kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,156
- 11,608
Wana jamvi.
MaJuzi mmesikia USA waki conderm majanga yaliotokea ktk nchi yetu nzuri. Na E.U kuzuia msaada wao wa 180 million Dollars kwa kisingizo hicho hicho.
Juzi Balozi wa USA nchini amesaini mikataba mikubwa mitatu ya makampuni ya MAREKANI kuwekeza Hapa Nchini.
Sasa wale ambao wanadhani wanaweza kufanya wanachotaka kwa kudhani Wakoloni watawasapoti kwa mfano huu inatosha kabisa kufahamu kuwa wenye kuweza kuiinua Tanzania ni watanzania WENYEWE na Sio Vijana wezi waliotoka nje ya Tz walifuatana na vijana wetu wasiojitambua wala
mkoloni wala nchi yyt ya Nje.
Watu wasitumiwe na wenye nia mbaya na nchi yetu kuiharibu na kuturudisha miaka 100 nyuma.
Hakuna chama chochote kisicho na kasoro. Na tunakubali wote kuwa bado Tanzania kuna mafisadi na mapungufu mengi mno. Lkn insiwe sababu ya kuiharibu nchi hii.
Wengi wetu tumeona maafa ya kuruhusu WAHUNI kuwalisha kero za wananchi mitaani .
Wale majambazi wameua askari na kuvunja na kuiba mali za watanzania. Matokea yake askari wamerudisha mashambulizi na kusababisha wasio husika kupoteza maisha.!
Nawaita majambazi sababu hakuna maandamano yanayovunja DUKA LA MTU na kuchoma gari ya mtu na nyumba za wananchi wanyonge au kulenga MIUNDO MBINU INAYO WASAIDIA WANANCHI kisha ukawaita hao wakombozi.
Hao wataitwa MAJAMBAZI mpk siku ya mwisho
Tutulize vichwa tutafakari kipi cha kufanya ili kero za vijana vifanyiwe kazi.
LIBYA walisema Gaddafi ni Dictator wakamuua.
IRAQ walisema SADAM ni Dictator wakamuua.
Leo nani anataka kwenda LIBYA au IRAQ?
WAZUNGU wameitamani hii nchi miaka mingi sana na wanamiminika kuwekeza huku wakidanganya watanzania kuwa wanajali .
Tusipo amka sasa. Kinachokuja mbele hatutopata wa kumlaumu ispokuwa Sisi wenyewe.
Na yeyote atakaejifanya ANA KIBURI au kudhani Tanzania ni BANANA REPUBLIC kwamba unaweza kuingia mitaani na kuvunja na kuua ASKARI na kuchoma unachotaka atakuwa amejitakia full force ya DOLA KUMUANGUKIA.
Sasa kazi kwetu.
Remember. Your life is more precious than anything in this ugly world.