Watanzania tumeamua kumshitakia Mungu

Watanzania tumeamua kumshitakia Mungu

Ngoma bado mbichi kma ni kupika ugali ndo kwanza tumewasha jiko....!!! Me naw kupiga pasi ndefu nishaanza kuzoea ila nijiandae kwa vidonda vya tumbo tuu.
 
Salaam,

Wakati ule mkuu aliposema nitawafanya muishi Kama shetani, wengi tulijua kuwa hao wanaosemwa no wenye ukwasi na wapigaji.

TAKASHANGILIA KWA MAKOFI NA VIGELEGELE

Ilipoanza tumbua tumbua, TUKAFURAHI, Watanzania wenzetu kudhalilishwa hadharani.

Walipotafutwa wenye magodown ya sukari, tukasema, MKUU HUYU KIBOKO anajua Sana tena kila kitu.

Leo hii ninapoandika post hii, tumetambua kuwa kumbe maneneno huumba, yawezekana msemaji hakujua mwisho wa maneno yake ni utimilifu.

Ndiposa watanzania tumefika mahali tumesema TUNAMSHITAKIA MUNGU, maana hakika tunaishi Kama shetani.

Suala la chai asubuhi tulisha sahau kitambo, familia chache Sana zinapata chai asubuhi, kuwa sukari haikamatiki.

Mlo wa mchana nao ukipatikana no bahati

Mzunguko wa pesa mtaani ni Kama haupo.

Watu wanasema afadhali walipokuwepo hao walioitwa wapigaji.

Walipiga wakaingiza hela mtaaani, maisha yalikuwa pesi.

MUNGU TUSAIDIE
Acha uvivu fanya kazi wewe!!
 
Hata Marekani ambao wanatoa misaada dunia nzima kuna "watu wazima omba omba" wanaolala mitaani, hawana bima za afya na wanakufa kwa baridi kali! Hakuna kitu kibaya kama UMASKINI WA FIKRA, tunao maskini wa fikra hapa JF, mtaani, kwenye familia zetu, nk...

Mfano hai mimi ninaye kaka wa tumbo moja na mimi, kasoma kazi hataki, eti anataka kujiajili....nimempa mtaji zaidi ya mara 3 hakuna kitu...juzi kanitumia ujumbe kwenye simu eti : "...MDOGO WANGU UNAJUA KIJANA WA KWA MZEE LUSHINGE SASA HIVI DUKA LAKE LIMESIMAMA BAADA YA KUHARIBU MTAJI ALIYOKUWA ANAPEWA na BABA YAKE ZAIDI YA MARA 10.." nimemjibu hivi...KIPATO CHA MZEE LUSHINGE NA CHANGU NI TOFAUTI SANA, sina uwezo wa kukupa mtaji mwingine!

Watu kama kaka yangu wapo wengi kuanzia hapa JF, familia, mtaani, nk ambao wanadhani kazi yaserikali ni kuwawekea "ugali mezani, mitaji na kuwatafutia PISI KALI weekend"

JPM kaza kamba, soon watu wenye akili tu ndio watabaki mjini...!
Unajua kuwa hata uwe na mamilioni unaweza kufeli kwenye biashara kwa sababu mzunguko wa pesa umekuwa mdogo sana uongozi huu?
 
Back
Top Bottom