Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
Watanzania tunapashwa kuwa na hofu na kujiuliza kule tunapoelekea. Cha kuhofia hapa sio kuminywa kwa uhuru wa vyombo vya habari. Tujiulize ni nini kitatokea baada ya hapo.
Anataka kutufanya nini?
Nchi kama North Korea, Eritrea, Cuba, Uzbekistan, Syria, and Belarus ni mifano ya pekee ya nchi zisizokuwa na uhuru wa habari. Wananchi katika hizi nchi ni kama vile wametengwa na ulimwengu maana kila source ya habari inakuwa moderated na serikali. Hizi nchi zinasheria za vitisho na kandamizi kwa wanachi wao. Hakuna asiyejua kinachoendelea kwenye nchi za aina iyo hivi sasa.
Walianza na bunge wakazima tumenyamaza.
Wametunga sheria kandamizi za cyber crime tumenyamaza.
Juzi kasign sheria mpya kandamizi ya vyombo vya habari. Napenyewe tumenyamaza.
Kaomba malaika ashuke kuzima mtandao, malaika kagoma sasa kaamua kuipiga burn mwenyewe.
Tunaelekea wapi?
Baada ya kufanikisha kuminya uhuru wa habari tutegemee yafuatayo.
1. The era of "Big lie":
Mfano nchi kama North Korea haijawai sikika kuwa kuna janga la njaa wala umaskini na wakorea wapo tiyari kulidhika na hali ilivyo ingawa wanakufa na njaa na umasikini. Hakuna raia wa kuthubutu kusema ukweli. Try at your own Risk.
Sisi pia hii hali imesha anza kutunyemelea. Hata kama ni kiongozi, thubutu kusema ukweli utumbuliwe.
Kunamikoa inakipindupindu ila Wakuu wa mikoa wanaogopa kutoa taarifa kwa uoga wa kutumbuliwa.
Nina Rafiki yangu yupo serkalini juzi kanunua gunia 6 za mpunga na 4 za mahidi katunza ndani. Mwenyewe nilishtuka nikamuuliza " bro vp umeanza biashara nini?" Aliniita pembeni na kunieleza kuwa report ya hivi karibuni ya Tanzania food security and vulnerability situation inatishaaa. Naomba niishie hapo sitatoa details zaidi. Ila nachotaka kumaanisha serkal inajua kitakachotokea 2017.
Sasa tumefika kwenye " the big lie". UCHUMI unakuwa kwa 7.2% wakati serkali na makampuni yanaprune wafanyakazi.
"Only in Tanzania Economy grows while unemployment persists"
Wizara ya Afya yakanusha kuwepo kwa virusi vya ugonjwa wa Zika
2. Zero tolerance for negative coverage.
Hakuna serikali inayopenda kupingwa ulimwenguni kote na wala haijawai kutokea. Ila ni hatari pale serikal inapotumia nguvu zote kuhakikisha hakuna upinzani wa aina yoyote. Nchi ambazo zimepitia au fikia hatua hii kumekuwa na ukatili na uonevu wa kila aina kwa wapinzani. Wengi wamepotezwa duniani na wachache kuishia jela. Uzbekistan,Belarusian na Cuba ni mifano mizuri ya zero tolerence to opposition.
Kama hayo malengo mawili yakifanikishwa tambua 2015 ndyo ulikuwa mwisho wako wa kupiga kura.
Je watanzania Tufanye nini?
Watanzania tuachane na izi kauli et mungu anawaona, mungu atawalipa, sijui tukae chini tusali.
Hata muovu humuomba mungu asaidie afanikishe ouvu wake.
[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeLema[/HASHTAG[/HASHTAG]