shonkoso
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 590
- 1,205
Watanzania ifike mahali tuwe tunasema ukweli wa mambo,Mimi naona kabla ya kupata elimu bure tungehakikisha kuwa elimu yetu inakuwa bora.Wote in mashahidi kuwa uthamani wa kitu unategemea pia gharama za hicho kitu,sipingani na wazo la elimu bure lakini naona kama tumekosa shabaha,kwani kwa mzazi ammbae ana uhakika na matokeo ya mtoto wake hata laki mbili kwa mwaka anaweza kutoa,nakaribisha mitizamo yenu waku.