Watanzania tupunguze kulalamika. Serikali iliyopita watu walikuwa wakilalamika leo Magufuli anataka kuipanga Serikali upya nao wanalalamika. Mtaisha lini kulalamika. Kila miaka ni kulalamika tu.
Nani atatufanya tusilalamike??? Huwa najiuliza maswali kama wafanyabiashara kodi wanazolipa kwenye EFD wanatuwekea sisi walaji inakuwaje walalamike? Pili kama ulikuwa na hotel sasa haina wateja jiulize wateja wameenda wapi?? Kama ulizoea safari kila siku leo hazipo badili mfumo wa maisha.
Zambia wamebana kila kitu ni zaidi ya Tanzania. Nenda zambia ukajionee maisha yalivyo magumu. Tubadili mfumo wetu wa maisha wa kuetegemea mteremko.
Mimi naomba Rais aendelee hivi hivi ili Tanzania iwe kwenye mstari