Watanzania tunahitaji ukombozi wa fikra

Watanzania tunahitaji ukombozi wa fikra

miemwenye

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
31
Reaction score
0
Nimegundua wengi sana tunaendeshwa na ushabiki, narudia tena serikali hii inamengi ya kulaumiwa lakini sisi tunaolaumu je tukoje? kulaumu peke yake haitatusaidia tunatakiwa tuamke. Sijamsikia kiongozi yeyote ukiacha mzee Mkapa ambae alisema wazi kuwa watz wengi ni wavivu wa kufikiri, mimi naongeza kuwa wengi pia ni wavivu wa kufanya kazi na waliojaa lawama, vyama vya siasa vinatutumia kama mtaji wa kwenda ikulu,cha msingi watu influential like President Kikwete, Zitto, Mnyika, J.Makamba, Mbowe, Dr na wengine wengi wawaambie watanzania wafanye kazi kwa bidii,watoe taarifa za uhalifu wanapoona uhalifu unatendeka, waende kazini kwa wakati na watoke kwa wakati,wasitoe rushwa, watende haki kwa nafasi zao hata kama ni mjumbe wa serikali ya mtaa. Swali la kwanza liwe 'NITAIFANYIA NINI TANZANIA? SIO TUU KUKAA NA KULAUMU. KWA MTINDO HUU Tutangoja sana, maendeleo sio Rais, ni mimi,wewe na baadae tunajikuta tumeendelea kama taifa.
NAOMBA KUWASILISHA.
 
::
Ukombozi wa kifikra unatakiwa uanzie shuleni,ili ujenge msingi mzuri
Lakini kila nikiangalia mf. Vitabu kama Ngoswe penzi kitovu cha Uzembe
Najiuliza fikra za kimapinduzi zitatoka wapi?
=
 
Well spoken Tetra, inabidi tuungane na mh. Mbatia, ni lazima mfumo mzima wa elimu uangaliwe upya.
 
::
Ukombozi wa kifikra unatakiwa uanzie shuleni,ili ujenge msingi mzuri
Lakini kila nikiangalia mf. Vitabu kama Ngoswe penzi kitovu cha Uzembe
Najiuliza fikra za kimapinduzi zitatoka wapi?
=



kamanda unaelewa kuhusu maudhui ya hicho KITABU?
 
uko sahihi ila umepotoka kidogo, nitarudi kukueleza upopotoka
 
Back
Top Bottom