Watanzania tunataka elimu bora au elimu bure?

shonkoso

JF-Expert Member
Mar 13, 2015
586
1,188
Watanzania ifike mahali tuwe tunasema ukweli wa mambo,Mimi naona kabla ya kupata elimu bure tungehakikisha kuwa elimu yetu inakuwa bora.Wote in mashahidi kuwa uthamani wa kitu unategemea pia gharama za hicho kitu,sipingani na wazo la elimu bure lakini naona kama tumekosa shabaha,kwani kwa mzazi ammbae ana uhakika na matokeo ya mtoto wake hata laki mbili kwa mwaka anaweza kutoa,nakaribisha mitizamo yenu waku.
 
mtu majeruhi WA ukawa utamjua tu, hataki kukubali ukweli na anakua kama mwanamke Malaya akilini mwake
 
Watanzania ifike mahali tuwe tunasema ukweli wa mambo,Mimi naona kabla ya kupata elimu bure tungehakikisha kuwa elimu yetu inakuwa bora.Wote in mashahidi kuwa uthamani wa kitu unategemea pia gharama za hicho kitu,sipingani na wazo la elimu bure lakini naona kama tumekosa shabaha,kwani kwa mzazi ammbae ana uhakika na matokeo ya mtoto wake hata laki mbili kwa mwaka anaweza kutoa,nakaribisha mitizamo yenu waku.

Swala ni kwamba hata masikini anatakiwa kupata Elimu.

swissme
 
Watanzania ifike mahali tuwe tunasema ukweli wa mambo,Mimi naona kabla ya kupata elimu bure tungehakikisha kuwa elimu yetu inakuwa bora.Wote in mashahidi kuwa uthamani wa kitu unategemea pia gharama za hicho kitu,sipingani na wazo la elimu bure lakini naona kama tumekosa shabaha,kwani kwa mzazi ammbae ana uhakika na matokeo ya mtoto wake hata laki mbili kwa mwaka anaweza kutoa,nakaribisha mitizamo yenu waku.

ukawa mnapata shida sana...!!!!

Pombe anawanyoosha kwelikweli........!!!!
 
Jan c o mbali.na likizo ya mwezi wa 6 2016 inshalah tukifika fanyeni tathmin.kwa sasa mwachen mkuu awajibike.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom