tabula sio lasa
Member
- Dec 18, 2017
- 19
- 7
Tangu mh. JPM kuingia madarakani mengi yameonekana akiwa kama binadamu hakosi madhaifu ila watanzania too much tumezidi kukosoa hatujui hata kusifia nauhakika kuna mtu hapa ukimuuliza jema moja la mh JPM atakwambia hana.
Mwisho wa kuwaza
Watanzania wapumbavu wachache hawajui thamani ya kitu hadi kitakapopotea lakini tulio wengi tunathamini na kuunga mkono juhudi za mh Rais katika kutupeleka katika uchumi wa katiTangu mh. JPM kuingia madarakani mengi yameonekana akiwa kama binadamu hakosi madhaifu ila watanzania too much tumezidi kukosoa hatujui hata kusifia nauhakika kuna mtu hapa ukimuuliza jema moja la mh JPM atakwambia hana.
Mwisho wa kuwaza
Mkuu Tabula, you are right, this is becoming too much!.Tangu mh. JPM kuingia madarakani mengi yameonekana akiwa kama binadamu hakosi madhaifu ila watanzania too much tumezidi kukosoa hatujui hata kusifia nauhakika kuna mtu hapa ukimuuliza jema moja la mh JPM atakwambia hana.
Mwisho wa kuwaza
Tangu mh. JPM kuingia madarakani mengi yameonekana akiwa kama binadamu hakosi madhaifu ila watanzania too much tumezidi kukosoa hatujui hata kusifia nauhakika kuna mtu hapa ukimuuliza jema moja la mh JPM atakwambia hana.
Mwisho wa kuwaza
Sio udhaifu ni ujeuri ndio uliozidi kupindukia wacha SIZONJE [emoji196] akosoleweTangu mh. JPM kuingia madarakani mengi yameonekana akiwa kama binadamu hakosi madhaifu ila watanzania too much tumezidi kukosoa hatujui hata kusifia nauhakika kuna mtu hapa ukimuuliza jema moja la mh JPM atakwambia hana.
Mwisho wa kuwaza
Umemsemesha kikilistu hakijui mwambie kiswahili akuelewePeople are not alike
And we are here with different tasks...
Think about it
kweli hakunaTangu mh. JPM kuingia madarakani mengi yameonekana akiwa kama binadamu hakosi madhaifu ila watanzania too much tumezidi kukosoa hatujui hata kusifia nauhakika kuna mtu hapa ukimuuliza jema moja la mh JPM atakwambia hana.
Mwisho wa kuwaza
Mkuu mizwazwa mingine c ya kuijibuSi hatutaki mema ya mtu, sisi tunataka maisha yanayoeleweka, sisiemu imetudanganya vya kutosha, haki sawa kwa wote, maisha bora kwa kila mtanzania, hapa kazi tu wakati makampuni yanafungwa na wengine kupunguza kazi, maduka yanafungwa.
Tangu mh. JPM kuingia madarakani mengi yameonekana akiwa kama binadamu hakosi madhaifu ila watanzania too much tumezidi kukosoa hatujui hata kusifia nauhakika kuna mtu hapa ukimuuliza jema moja la mh JPM atakwambia hana.
Mwisho wa kuwaza
Hebu taja mema ata matano tu.Tangu mh. JPM kuingia madarakani mengi yameonekana akiwa kama binadamu hakosi madhaifu ila watanzania too much tumezidi kukosoa hatujui hata kusifia nauhakika kuna mtu hapa ukimuuliza jema moja la mh JPM atakwambia hana.
Mwisho wa kuwaza
Nasubilia kipotee hata sasaivi sababu hakina thamaniWatanzania wapumbavu wachache hawajui thamani ya kitu hadi kitakapopotea lakini tulio wengi tunathamini na kuunga mkono juhudi za mh Rais katika kutupeleka katika uchumi wa kati
We ndo mpumbavuWatanzania wapumbavu wachache hawajui thamani ya kitu hadi kitakapopotea lakini tulio wengi tunathamini na kuunga mkono juhudi za mh Rais katika kutupeleka katika uchumi wa kati
Hapa ndipo SIZONJE[emoji196] anapokustukia na kukupotezeaMkuu Tabula, you are right, this is becoming too much!.
Niliwahi kushauri humu
Tusilalamike Tuu, Kulaumu na Kulaani Kila Kitu, Kwenye Mazuri Tupongeze, Rais Magufuli is Changing For The Better!.
2017 JF Tubadilike, Tupunguze Kuwa "Barking Dogs, Seldom Bite", Tusiishie Kubweka Tuu, Tung'ate!.
Watanzania tukosoane kwa nia ya kujenga na sio kubomoa- Clouds 360
Rais Magufuli na serikali yake wakosolewe kwa hoja sio kwa viroja - Jicho letu, Star TV
Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli
Na ili kuthibitisha kuwa Magufuli anakubalika sana, sisi wengine tumeshauri humu, kwa 2020, hakuna haja ya kufanya uchaguzi wa rais, Magufuli aendelee tuu hadi 2025
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Paskali
aliomba tumwombee, tukamwombea, mungu akatuma ujumbe was malaika akasema Hugo mnayemwombea atubu kwanza, tumerudisha majibu anaanza kupambana nasiMkuu Tabula, you are right, this is becoming too much!.
Niliwahi kushauri humu
Tusilalamike Tuu, Kulaumu na Kulaani Kila Kitu, Kwenye Mazuri Tupongeze, Rais Magufuli is Changing For The Better!.
2017 JF Tubadilike, Tupunguze Kuwa "Barking Dogs, Seldom Bite", Tusiishie Kubweka Tuu, Tung'ate!.
Watanzania tukosoane kwa nia ya kujenga na sio kubomoa- Clouds 360
Rais Magufuli na serikali yake wakosolewe kwa hoja sio kwa viroja - Jicho letu, Star TV
Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli
Na ili kuthibitisha kuwa Magufuli anakubalika sana, sisi wengine tumeshauri humu, kwa 2020, hakuna haja ya kufanya uchaguzi wa rais, Magufuli aendelee tuu hadi 2025
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Paskali
Tangu mh. JPM kuingia madarakani mengi yameonekana akiwa kama binadamu hakosi madhaifu ila watanzania too much tumezidi kukosoa hatujui hata kusifia nauhakika kuna mtu hapa ukimuuliza jema moja la mh JPM atakwambia hana.
Mwisho wa kuwaza
Mkuu Tabula, you are right, this is becoming too much!.