Wakuu mimi imeniumiza sana kuona wakenya wameamua kuonyesha hasira zao na kuandamana kuchagiza mawaziri mafisadi watimuliwe. Sisi ni maneno tu wananharakati wetu wanansheria mnafanya nini? Sheria mlisomea za nini kama haziwezi kutusaidia sisi ambao jatujui sheria kuu zikoje??
Naomba wakuu wanaJF tuamke jamani na hasa wanasheria na wanaharakati wengine yaitishwe maandamano ya kuitaka serikali ivunje mikataba yote mibovu na kuwafukuza mawaziri wote wanaoendelea kuliingiza taifa hili ktk hasara kila siku kama kawambwa na wengine.