Watanzania tunasahau mapema sana

Watanzania tunasahau mapema sana

PauloKichaa

Senior Member
Joined
Jun 6, 2011
Posts
124
Reaction score
40
Ukiangalia yanayoendelea utagundua tatizo la hii nchi ni kutokuwa na dira shirikishi ya pamoja ambayo inatoa mwelekeo wa nchi na wananchi wakaelewa na hii ndio maana kila anayeingia tutamshangilia hasa anapoenda kinyume na mtangulizi wake halafu baada ya muda mbele tunaanza kumkumbuka mtangulizi.

Nadhani sasa ni wakati wa viongozi wetu kutuweka sawa katika hili kama nchi ielewe kama ni miradi ya kimkakati ya miundo mbinu inatakiwa kutekelezwa kwa miaka 10 ijayo ijuilikane na wanaokuja regardless ya chama watekeleze ilani zibakie kuchochea ukuaji wa uchumi.

Vinginevyo kila baada ya uchaguzi tutashangilia halafu tunaanza maumivu.
 
Binafsi ni mapema sana kwangu kumshangilia huyu mama! Kwa sababu sijaona athari yoyote ile chanya katika maisha yangu tangu alipo ingia madarakani, nikiwa kama mtumishi wa umma wa nchi hii!

Ila kusema ule ukweli, nimefarijika tu kuondoka kwa yule mwingine! Ingawa pia kama mwanadamu mwenye hisia, sijafurahia kifo chake. I wish angekua tu yuko nje ya utawala! Kwa sababu sikuwahi kumkubali kwa namna alivyo endesha mambo.
 
Hii nchi japo kweli haina dira, Ila angalau waliopita b4 Maghufuli walikuwa na uelewa wa hiki kitu , to be honest Maghufuli kaja kaharibu kila kitu.

Alikuwa na mikakati yake kichwani tuu , bila kufanya calculation ya athari ya moja Kwa moja kwenye uchumi wa wananchi , japo indicator zilianza kuonyesha uelekeo mbovu, Ila jamaa akawa na kiburi Tu, huku akikosa wahisani kwenye miradi yake iliyokuwa ina overwhelming Taifa akabuni Kodi za hovyo hovyo, na kupora hela huku na huku, za wastaafu, kukopa huku na kule, kuminya ajira, kuchungulia accnt za watu na kuwabambikizia kesi ili achote hela zao, ili kutimiza malengo ambayo yalikuwa ni impossible right now, akiwa ameishiwa pumzi aliamua kubuni mikakati ya kubaki madarakani ili akamilishe miradi yake aliyokurupuka kwayo.

Utawala wa Maghufuli umetoa funzo kubwa Sana, Kwa mara ya Kwanza nipo mstari wa mbele kuwa na kudai katiba mpya.
Jamaa kaonyesha namna katiba hii ilivyo mbovu ajabu, na bado aliikanyaga tuu Kwa kiburi Tu yaaan.
 
Hii nchi japo kweli haina dira, Ila angalau waliopita b4 Maghufuli walikuwa na uelewa wa hiki kitu , to be honest Maghufuli kaja kaharibu kila kitu,.... Alikuwa na mikakati yake kichwani tuu , bila kufanya calculation ya athari ya moja Kwa moja kwenye uchumi wa wananchi , japo indicator zilianza kuonyesha uelekeo mbovu , Ila jamaa akawa na kiburi Tu, huku akikosa wahisani kwenye miradi yake iliyokuwa ina overwhelming Taifa akabuni Kodi za hovyo hovyo ,na kupora hela huku na huku , za wastaafu, kukopa huku na kule , kuminya ajira, kuchungulia accnt za watu na kuwabambikizia kesi ili achote hela zao , ili kutimiza malengo ambayo yalikuwa ni impossible right now , akiwa ameishiwa pumzi aliamua kubuni mikakati ya kubaki madarakani ili akamilishe miradi yake aliyokurupuka kwayo ..

Utawala wa Maghufuli umetoa funzo kubwa Sana , Kwa mara ya Kwanza nipo mstari wa mbele kuwa na kudai katiba mpya...
Jamaa kaonyesha namna katiba hii ilivyo mbovu ajabu , na bado aliikanyaga tuu Kwa kiburi Tu yaaan
Tatizo la watanzania wa Leo siyo katiba mpya Ila hawana uwezo wa kuilinda na kuitetea katiba hata hiyo ya kale🙉🙉
 
Tatizo la watanzania ni katiba mpya. Katiba ya zamani inayompa Rais mkono mrefu hadi mahakamani ndiyo iliyomfanya aweze kuweka watu wake mahakamani kwa kipindi kifupi sana ambao walifunga watu hovyo hovyo pia hiyo ndiyo inayompa uwezo wa kulifanya bunge kama idara ya serikali tu ambapo linatumika kama muhuri wa kupitisha sheria zake, kuondoa wabunge ambao hawataki na kutohojiwa kwa matumizi ya serikali.
Tatizo la watanzania wa Leo siyo katiba mpya Ila hawana uwezo wa kuilinda na kuitetea katiba hata hiyo ya kale
 
Ukiangalia yanayoendelea utagundua tatizo la hii nchi ni kutokuwa na dira shirikishi ya pamoja ambayo inatoa mwelekeo wa hii nchi na wananchi wakaelewa na hii ndio maana kila anayeingia tutamshangilia hasa anapoenda kinyume na mtangulizi wake halafu baada ya muda mbele tunaanza kumkumbuka mtangulizi

Nadhani sasa ni wakati wa viongozi wetu kutuweka sawa katika hili kama nchi ielewe kama ni miradi ya kimkakati ya miundo mbinu inatakiwa kutekelezwa kwa miaka 10 ijayo ijuilikane na wanaokuja regardless ya chama watekeleze ilazo zibakie kuchochea ukuaji wa uchumi

Vinginevyo kila baada ya uchaguzi tutashangilia halafu tunaanza maumivu
Kwahiyo mwanao akifaulu mtihani wa darasa la saba hutakiwi kufurahi kwasababu atakuja kufeli mtihani wa form four ???

Hata wakati wa furaha mnalazimisha machozi, mnafaidika nini na machozi ya watu !?
 
Tatizo la watanzania wa Leo siyo katiba mpya Ila hawana uwezo wa kuilinda na kuitetea katiba hata hiyo ya kale🙉🙉

Katiba inatakiwa ijilinde yenyewe na sio kulindwa kwa utashi wa rais aliye madarakani. Katiba inatakiwa itoe nguvu kwa mihimili/mifumo na sio kwa cheo cha rais. Hii ya rais kutoshtakiwa na kuachwa awe na nafasi ya kuchagua viongozi karibia wote wa Taasisi za kimamla, tena bila kuhitaji ushauri kokote, hapo ndio tatizo la msingi lilipo, maana inapelekea watu kumtii rais na sio katiba.
 
JPM ndio pekee alikuwa hana dira wala mipango Kikwete hakuna jambo la Mkapa aliliacha aliendeleza yote lakini JPM akaleta uChato.Unadhani kisa kaanza madudu yake mama ayaendeleze. Chato projects ndo mwisho. Na mama kasema reli na umeme ndio miradi ya kimkakati ataendelea nayo.
 
JPM ndio pekee alikuwa hana dira wala mipango Kikwete hakuna jambo la Mkapa aliliacha aliendeleza yote lakini JPM akaleta uChato.Unadhani kisa kaanza madudu yake mama ayaendeleze. Chato projects ndo mwisho. Na mama kasema reli na umeme ndio miradi ya kimkakati ataendelea nayo.
Sawa sawa,hakuna shida hata hiyo reli na umeme anaweza amua akaacha,vipi Magazeti yanafunguliwa au ni viTV Mtandao tu🤣🤣🤣🤣,kalakhabao
 
Back
Top Bottom