wenye malengo sawa, na ndo hao wanaotoa kichapo kwenye viwanda vyetu.

VI MIN SUPER MARKET
Hizi ni nyingi sana hasa Dar kila mtu anaona sifs kuea nacho cha kakwr, ila kusanya Min Super Markrt 100 Dar haziwezi shindana na Supet market moja kama Shorppers, na zinginezo kama Village Super Market.
Hizi Min nyingi watu wangeweza kuungana wakaja na Super market za kutoa ushindani lakini wapi hilo haliwezekani kabisa.

Sekita Ziko nyingi sana ambazo Watanzania hakika tusipo unganisha nguvu ipo siku tutaenda kulilia chooni, hatutaweza shindana na Viwanda vya India, China, Ulaya, na hawa walivyo wajanja wanakuja hata kusimika kiwanda huku huku kwetu.

Watu wanakuja na Mitaji yao wanayo pewa kutoka kwao, na watafanya vitu vikubwa ambayo sisi biashara zetu itabidi tufunge, na shida kuu tumekalia negativity kwamba Ohoo Watanzania hatuwezi ungana, hilo haliwezekani na kadhalika, Ok tungoje tuendelee kufixiwa na Wachina.
Kuungana na mbongo eti munafanya kampuni moja, nikama unatafuta kifo camapema, ndugu kwa ndugu damu moja wanashindwa kuendeleza biashara ya familia hata kuigawana kunawashinda wanatoana roho, sembuse eti wewe mhaya uungane na mchagga kwa kuweka mtaji pamoja. Thubutu utapata stress na kifo chamapema..........kweli kuungana ni nguvu ila sio kwa Tz mtu unamkopesha tu 100k kuilejesha shida ndo umkabidhi mtaji wako, kwano Salimu Bakhresa Menji Mo nk kaungana nani?
 
white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
5,927
2,000
Hii nchi Utamaduni wetu ni kila mmoja aonekane ana Biashara yake, awe na Basi lake liandikwe jina lake apate sifa mtaani na kadhalika, hizi ndo aina za Biashara tunapenda sisi.

Watanzania biashara zetu zimejengwa juu ya msingi wa Udondo mtupu hasa pale itakapo kuja swala la Ushindani wa kutisha kutoka nje.Biashara zetu asilimia kubwa haziwezi kuhimili ushindani wa kutoka nje.

Nitatoa Baadhi ya Mifano Michache ninayo iona;

UJENZI
Tuna makampuni mengi sana ya Ujenzi ya wazawa yako mengi balaa, lakini angalia ni kampuni zipi zinapewa tenda ya kujenga Majumba makubwa na pia kujenga Barabara za lami nchini, Utaona ni Wazungu, Wachina na Wahindi ndo wanao tujengea Barabara zetu huku sisi tukiwa na utitili wa makampuni ya Ujenzi, Mpaka sasa hatutaki kujifunza na tumekomaa kila mtu na kikampuni chake tunasubilia janja janja na huruma tupate tenda za kuchonga Barabara za vumbi za mitaani, Hakuna hata single Company ya Ujenzi inaweza hata robo kushindana na Wachina au Wazungu.Ila Kampuni zetu zingeungana wakawa na kampuni yenye nguvu wanaweza, shindana hatutaki kwa sababu kila mmoja anataka aonekane.

USAFIRISHAJI
Hakuba haja ya kuwa na utitili wa wamailiki Daladala kwenye miji kama Dar, pale Kampuni hata 6 kubwa zinatosha kabisa kutoa huduma, ipo siku watu watakuja watamwaga Mabasi na tunaanza kulia ni Vidaladala vyetu, tunashindwa kusoma alama za nyakati kabisa,

UTITIRI WA VIWANDA
Siku hizi kumeibuka kutoka SIDO wanatoa mfunzo ya kuzalisha Sabuni, mara mafuta, Unga lishe na kadhalika, unakuta mtaa mmoja kuna Wazalisha Sabuni za maji kama 100 hivi na kila mtu anakomaa mwenyewe, hawa wana Idea inafanana ila waambie waungane asieee hutawaona na watakuja na sababu Miliona 1 za kwa nini hawataungana. Hivyo viwanda haviwezi fua Dafu kokote kule kwenye ushindani, na vingi vimekuwa vinajifia vyenyewe, Wachina unakuta Kiwanda kimoja kina share holder kama 600 hivi, Wachina kampuni zao nyingi ni Muungano wa watu wengi sana wenye malengo sawa, na ndo hao wanaotoa kichapo kwenye viwanda vyetu.

VI MIN SUPER MARKET
Hizi ni nyingi sana hasa Dar kila mtu anaona sifs kuea nacho cha kakwr, ila kusanya Min Super Markrt 100 Dar haziwezi shindana na Supet market moja kama Shorppers, na zinginezo kama Village Super Market.
Hizi Min nyingi watu wangeweza kuungana wakaja na Super market za kutoa ushindani lakini wapi hilo haliwezekani kabisa.

Sekita Ziko nyingi sana ambazo Watanzania hakika tusipo unganisha nguvu ipo siku tutaenda kulilia chooni, hatutaweza shindana na Viwanda vya India, China, Ulaya, na hawa walivyo wajanja wanakuja hata kusimika kiwanda huku huku kwetu.

Watu wanakuja na Mitaji yao wanayo pewa kutoka kwao, na watafanya vitu vikubwa ambayo sisi biashara zetu itabidi tufunge, na shida kuu tumekalia negativity kwamba Ohoo Watanzania hatuwezi ungana, hilo haliwezekani na kadhalika, Ok tungoje tuendelee kufixiwa na Wachina.
Mchina hata mzungu ameshindwa kwenye sekta ya ujenzi, itakuwa mswahili?Mchina nchi yake inampa ruzuku kubwa tu kwa kila tenda anayoipata na ndio maana kwenye tenda nyingi lazima ashinde kwani anatoa hesabu ya chini zaidi kulinganisha na wengine, kwani serikali yake inamuongezea pesa!!sisi waafrika kutokana na ubinafsi wetu kuungana huwa ni tabu, ni mkifanikiwa mala nyingi hamfiki mbali.
 
Biggs

JF-Expert Member
May 3, 2014
678
1,000
Nakuunga mkono ndg.
Kwenye kuungana ndio mahali uwekezaji wenye nguvu uliko.hata matajiri wachuuzi..utakuta ni mfanyabiashara mkubwa tu wa kuuza bidhaa za wenzake lkn hafikirii kuungana ili wafungue kiwanda.
Kwa kuongezea(Kwa baadhi ya shughuli):-
1) Innovation pia ni tatizo kwa watu wengi. Tunaegemea zaidi kwenye copy and paste without improvements or innovative value addition.

2) Malipo kidogo/Unyonyaji kwa wataalamu :- Unakuta mtu anataka bidhaa ama huduma kupitia ubunifu au utaalamu wako/through
innovation na ambayo at the end of the day atabaki nayo na kumzalishia pesa nyingi but malipo anayolipwa mtaalamu ni madogo.

3) Ubinafsi na ukosefu wa uaminifu kuwa kikwazo cha watu kuungana.
 
Claude Henry

Member
May 25, 2017
38
95
Hii nchi Utamaduni wetu ni kila mmoja aonekane ana Biashara yake, awe na Basi lake liandikwe jina lake apate sifa mtaani na kadhalika, hizi ndo aina za Biashara tunapenda sisi.

Watanzania biashara zetu zimejengwa juu ya msingi wa Udondo mtupu hasa pale itakapo kuja swala la Ushindani wa kutisha kutoka nje.Biashara zetu asilimia kubwa haziwezi kuhimili ushindani wa kutoka nje.

Nitatoa Baadhi ya Mifano Michache ninayo iona;

UJENZI
Tuna makampuni mengi sana ya Ujenzi ya wazawa yako mengi balaa, lakini angalia ni kampuni zipi zinapewa tenda ya kujenga Majumba makubwa na pia kujenga Barabara za lami nchini, Utaona ni Wazungu, Wachina na Wahindi ndo wanao tujengea Barabara zetu huku sisi tukiwa na utitili wa makampuni ya Ujenzi, Mpaka sasa hatutaki kujifunza na tumekomaa kila mtu na kikampuni chake tunasubilia janja janja na huruma tupate tenda za kuchonga Barabara za vumbi za mitaani, Hakuna hata single Company ya Ujenzi inaweza hata robo kushindana na Wachina au Wazungu.Ila Kampuni zetu zingeungana wakawa na kampuni yenye nguvu wanaweza, shindana hatutaki kwa sababu kila mmoja anataka aonekane.

USAFIRISHAJI
Hakuba haja ya kuwa na utitili wa wamailiki Daladala kwenye miji kama Dar, pale Kampuni hata 6 kubwa zinatosha kabisa kutoa huduma, ipo siku watu watakuja watamwaga Mabasi na tunaanza kulia ni Vidaladala vyetu, tunashindwa kusoma alama za nyakati kabisa,

UTITIRI WA VIWANDA
Siku hizi kumeibuka kutoka SIDO wanatoa mfunzo ya kuzalisha Sabuni, mara mafuta, Unga lishe na kadhalika, unakuta mtaa mmoja kuna Wazalisha Sabuni za maji kama 100 hivi na kila mtu anakomaa mwenyewe, hawa wana Idea inafanana ila waambie waungane asieee hutawaona na watakuja na sababu Miliona 1 za kwa nini hawataungana. Hivyo viwanda haviwezi fua Dafu kokote kule kwenye ushindani, na vingi vimekuwa vinajifia vyenyewe, Wachina unakuta Kiwanda kimoja kina share holder kama 600 hivi, Wachina kampuni zao nyingi ni Muungano wa watu wengi sana wenye malengo sawa, na ndo hao wanaotoa kichapo kwenye viwanda vyetu.

VI MIN SUPER MARKET
Hizi ni nyingi sana hasa Dar kila mtu anaona sifs kuea nacho cha kakwr, ila kusanya Min Super Markrt 100 Dar haziwezi shindana na Supet market moja kama Shorppers, na zinginezo kama Village Super Market.
Hizi Min nyingi watu wangeweza kuungana wakaja na Super market za kutoa ushindani lakini wapi hilo haliwezekani kabisa.

Sekita Ziko nyingi sana ambazo Watanzania hakika tusipo unganisha nguvu ipo siku tutaenda kulilia chooni, hatutaweza shindana na Viwanda vya India, China, Ulaya, na hawa walivyo wajanja wanakuja hata kusimika kiwanda huku huku kwetu.

Watu wanakuja na Mitaji yao wanayo pewa kutoka kwao, na watafanya vitu vikubwa ambayo sisi biashara zetu itabidi tufunge, na shida kuu tumekalia negativity kwamba Ohoo Watanzania hatuwezi ungana, hilo haliwezekani na kadhalika, Ok tungoje tuendelee kufixiwa na Wachina.
Big up sana- hiyo ndiyo moja ya njia kupata mtaji mkubwa wa kushindana na wageni wanaopewa mikopo mikubwa na benki zao za nyumbani kuja kuteka masoko kwa - wazawa wanao ridhika haraka. Labda hatuna ujuzi wa biashara, mikataba, "partnership"?
 
souljar

JF-Expert Member
Feb 16, 2021
685

Nimesikitika sana baada ya kusima Mo anatoa ahadi ya ajira 100,000 kwa serikali yetu.. Yani serikali imekuwa tegemezi kwa wafanya biashara. Lord have Mercy!!
 
Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
13,709
2,000
Acheni :- Mzungu mwite Mzungu
Mchina mwite Mchina.... na Wahindi tuwaite
Wahindi..
Watanzania tujifunze kwao UCHUMI ili tuweze, tujitume na kuheshimu wakati na uwajibikaji... tutaweza tutafika !!
 
kitaboy

JF-Expert Member
Jan 10, 2021
298
1,000
Hii nchi Utamaduni wetu ni kila mmoja aonekane ana Biashara yake, awe na Basi lake liandikwe jina lake apate sifa mtaani na kadhalika, hizi ndo aina za Biashara tunapenda sisi.

Watanzania biashara zetu zimejengwa juu ya msingi wa Udondo mtupu hasa pale itakapo kuja swala la Ushindani wa kutisha kutoka nje.Biashara zetu asilimia kubwa haziwezi kuhimili ushindani wa kutoka nje.

Nitatoa Baadhi ya Mifano Michache ninayo iona;

UJENZI
Tuna makampuni mengi sana ya Ujenzi ya wazawa yako mengi balaa, lakini angalia ni kampuni zipi zinapewa tenda ya kujenga Majumba makubwa na pia kujenga Barabara za lami nchini, Utaona ni Wazungu, Wachina na Wahindi ndo wanao tujengea Barabara zetu huku sisi tukiwa na utitili wa makampuni ya Ujenzi, Mpaka sasa hatutaki kujifunza na tumekomaa kila mtu na kikampuni chake tunasubilia janja janja na huruma tupate tenda za kuchonga Barabara za vumbi za mitaani, Hakuna hata single Company ya Ujenzi inaweza hata robo kushindana na Wachina au Wazungu.Ila Kampuni zetu zingeungana wakawa na kampuni yenye nguvu wanaweza, shindana hatutaki kwa sababu kila mmoja anataka aonekane.

USAFIRISHAJI
Hakuba haja ya kuwa na utitili wa wamailiki Daladala kwenye miji kama Dar, pale Kampuni hata 6 kubwa zinatosha kabisa kutoa huduma, ipo siku watu watakuja watamwaga Mabasi na tunaanza kulia ni Vidaladala vyetu, tunashindwa kusoma alama za nyakati kabisa,

UTITIRI WA VIWANDA
Siku hizi kumeibuka kutoka SIDO wanatoa mfunzo ya kuzalisha Sabuni, mara mafuta, Unga lishe na kadhalika, unakuta mtaa mmoja kuna Wazalisha Sabuni za maji kama 100 hivi na kila mtu anakomaa mwenyewe, hawa wana Idea inafanana ila waambie waungane asieee hutawaona na watakuja na sababu Miliona 1 za kwa nini hawataungana. Hivyo viwanda haviwezi fua Dafu kokote kule kwenye ushindani, na vingi vimekuwa vinajifia vyenyewe, Wachina unakuta Kiwanda kimoja kina share holder kama 600 hivi, Wachina kampuni zao nyingi ni Muungano wa watu wengi sana wenye malengo sawa, na ndo hao wanaotoa kichapo kwenye viwanda vyetu.

VI MIN SUPER MARKET
Hizi ni nyingi sana hasa Dar kila mtu anaona sifs kuea nacho cha kakwr, ila kusanya Min Super Markrt 100 Dar haziwezi shindana na Supet market moja kama Shorppers, na zinginezo kama Village Super Market.
Hizi Min nyingi watu wangeweza kuungana wakaja na Super market za kutoa ushindani lakini wapi hilo haliwezekani kabisa.

Sekita Ziko nyingi sana ambazo Watanzania hakika tusipo unganisha nguvu ipo siku tutaenda kulilia chooni, hatutaweza shindana na Viwanda vya India, China, Ulaya, na hawa walivyo wajanja wanakuja hata kusimika kiwanda huku huku kwetu.

Watu wanakuja na Mitaji yao wanayo pewa kutoka kwao, na watafanya vitu vikubwa ambayo sisi biashara zetu itabidi tufunge, na shida kuu tumekalia negativity kwamba Ohoo Watanzania hatuwezi ungana, hilo haliwezekani na kadhalika, Ok tungoje tuendelee kufixiwa na Wachina.
Una mawazo mazuri sana mkuu, ila kwa mfumo qa nchi yeti mgeni na wasio rasmi ndio wanathaminiwa ukijaribu kuwa rasmi usumbufu wake usikie.

Mfano nilijaribi kuwa rasmi katika biashara fulani haya nayaona:

Kwanza halmashauri za miji zinakuandama kisa tu umekuwa rasmi na ofisi yako inajulikana, vitisho ni kila muda sio kuhamasishwa au kusaidiwa kutatuliwa changamoto zako, hilo sahau.

Kampuni kibao za kitapeli kila mara zinaingia ofisin kwako kutaka hela anza na makampuni ya taka ya mji, Osha, ushuru wa mji kila mwez n.k

TRA Hawa hapa kila mwezi, ilihal mapato unalipa au ushalipa ila kila mara wako ofisini kwako na vitisho vya kisheria visivyo isha.

Ila ukiwa haupo rasmi changamoto zipo ila afadhali kulilo alieamua kusajili na kufuata sheria za nchi.

Hicho ulichoshauri sedikali na watendaji wake Serikalini inaingilia inawaharibu vibaya ndio utajuta kufuata maneno ya kwenye Tv kwamba vijana mjiajiri, sijui tengenezeni ajira ....mkuu unageuka ng'ombe wao wa kukamuliwa hadi usaha wanakunywa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom