tabula sio lasa
Member
- Dec 18, 2017
- 19
- 7
- Thread starter
- #41
Hapo nimekuelewa labda nikwambie kuna tofauti kati ya kumkosoa na kumkashifu mtu hakuna kiumbebanaeweza kumkosoa mungu isipokuwa kumkashifuMungu anakosolewa na kitukanwa, wakati mwingine na walevi mbona hawachapi viboko badala take huwajaalia ridhiki walevi haya wapate kuishi na kesho. Mkuu pia uongozi huanza na familia mbona baba nyumbani akikosea hukodolewa? Tena wakati mwingine na kitoto kudogo
Hata watanzania wengi wanafanya kukashifu mf kusema pombe sio chai wakizani wanakosoa kumbe wanakashifu