nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,943
- 2,935
Salaam,
Wakati ule mkuu aliposema nitawafanya muishi Kama shetani, wengi tulijua kuwa hao wanaosemwa no wenye ukwasi na wapigaji.
TAKASHANGILIA KWA MAKOFI NA VIGELEGELE
Ilipoanza tumbua tumbua, TUKAFURAHI, Watanzania wenzetu kudhalilishwa hadharani.
Walipotafutwa wenye magodown ya sukari, tukasema, MKUU HUYU KIBOKO anajua Sana tena kila kitu.
Leo hii ninapoandika post hii, tumetambua kuwa kumbe maneneno huumba, yawezekana msemaji hakujua mwisho wa maneno yake ni utimilifu.
Ndiposa watanzania tumefika mahali tumesema TUNAMSHITAKIA MUNGU, maana hakika tunaishi Kama shetani.
Suala la chai asubuhi tulisha sahau kitambo, familia chache Sana zinapata chai asubuhi, kuwa sukari haikamatiki.
Mlo wa mchana nao ukipatikana no bahati
Mzunguko wa pesa mtaani ni Kama haupo.
Watu wanasema afadhali walipokuwepo hao walioitwa wapigaji.
Walipiga wakaingiza hela mtaaani, maisha yalikuwa pesi.
MUNGU TUSAIDIE