Watanzania tumelogwa na nani kwenye uzalendo?

Wewe nawe mpuuzi wa mwisho ni wapi kawawa kakanusha kuwa ndege haijashiliwa?? Au mwenzetu unasikiliza vyombo vya habari kutoka nchi ganii?? Muwe mnaacha unafuki na muwe mnaiambia serikali ukweli ili nchi iendelee kwa unafiki wenu huu wa kijinga serikali itakuwa inajiona iko sawa kumbe inaboronga kama ilivyo sasa sababu minafiki mmejazana .
Huyo mleta post na mimi narudia kuwa ni mpuuzi Sana'a.......

Msemaji wa serikali amekiri waziwazi kuwa nchi yetu inadaiwa na ndicho kilichosababisha kukamatwa kwa Bombardier yetu huko Canada.

Sasa yeye kwa ushabiki wake wa kilumumba Lumumba, eti anadai serikali haijakiri kuwa sababu ya kukamatwa Bombardier yetu kunatokana na kudaiwa kwetu kutokana na mtu mmoja aliyeamua kuuvunja mkataba wa ujenzi wa barabara kibabe!
 
Tumuunge mkono kwani umekatika ? Kama umeamua kuungana nae kuitesa nchi sema namuunga mkono siyo kusema tumuunge mkono umuunge na nani ?
 
Kufuatia taarifa za uzushi na uongo za Mh Tundu Lissu kuwa ndege yetu imekamatwa CANADA kwa madai eti tunadaiwa jambo ambalo msemaji wa serekali bi Kawawa amekanusha kumezuka mijadala kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakionekana kushangulia na kufurahia jambo hili kitu ambacho ni aibu kwetu hata kama ingekuwa nikweli hivi hatuoni aibu kujivua nguo kwa watu nawaomba tumuunge mkono rais wetu mpendwa ktk vita hii ngumu ya kujenga uchumi huwa najiuliza katika suala la uzalendo nani aliyetuloga??

Sent using Jamii Forums mobile app
Akitaka aungwe mkono aache unyanyasaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu kama anadanganya si ashitakiwe afungwe kwani tatizo lipo wapi hapo??
Lkn cha ajabu atawekwa humo selo mwisho wa siku anatoka kisa ati kashinda kesi,anashindaje kesi wakati kadanganya mchana kweupe
 
Leo nimeamini kweli kuna wazazi ambao watoto wao hata wakiwa wezi huko mtaani hawataki kuukubali ukwel wanaendelea kumkumbatia mpaka siku wakimkuta anataka kuchomwa moto bado wanalialia tu kwamba anaonewa. Uzalendo ni pamoja na kuubali ukweli.
 
Ona huyu mpuunzi asiyejua maana ya uzalendo anataka tuwe wazalendo hadi kwene maswala ya kipuuzi ya serikali, na msemaji wa serikali kasema kuwa kweli kunamigogoro lenyewe linasema lissu kapotosha mbna hamna sehemu kasema sio kweli kuwa serikali haidaiwi.........

Mi watu kama hii ndio iliyotufikisha hapa ya kuunga mkono tu eti uzalendo, unaujua uzalendo ww na raisi huyu anavopenda kuungwa mkono yy si afanye tu kazi watu tutaona tu jitihada zake kwani tukimuunga au tusipomuunga ndo kusema tutafanya kule ikulu ashindwe kuyimiza wajibu wakee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufuatia taarifa za uzushi na uongo za Mh Tundu Lissu kuwa ndege yetu imekamatwa CANADA kwa madai eti tunadaiwa jambo ambalo msemaji wa serekali bi Kawawa amekanusha kumezuka mijadala kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakionekana kushangulia na kufurahia jambo hili kitu ambacho ni aibu kwetu hata kama ingekuwa nikweli hivi hatuoni aibu kujivua nguo kwa watu nawaomba tumuunge mkono rais wetu mpendwa ktk vita hii ngumu ya kujenga uchumi huwa najiuliza katika suala la uzalendo nani aliyetuloga??

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwenye mazuri tunaunga mkono kwenye maovu tutapiga kelele tu hakuna namna nyingine.Hamuwezi tokeni
 
Ona huyu mpuunzi asiyejua maana ya uzalendo anataka tuwe wazalendo hadi kwene maswala ya kipuuzi ya serikali, na msemaji wa serikali kasema kuwa kweli kunamigogoro lenyewe linasema lissu kapotosha mbna hamna sehemu kasema sio kweli kuwa serikali haidaiwi.........Mi watu kama hii ndio iliyotufikisha hapa ya kuunga mkono tu eti uzalendo, unaujua uzalendo ww na raisi huyu anavopenda kuungwa mkono yy si afanye tu kazi watu tutaona tu jitihada zake kwani tukimuunga au tusipomuunga ndo kusema tutafanya kule ikulu ashindwe kuyimiza wajibu wakee...

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni wewe peke yako hujaelewa maana ya uzalendo,maana ya uzalendo ni kuwapigia makofi na vigelegele,kuwasujudia watawala hata wakiharibu ni kupiga makofi na kurusha sifa nyingi.Yaani tumsifuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,Mtukufuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu sanaaaaaaaaaaaaaaa Rais wa Malaika hana doa wala waaaaaaaaaaaaaaa.Hapo ndipo utakuwa mzalendo halisi wa Tanzania ya V-wonder
 
Unawezaje kuwa mzalendo kwa ubabe, double standard, na unafiki wa uongozi was awamu hii ya tano? Angali jinsi Mh Sumae anavyosumbuliwa na kudhulumiwa simply amehamia upinzani! Angalia jinsi wakosoaji wa sirikalii wanavyoswekwa rumande kwa sababu zisizo za msingi. Uzalendo wa kweli utatoka rohoni ni baada ya kila mwananchi kutendewa haki na usawa bila ubaguzi.
 
Kua mzalendo si kusimama na Rais bali nchi yako.
Siwez kumuunga mkono mtu mbaguzi,mkatili,mwenye roho mbaya na asiye na huruma na wananchi na nchi yake kwa ujumla. Kashatutia hasara za kutosha za mideni na bado anaendelea kutuletea hzo hasara. Ukimuunga wewe inatosha...
 
Kufuatia taarifa za uzushi na uongo za Mh Tundu Lissu kuwa ndege yetu imekamatwa CANADA kwa madai eti tunadaiwa jambo ambalo msemaji wa serekali bi Kawawa amekanusha kumezuka mijadala kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakionekana kushangulia na kufurahia jambo hili kitu ambacho ni aibu kwetu hata kama ingekuwa nikweli hivi hatuoni aibu kujivua nguo kwa watu nawaomba tumuunge mkono rais wetu mpendwa ktk vita hii ngumu ya kujenga uchumi huwa najiuliza katika suala la uzalendo nani aliyetuloga??

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzalendo kwenye mambo ya kipumbavu..!?.... Kwa hili Hapana wacha tuonekane sio wazalendo

sent by saver from tel aviv-Israel
 
Wapumbavu wengi sasa hivi wanajificha kwenye kivuli cha uzalendo kwamba hata mambo ya kipumbavu tusihoji kwasababu ya uzalendo mtafika kipindi mtachukuliwa wake zenu na watu mnaowasujudia alafu mta kaa kimya mtasema huo ni uzalendo It's so sad
 
Kufuatia taarifa za uzushi na uongo za Mh Tundu Lissu kuwa ndege yetu imekamatwa CANADA kwa madai eti tunadaiwa jambo ambalo msemaji wa serekali bi Kawawa amekanusha kumezuka mijadala kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakionekana kushangulia na kufurahia jambo hili kitu ambacho ni aibu kwetu hata kama ingekuwa nikweli hivi hatuoni aibu kujivua nguo kwa watu nawaomba tumuunge mkono rais wetu mpendwa ktk vita hii ngumu ya kujenga uchumi huwa najiuliza katika suala la uzalendo nani aliyetuloga??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama haijakamatwa basi tunaitaka
 
Back
Top Bottom