RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,820
- 129,713
Hamna lolote. Watu wangeacha kwenda kwa kuogopa Corona nyinyi ndio mngekuwa wa Kwanza kuweka thread kuwa hamna watu kwasababu anachukiwa! Leo mnaona watu wamejaa kwa mpendwa wao mnaumia mnaanza kujidai mnajali sana Corona! Asilimia kubwa ya Watanzania hawavai barakoa wala social distancing hawafuati ila humu mtandaoni mnajisai mnajali sana barakoa.