Mantuntunu
Senior Member
- Nov 1, 2010
- 137
- 16
Naomba niseme hili..! Watanzania tuache KUPIGA domo, wapinzani wametufunulia ufisadi mwingi sana Kuanzia EPA, Richmond, Rada, pamoja na Escrow na kwa kweli wamefanya kazi nzuri ya kufichua wizi huu. Tujiulize swali moja na hii ni kila mtu, tumefanya nini kuwapa support yetu?? What do we want them to do for us? Tumekaa na uoga wetu kuongea sana kwenye mitandao tu. Wakifanya mikutano ni wangapi wanahudhuria?au tunawaacha peke Yao wanapigwa virungu na tunaishia kuwapa pole kwenye mitandao?? Watanzania we don't know what we want bcoz if we did we will fight for our country and protect our resources and make sure zinatufaidisha wananchi.
Issue ya Escrow I really thought we would do something about it, I don't know labda kuandamana, au kwenda kuwatandika viboko watuhumiwa wote kule Dodoma, au kuprotest kwa namna yoyote Ile kwa vitendo but we didn't tukaishia kuongea kwenye blogs, twitter and FB.
Ukifika wakati wa Kupiga Kura hatupigi, wapinzani wanaambulia Kura chache, hata tukiwa na ushahidi kuwa CCM wameiba Kura Kwenye baadhi ya majimbo tunafanya nini? Kulalamika kwenye mitandao.
Sasa tuje kwenye Suala la Lowasa, Mimi pia mwanzoni nilikuwa njia panda but when I gave it a thought then nikaona it makes sense, why wawategemee nyie watu wasiopiga Kura? And why not Lowasa? He may not be clean but is CCM clean? What is kula matapishi? Let them eat, watanzania mmefanya nini kubadilisha hii Hali ya nchi yetu? Mmekaa humu ndani mnalaumu tu ooh Ukawa umekosea, Ukawa why Lowasa as usual complaining a lot kwenye net.
Acha wamkaribishe Lowasa, Kama watanzania mmeshindwa kuwapa madaraka mpaka leo hii, wafanye nini ili ccm tuitoe madarakani? we can't even protest kwa sababu ya uoga wetu eti amani. Aargh! MNACHOSHA Let UKAWA take risk at least they have guts! Please give them time, They are not dumb..! Tuwe na Subira..!