Watanzania tumelogwa na nani kwenye uzalendo?

K M S

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
525
500
Kufuatia taarifa za uzushi na uongo za Mh Tundu Lissu kuwa ndege yetu imekamatwa CANADA kwa madai eti tunadaiwa jambo ambalo msemaji wa serekali bi Kawawa amekanusha kumezuka mijadala kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakionekana kushangulia na kufurahia jambo hili kitu ambacho ni aibu kwetu hata kama ingekuwa nikweli hivi hatuoni aibu kujivua nguo kwa watu nawaomba tumuunge mkono rais wetu mpendwa ktk vita hii ngumu ya kujenga uchumi huwa najiuliza katika suala la uzalendo nani aliyetuloga??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,042
2,000

.... CCM
 
dedon

JF-Expert Member
Jul 6, 2015
1,491

nan aliekanusha??
akat huyo kawawa kakiri kasema tatzo linashughurikiwa kidiplomasia??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
4,634
2,000
Ndipo Bwana alipowauza :-
"Ni nani maskini kati yenu ambaye akipewa bil. 700 ili achague biashara kwa ajili ya kuboresha maisha ya familia yake atazitumia zote kununua ndege ?"

Mmoja wa wale wanaoongoza chama akajibu:
"Bwana wewe wajua ya kuwa mimi ni mpenda familia yangu" nitanunua ndege .

Akainuka Mmoja wa wafuasi wa chama cha upinzani akajibu:-
" Nigezitumia vema kwa kuwasomesha watoto wangu ili wapate elimu bora, Ningejenga makazi bora yenye bomba la maji safi kwa ajili ya familia yangu. Pia ningeanzisha kilimo cha kisasa na ufugaji wa kisasa."Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umba Tuku

JF-Expert Member
Feb 4, 2017
2,109
2,000
hahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
nawaomba tumuunge mkono rais wetu mpendwa ktk vita hii ngumu ya kujenga uchumi
 
DEAL88

JF-Expert Member
Apr 9, 2016
812
1,000
Kufuatia taarifa za uzushi na uongo za Mh Tundu Lissu kuwa ndege yetu imekamatwa CANADA kwa madai eti tunadaiwa jambo ambalo msemaji wa serekali bi Kawawa amekanusha kumezuka mijadala kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakionekana kushangulia na kufurahia jambo hili kitu ambacho ni aibu kwetu hata kama ingekuwa nikweli hivi hatuoni aibu kujivua nguo kwa watu nawaomba tumuunge mkono rais wetu mpendwa ktk vita hii ngumu ya kujenga uchumi huwa najiuliza katika suala la uzalendo nani aliyetuloga??

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe unaandika vitu ukiwa na uhakika hata km unaumia...msemaji wa serikali alikiri kwamba ni kweli ndege imekamatwa na tunadaiwa japo aliwashtumu wanasiasa kwamba ndo wamechochea ingawa alikataa kusema kiasi gani tunadaiwa sasa ww jipake matope usoni na masikioni kujifanya huoni wala hukusikia labda msemaji wa serikali ya Somalia ndo alikanusha lakini uliyemtaja alikiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
12,892
2,000
Kufuatia taarifa za uzushi na uongo za Mh Tundu Lissu kuwa ndege yetu imekamatwa CANADA kwa madai eti tunadaiwa jambo ambalo msemaji wa serekali bi Kawawa amekanusha kumezuka mijadala kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakionekana kushangulia na kufurahia jambo hili kitu ambacho ni aibu kwetu hata kama ingekuwa nikweli hivi hatuoni aibu kujivua nguo kwa watu nawaomba tumuunge mkono rais wetu mpendwa ktk vita hii ngumu ya kujenga uchumi huwa najiuliza katika suala la uzalendo nani aliyetuloga??

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzalendo ni nini?

Haya ni maono ya mtu aliyeserve as president wa USA miaka ya 1900!

Patriotism means to stand by the country. It does not mean to stand by the president or any other public official, save exactly to the degree in which he himself stands by the country. It is patriotic to support him insofar as he efficiently serves the country. It is unpatriotic not to oppose him to the exact extent that by inefficiency or otherwise he fails in his duty to stand by the country. In either event, it is unpatriotic not to tell the truth, whether about the president or anyone else.
Theodore Roosevelt

Kwa taarifa fupi ya mtu huyu,soma hapa:
An American statesman, author, explorer, soldier, naturalist, and reformer who served as the 26th President of the United States from 1901 to 1909. He also served as the 25th Vice President of the United States and as the 33rd Governor of New York. As a leader of the Republican Partyduring this time, he became a driving force for the Progressive Era in the United States in the early 20th century. His face is depicted on Mount Rushmore, alongside those of George Washington, Thomas Jefferson, and Abraham Lincoln.
 
Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,464
2,000
Kufuatia taarifa za uzushi na uongo za Mh Tundu Lissu kuwa ndege yetu imekamatwa CANADA kwa madai eti tunadaiwa jambo ambalo msemaji wa serekali bi Kawawa amekanusha kumezuka mijadala kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakionekana kushangulia na kufurahia jambo hili kitu ambacho ni aibu kwetu hata kama ingekuwa nikweli hivi hatuoni aibu kujivua nguo kwa watu nawaomba tumuunge mkono rais wetu mpendwa ktk vita hii ngumu ya kujenga uchumi huwa najiuliza katika suala la uzalendo nani aliyetuloga??

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nawe mpuuzi wa mwisho ni wapi kawawa kakanusha kuwa ndege haijashiliwa?? Au mwenzetu unasikiliza vyombo vya habari kutoka nchi ganii?? Muwe mnaacha unafuki na muwe mnaiambia serikali ukweli ili nchi iendelee kwa unafiki wenu huu wa kijinga serikali itakuwa inajiona iko sawa kumbe inaboronga kama ilivyo sasa sababu minafiki mmejazana .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom