Lokissa JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 7,445 Reaction score 2,509 Oct 24, 2013 #1 Balozi wa Swaziland, Tanzania na balozi wa Botwasana. Picha inaongea mengi zaidi (kwa hisani ya Michuzi)
Balozi wa Swaziland, Tanzania na balozi wa Botwasana. Picha inaongea mengi zaidi (kwa hisani ya Michuzi)
The last don JF-Expert Member Joined Aug 3, 2011 Posts 1,166 Reaction score 1,421 Oct 24, 2013 #2 Mkuu usisahau kuwa photogenic nacho ni kipaji....
Lokissa JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 7,445 Reaction score 2,509 Oct 24, 2013 Thread starter #3 hiyo sura kaikunja tofauti na wenzie. naanza kuamini ile study kuwa sisi ni watu tunaonuna siku zote duniani
hiyo sura kaikunja tofauti na wenzie. naanza kuamini ile study kuwa sisi ni watu tunaonuna siku zote duniani
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,770 Oct 25, 2013 #4 Jamani ni pozi la picha tu
Lokissa JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 7,445 Reaction score 2,509 Oct 25, 2013 Thread starter #5 kama ni pozi basi litakuwa la kipekee sana duniani. wenzie waote wako happy lakini yeye mhhhh.. Heaven on earth said: Jamani ni pozi la picha tu Click to expand...
kama ni pozi basi litakuwa la kipekee sana duniani. wenzie waote wako happy lakini yeye mhhhh.. Heaven on earth said: Jamani ni pozi la picha tu Click to expand...
Mfamaji JF-Expert Member Joined Nov 6, 2007 Posts 6,629 Reaction score 1,951 Oct 25, 2013 #6 Nafikiri kuna ka ukweli hapa. Nafikiri miamze kujifunza namna ya kuwa happy all the time hata kama sina ndururu.
Nafikiri kuna ka ukweli hapa. Nafikiri miamze kujifunza namna ya kuwa happy all the time hata kama sina ndururu.
W WANKIE JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 987 Reaction score 323 Oct 25, 2013 #7 mchana mwema!
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,921 Oct 26, 2013 #8 upaa upara
LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 Oct 28, 2013 #9 Yupi alienuna? mimi naona mmoja anaDesa tuu. Hakujiandaa na kikao hicho.
georgeallen JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 4,120 Reaction score 1,892 Oct 28, 2013 #11 Lokissa said: Balozi wa Swaziland, Tanzania na balozi wa Botwasana. Picha inaongea mengi zaidi (kwa hisani ya Michuzi) Click to expand... Huyo hajanuna wala nini. Hapo ndiyo ametabasamu - ILA duniani Kuna wanawake wenye sura ngumu!
Lokissa said: Balozi wa Swaziland, Tanzania na balozi wa Botwasana. Picha inaongea mengi zaidi (kwa hisani ya Michuzi) Click to expand... Huyo hajanuna wala nini. Hapo ndiyo ametabasamu - ILA duniani Kuna wanawake wenye sura ngumu!
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,345 Reaction score 15,852 Oct 28, 2013 #12 Mi mwenyewe nafanya jitihada niwe smiley mda wote ila najikuta tu nmenuna..
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,435 Oct 28, 2013 #13 tukiwachekeachekea watatuwala kijinga bora tuwe nawakazia sura Nalog off