Watanzania tujiulize, anataka kutufanya nini baada ya kuminya uhuru wa vyombo vya Habari.

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,652
Watanzania tunapashwa kuwa na hofu na kujiuliza kule tunapoelekea. Cha kuhofia hapa sio kuminywa kwa uhuru wa vyombo vya habari. Tujiulize ni nini kitatokea baada ya hapo.

Anataka kutufanya nini?

Nchi kama North Korea, Eritrea, Cuba, Uzbekistan, Syria, and Belarus ni mifano ya pekee ya nchi zisizokuwa na uhuru wa habari. Wananchi katika hizi nchi ni kama vile wametengwa na ulimwengu maana kila source ya habari inakuwa moderated na serikali. Hizi nchi zinasheria za vitisho na kandamizi kwa wanachi wao. Hakuna asiyejua kinachoendelea kwenye nchi za aina iyo hivi sasa.

Walianza na bunge wakazima tumenyamaza.
Wametunga sheria kandamizi za cyber crime tumenyamaza.
Juzi kasign sheria mpya kandamizi ya vyombo vya habari. Napenyewe tumenyamaza.
Kaomba malaika ashuke kuzima mtandao, malaika kagoma sasa kaamua kuipiga burn mwenyewe.
89571edd331ff3f22693ce25c869461a.jpg

Tunaelekea wapi?

Baada ya kufanikisha kuminya uhuru wa habari tutegemee yafuatayo.

1. The era of "Big lie":
Mfano nchi kama North Korea haijawai sikika kuwa kuna janga la njaa wala umaskini na wakorea wapo tiyari kulidhika na hali ilivyo ingawa wanakufa na njaa na umasikini. Hakuna raia wa kuthubutu kusema ukweli. Try at your own Risk.

Sisi pia hii hali imesha anza kutunyemelea. Hata kama ni kiongozi, thubutu kusema ukweli utumbuliwe.

Kunamikoa inakipindupindu ila Wakuu wa mikoa wanaogopa kutoa taarifa kwa uoga wa kutumbuliwa.

Nina Rafiki yangu yupo serkalini juzi kanunua gunia 6 za mpunga na 4 za mahidi katunza ndani. Mwenyewe nilishtuka nikamuuliza " bro vp umeanza biashara nini?" Aliniita pembeni na kunieleza kuwa report ya hivi karibuni ya Tanzania food security and vulnerability situation inatishaaa. Naomba niishie hapo sitatoa details zaidi. Ila nachotaka kumaanisha serkal inajua kitakachotokea 2017.

Sasa tumefika kwenye " the big lie". UCHUMI unakuwa kwa 7.2% wakati serkali na makampuni yanaprune wafanyakazi.

"Only in Tanzania Economy grows while unemployment persists"

Wizara ya Afya yakanusha kuwepo kwa virusi vya ugonjwa wa Zika
e3186b395647713b96c1871463576bbc.jpg

2. Zero tolerance for negative coverage.
Hakuna serikali inayopenda kupingwa ulimwenguni kote na wala haijawai kutokea. Ila ni hatari pale serikal inapotumia nguvu zote kuhakikisha hakuna upinzani wa aina yoyote. Nchi ambazo zimepitia au fikia hatua hii kumekuwa na ukatili na uonevu wa kila aina kwa wapinzani. Wengi wamepotezwa duniani na wachache kuishia jela. Uzbekistan,Belarusian na Cuba ni mifano mizuri ya zero tolerence to opposition.

Kama hayo malengo mawili yakifanikishwa tambua 2015 ndyo ulikuwa mwisho wako wa kupiga kura.

Je watanzania Tufanye nini?
bcfa81abf41b51ab0c490cf42bf62809.jpg

Watanzania tuachane na izi kauli et mungu anawaona, mungu atawalipa, sijui tukae chini tusali.

Hata muovu humuomba mungu asaidie afanikishe ouvu wake.
e9e29ebb4bd5f10ec0f0a42da2f20ec7.jpg

[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeLema[/HASHTAG[/HASHTAG]
 
-->>ANATAKA KUFANYA MEMA TU JAPO ANAFANYIA UVUNGUNI MWA KITANDA.../ TAFAKARI....
-->>MEMA LAKINI CHINI YA KITANDA....
asione mtu...
 
Watanzania tunapashwa kuwa na hofu na kujiuliza kule tunapoelekea. Cha kuhofia hapa sio kuminywa kwa uhuru wa vyombo vya habari. Tujiulize ni nini kitatokea baada ya hapo.

Anataka kutufanya nini?

Nchi kama North Korea, Eritrea, Cuba, Uzbekistan, Syria, and Belarus ni mifano ya pekee ya nchi zisizokuwa na uhuru wa habari. Wananchi katika hizi nchi ni kama vile wametengwa na ulimwengu maana kila source ya habari inakuwa moderated na serikali. Hizi nchi zinasheria za vitisho na kandamizi kwa wanachi wao. Hakuna asiyejua kinachoendelea kwenye nchi za aina iyo hivi sasa.

Walianza na bunge wakazima tumenyamaza.
Wametunga sheria kandamizi za cyber crime tumenyamaza.
Juzi kasign sheria mpya kandamizi ya vyombo vya habari. Napenyewe tumenyamaza.
Kaomba malaika ashuke kuzima mtandao, malaika kagoma sasa kaamua kuipiga burn mwenyewe.

Tunaelekea wapi?

Baada ya kufanikisha kuminya uhuru wa habari tutegemee yafuatayo.

1. The era of "Big lie":
Mfano nchi kama North Korea haijawai sikika kuwa kuna janga la njaa wala umaskini na wakorea wapo tiyari kulidhika na hali ilivyo ingawa wanakufa na njaa na umasikini.

Sisi pia hii hali imesha anza kutunyemelea. Kunamikoa inakipindupindu ila Wakuu wa mikoa wanaogopa kutoa taarifa kwa uoga wa kutumbuliwa.

Nina Rafiki yangu yupo serkalini juzi kanunua gunia 6 za mpunga na 4 za mahidi katunza ndani. Mwenyewe nilishtuka nikamuuliza " bro vp umeanza biashara nini?" Aliniita pembeni na kunieleza kuwa report ya hivi karibuni ya Tanzania food security and vulnerability situation inatishaaa. Naomba niishie hapo sitatoa details zaidi. Ila nachotaka kumaanisha serkal inajua kitakachotokea 2017.

Sasa tumefika kwenye " the big lie". UCHUMI unakuwa kwa 7.2% wakati serkali na makampuni yanaprune wafanyakazi.

"Only in Tanzania Economy grows while unemployment persists"

2. Zero tolerance for negative coverage.
Hakuna serikali inayopenda kupingwa ulimwenguni kote na wala haijawai kutokea. Ila ni hatari pale serikal inapotumia nguvu zote kuhakikisha hakuna upinzani wa aina yoyote. Nchi ambazo zimepitia au fikia hatua hii kumekuwa na ukatili na uonevu wa kila aina kwa wapinzani. Wengi wamepotezwa duniani na wachache kuishia jela. Uzbekistan,Belarusian na Cuba ni mifano mizuri ya zero tolerence to opposition.

Kama hayo malengo mawili yakifanikishwa tambua 2015 ndyo ulikuwa mwisho wako wa kupiga kura.
Umenifanya nitoe machozi mkuu
Naumia sana but I have nothing to say
 
Ni kweli kabisa kuwa: "hakuna dhuluma iliyowahi kushinda haki" -Erythrocite.
Hata hivyo naiona busara ya kumuacha Mungu aingilie kati maana hali ilivyo sasa ni kwamba hakuna malalamiko yanayosikilizwa hasa kuhusiana na uhuru wa kujieleza. Tena, nimefikia mahali pa kuhisi kuwa uongozi wa nchi hii unafurajia maumivu ya wananchi. Yaani, katika harakati za kuhakikisha malaika wamasishi kama mashetani, wanyonge wanaodaiwa kutetewa wanaendelea kuwa hohehahe zaidi. Hali hii inahitaji supernal intervention.

Kweli kabisa tunahitaji kuomba Mungu afanye kitu cha ziada katika nchi hii.

Tuache kusema sana na badala yake tuombe na kusali sana!
 
Yeyee si anauakika wa kula kodi zetu ajisikiavyo..!nyie ndio mtaishi kama shetani.
 
Mkuu wacha uoga..
Wadanganyika hatuna woga, tumekosa ujasiri tu. Lakini zaidi ni kwamba tunalinda amani, utulivu na mshikamano.
Wacha niseme kwa luga rahisi, wadanganyika sisi ni wanafiki wa kiwango cha juu, ni wajukuu wa shetani kwa hiyo linalotustahikia ni kuishi kama "mababu zetu" katika maisha ya "kimalaika". Siku tukiacha unafiki na mambo yetu yatakaa sawa. Tusafishe nafsi zetu ambazo tumezijaza najisi(unafiki) kwa miaka mingi.
 
Ni kweli kabisa kuwa: "hakuna dhuluma iliyowahi kushinda haki" -Erythrocite.
Hata hivyo naiona busara ya kumuacha Mungu aingilie kati maana hali ilivyo sasa ni kwamba hakuna malalamiko yanayosikilizwa hasa kuhusiana na uhuru wa kujieleza. Tena, nimefikia mahali pa kuhisi kuwa uongozi wa nchi hii unafurajia maumivu ya wananchi. Yaani, katika harakati za kuhakikisha malaika wamasishi kama mashetani, wanyonge wanaodaiwa kutetewa wanaendelea kuwa hohehahe zaidi. Hali hii inahitaji supernal intervention.

Kweli kabisa tunahitaji kuomba Mungu afanye kitu cha ziada katika nchi hii.

Tuache kusema sana na badala yake tuombe na kusali sana!
Utasubiri sana
 
Back
Top Bottom