Watanzania tumeshindwa na wakenya wameandamana kupinga ufisadi???

Magezi

JF-Expert Member
Oct 26, 2008
3,359
692
Wakuu mimi imeniumiza sana kuona wakenya wameamua kuonyesha hasira zao na kuandamana kuchagiza mawaziri mafisadi watimuliwe. Sisi ni maneno tu wananharakati wetu wanansheria mnafanya nini? Sheria mlisomea za nini kama haziwezi kutusaidia sisi ambao jatujui sheria kuu zikoje??

Naomba wakuu wanaJF tuamke jamani na hasa wanasheria na wanaharakati wengine yaitishwe maandamano ya kuitaka serikali ivunje mikataba yote mibovu na kuwafukuza mawaziri wote wanaoendelea kuliingiza taifa hili ktk hasara kila siku kama kawambwa na wengine.
 
We si uliona mazingaombwe ya walafi wachache pale Dodoma, ati rais hana nguvu za kuwawajibisha vibaka?

Usitie hofu siku yaja na saa karibu inakaribia.
 
Bado tunachapa usingizi..pengine kelele zako na chagizo la huko Kenya twaweza achana na shuka na tukaanza vita halisi dhidi ya mafisadi! Inawezekana................
 
fighting corruption is a messy thing. i dont know what east africa will be left with if tanzania starts the political bickerings like kenya or uganda. i think east africa needs tanzania to stay calm. it is the EAC's oasis of political sanity.
 
im sorry to say this,
watz ni watu wa ajabu,watu wako tayari kuandamana kupinga mchora vikatuni huko sweden kisa kamchora Mtume,lakini hawawezi kuandamana kupinga wanaowatia umaskini!
Utasikia watu wanaandamana kupinga Israel kushambulia Palestina lakini hawawezi kuandamana kudai maslahi yao ya msingi apart from dini!
Tukiwa na ujasiri wa kutetea maslahi ya kitaifa kama tunavyotetea dini zetu hakika serikali itatusikiliza.
 
Hapa naona umechanganya madawa na kuwagawa waTz. Ni nani hao waliondamana kwa vikatuni au vita vya palestina?Na akina nani hawajaandamana? Maandamano hayo yanahusiana vipi na kuandamana kupinga ufisadi ambao unawahusu waTz wote?
¬K
 
fighting corruption is a messy thing. i dont know what east africa will be left with if tanzania starts the political bickerings like kenya or uganda. i think east africa needs tanzania to stay calm. it is the EAC's oasis of political sanity.

Allow me to make a slight correction to your statement. It is EAC's oasis of the pretense of political sanity.

Does it pay to continue pretending?

There comes a time when we need to apply the "each man unto his own" philosophy
 
Hapa naona umechanganya madawa na kuwagawa waTz. Ni nani hao waliondamana kwa vikatuni au vita vya palestina?Na akina nani hawajaandamana? Maandamano hayo yanahusiana vipi na kuandamana kupinga ufisadi ambao unawahusu waTz wote?
¬K

just do ur homework.
 
Ya nini kuandamana wakati wako mahakamani

mahakama gani hizo?hizi mahakama ambazo serikali inaziendesha?hujui sasa hivi serikali inaichezea mahakama kuhusu mgombea binafsi??
na hao unaosema wako mahakani ndio mafisadi wote? akina RA?EL?
 
Wakuu mimi imeniumiza sana kuona wakenya wameamua kuonyesha hasira zao na kuandamana kuchagiza mawaziri mafisadi watimuliwe. Sisi ni maneno tu wananharakati wetu wanansheria mnafanya nini? Sheria mlisomea za nini kama haziwezi kutusaidia sisi ambao jatujui sheria kuu zikoje??

Naomba wakuu wanaJF tuamke jamani na hasa wanasheria na wanaharakati wengine yaitishwe maandamano ya kuitaka serikali ivunje mikataba yote mibovu na kuwafukuza mawaziri wote wanaoendelea kuliingiza taifa hili ktk hasara kila siku kama kawambwa na wengine.
Magezi,
Nakubaliana nawe kuna haja, tena ya harakka tugonganishe vichwa tuje na mbinu ya kukabiliana na hii hali. Maandamano ikiwa moja wapo, pamja na kwamba imezoweleka na mara nyingi serekali hujihami kwa kutumia vyombo vyake vya Mabavu na hii huwakatisha tamaa wakereketwa. Narudia ushauri wangu wa awali:

Nimeyasema haya katika thread nyingine naona niyarudie tena hapa kuna umuhimu wa Walk the Walk badala ya Talk the Talk! Naona wakati umefika kwa JF kuwa na "ACTION GROUP" ili kujaribu kukabiliana na baadhi matatizo kwa vitendo. Kwa wale mliotanguli kujiunga na kuchangia mawazo kila uchao mniwie radhi in advance ikiwa ninakosea, lakini tumekuwa wazungumzaji na watoa lawama, au Wafagiliaji wa kambi A na Wapondaji wa Kambi B, Wakati ukweli wa mambo ni kuwa Kambi zote hizo zimeoza zinakwenda kwa amri ya Mungu tu.

Matatizo ya UFISADI,RUSHWA,UBADHIRIFU WA MALI ZA TAIFA,UONGOZI MBAYA/MBOVU,UTUMIAJI MBAYA WA MADARAKA na mengine mengi ni baadhi ya mambo ambayo "ACTION GROUP" Ingeweza kukabiliana nayo Kwa kutumia Vyombo na Taasisi za ndani na nje ya Nchi. Ili maswala kama hayo yasipotee na kuishia hewani "ACTION GROUP" Ichukuwe hatua za kuyafikisha katika taasisi za nchi zinazohusika na ikiwa zitakataa kulipokea au zitapuuza basi lipelekwe katika taasisi za kimataifa. Ni jambo litakalohitaji Wakati na Moyo mkuu wa kujitolea na bila shaka fedha za uendeshaji pia zitahitajika, ningependa kusikia hoja zenu:

MZEE MWANAKIJIJI, REV KISHOKA, BUBU ATAKA KUSEMA, FIELDMASHER, ELNINO, MWIBA, GAME THEORY, COMPANERO, JUJUMAN, LOLE GWAKISA na wote ambao majina yenu sikuweza kuyataja kwa leo.
 
Watanzania waliandamana. Lakini yalikuwa ni maandamano makubwa ya kuwapokea akina Chenge na Lowasa kama mashujaa. Na viongozi mbali mbali walihudhuria.

Yaani kuna kutoelewa ufisadi kiasi ambacho ufisadi unakubalika. Tofauti ya Elimu kati ya Kenya na Tanzania inajitokeza kwenye mambo mbali mbali.

Isitoshe, wanafunzi wa UDSM ndio walikuwa wanapigania haki za wananchi zamani. Sasa hata wao wanaelekea kujali posho zao tu. Ni wanafunzi wa vyuo vikuu Kenya ndio wamekuwa chachu ya mapambano ya kuleta katiba mpya na kupinga ufisadi.
 
Wakuu mimi imeniumiza sana kuona wakenya wameamua kuonyesha hasira zao na kuandamana kuchagiza mawaziri mafisadi watimuliwe. Sisi ni maneno tu wananharakati wetu wanansheria mnafanya nini? Sheria mlisomea za nini kama haziwezi kutusaidia sisi ambao jatujui sheria kuu zikoje??

Naomba wakuu wanaJF tuamke jamani na hasa wanasheria na wanaharakati wengine yaitishwe maandamano ya kuitaka serikali ivunje mikataba yote mibovu na kuwafukuza mawaziri wote wanaoendelea kuliingiza taifa hili ktk hasara kila siku kama kawambwa na wengine.

wazo zuri, lakini uwelewe udhaifu wetu...mtanzania anauza kura kwa sahani ya pilau,pombe au kitenge na mvao wa kanga. aibu kubwa...kwahiyo kama watapatikana watu wakufanya maandamano basi pombe , kanga , pilau lazima ziwepo...
 
Ya nini kuandamana wakati wako mahakamani

Mahakama za Bongo si ndiyo kungine huko kulikojaa usanii wa hali ya juu na rushwa ya kutisha. Umeshasikia zile kesi za mafisadi wa EPA zikitajwa hivi karibuni!? Baada ya jamaa kushinda tena kwa kishindo hapo October 2010 zile kesi zote za zitafutwa.
 
Watanzania waliandamana. Lakini yalikuwa ni maandamano makubwa ya kuwapokea akina Chenge na Lowasa kama mashujaa. Na viongozi mbali mbali walihudhuria.

Yaani kuna kutoelewa ufisadi kiasi ambacho ufisadi unakubalika. Tofauti ya Elimu kati ya Kenya na Tanzania inajitokeza kwenye mambo mbali mbali.

Isitoshe, wanafunzi wa UDSM ndio walikuwa wanapigania haki za wananchi zamani. Sasa hata wao wanaelekea kujali posho zao tu. Ni wanafunzi wa vyuo vikuu Kenya ndio wamekuwa chachu ya mapambano ya kuleta katiba mpya na kupinga ufisadi.

anachosema Magazi ni pamoja na wewe, please dont point finger to others, that is a sign of weakness!
UDSM students have been doing many things for benefit of all Tanzanians,
Strike for stationery issues
Strike for loan board policy
etc
I have participated in three big strike and all those was not for posho!

Poor communications from media have led many people to think like you do

However in our table now is , what we are doing?, just examine yourself first in this thread. However It would be better if you will point fingers to some organs like opposition parties who this tasks is solely theirs.
 
I wonder why you guys are not mentioning failures of these Chadema, Cuf-bara, NCCR , TLP etc you are the very same guys without shame embracing this opposition parties that have proved the mission of extending NGOs.

We are paying them cammon!!!!!!!! ruzuku is our money, yet they do nothing ask Slaa if he is capable of initiating any strike and sleep Segerea at least for one day!

Nashangaa humu ndani mpaka mnatoana macho ati chama mbadala!!! bila aibu

vile ni vijiwe vya kuwapa watu ajira, kesho I can do the very same thing nikaanzisha chama na yet nikapata fedha zenu!!

EL and Chenge are better than opposition parties that are creating delusions and false hopes for something that will never ever happen!
 
You are absolutely right, it makes me sick at times to see the so called opposition parties/leaders investing much on verbal struggles while in other countries we see actions on the ground.

Shame on you Slaa and all wapinzani's.
 
Sisi ndugu zangu tuko nyuma dunia nzima, eti tunatetea umoja. Umoja gani huu. Swala ni kuzinduka tu!
 
Back
Top Bottom