CalifNice
Member
- Mar 28, 2012
- 78
- 28
Ndugu zang watanzania nawaombeni kwa hekima na busara bila ya utashi wa kitu chochote tumuangalieni huyu jamaa anavofanya kweli ndio mkuu anavotakiwa afanye au kuna dudu linamsumbua lakin sisi hatujui tunabaki kulalamika tu?
wana j f nimewasilisha...uchambuzi ndio dira yetu
wana j f nimewasilisha...uchambuzi ndio dira yetu