Watanzania tumeanza udini?


Ukweli mchungu
 
Ukitaka kujua msimamo wa waislamu, msikilize Sheikh Ponda achana na bakwata wanalipwa wale.
Sio kweli BAKWATA Ina base kubwa sana mpaka ngazi ya familia na ndo wanasuluhisha migogoro yote ya waislam hata hao kina ponda wakikosana wanarudi bakwata ..hivyo usiwa'underrate' kihivyo
Lakini ipo hoja inasemwa wakatoliki ndo wanatengeneza hii movement kwa kufadhili magenge yote ya kihalifu na wanaharakati mitandaoni..na ndo maana hata matamko yao yanalenga kufarakanisha jamii kuliko kuunganisha..TAFAKARI
 
Sheikh Ponda yeye ana mwaga ukweli mtupu muangalie YouTube kule.
Islamist yeyote (siyo general muslim) kauli yake isiiamini moja kwa moja. Mara nyingi anakuwa na Islamists agenda yake kaificha; halafu in public anakuja na kitu inaitwa Taqqya
 
Shehe naona unatetea upande wako
 
HAKI sio movement ya wakatoliki pekee, mimi sio mkatoliki lakini na support movement kwa sababu ni ya haki, utauliza kwanini na support ? tukiendelea na huu mfumo usiofuata sheria wala katiba hatuwezi kuendelea kama taifa, zile sheria zimewekwa kwa ajili tustaarabike ndiposa tuendelee tofauti na hapo hatuna tofauti na wanyama kuuana, kubakana, kutesana, kulana nyama kama ilivyotokea 29 october inaweza kutokea na zaidi nakadhalika na kadhalika.
 
Mfano sheikh Ponda Issah Ponda au Lipumba sio mkatoliki lakini anazungumza haki shida yenu, elimu mnayo ndogo hampokei mawazo mbadala, kisha mnatuletea mabalaa mkishakuwa madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…