Watanzania tujiulize, anataka kutufanya nini baada ya kuminya uhuru wa vyombo vya Habari.

Baada ya vyombo vya habari kuwekwa mfukoni ni ufisadi na wizi ......

Anataka kuja kuwa wealthiest kama Putin.....

Zitto aliwaambia Musomeni Putin.....

Alipohutubia polisi aliwaaambia anasikia kuwa kuna kama bilioni 20 au30 zimepotea na akawaomba wachunguze.....hakuna alomkemea wala kumtumbua maanake hataki kuwakasirisha.

Alipohutubia JWTZ pale Ikulu akawaahidi fedha za watumishi hewa watapewa kila mmoja wao kama bonus kuanzia December.....sasa hapo tu connect dots
 
Duh. Yan anajitengenezea mazingira mazuri. Mi naisi huyu jamaa anaweza kuwa hataki kwenda nje kwa hofu ya siku 1 kushangaa anaona anapigiwa simu kuwa akae uko uko.
 
All of those supporting killing of public opinion, have faith in a man. (In philosophical perspective) A man can never be trusted. A man can never do good things to majority of people for free. A faith in a man is what pulls us behind. A man should meet controversies and criticism so as to operate fairly. No one has ever fought a fight thats not his... Im just sayin, stop hoping for a promise of a man, but observe and fight for what he can do for all; not because he said so, but because its his duty.
 
-->>ANATAKA KUFANYA MEMA TU JAPO ANAFANYIA UVUNGUNI MWA KITANDA.../ TAFAKARI....
-->>MEMA LAKINI CHINI YA KITANDA....
asione mtu...
Dalili ya mvua ni mawingu. Mema hutanguliwa na neema. Mabaya hutanguliwa na mabaya tu.
 
Tatizo watanzania ni waoga, halafu watu wanajificha kwenye neno AMANI ili watu wasichukue hatua. Ila ukweli ni kwamba Tanzania amani hakuna ni watu tu wana high degree of tolerance.
Imagine tusingekua waoga na wavumilivu!
 
Anataka kutawala milele
Kwani yeye mungu au hatakufa?
Watanzania tunapashwa kuwa na hofu na kujiuliza kule tunapoelekea. Cha kuhofia hapa sio kuminywa kwa uhuru wa vyombo vya habari. Tujiulize ni nini kitatokea baada ya hapo.

Anataka kutufanya nini?

Nchi kama North Korea, Eritrea, Cuba, Uzbekistan, Syria, and Belarus ni mifano ya pekee ya nchi zisizokuwa na uhuru wa habari. Wananchi katika hizi nchi ni kama vile wametengwa na ulimwengu maana kila source ya habari inakuwa moderated na serikali. Hizi nchi zinasheria za vitisho na kandamizi kwa wanachi wao. Hakuna asiyejua kinachoendelea kwenye nchi za aina iyo hivi sasa.

Walianza na bunge wakazima tumenyamaza.
Wametunga sheria kandamizi za cyber crime tumenyamaza.
Juzi kasign sheria mpya kandamizi ya vyombo vya habari. Napenyewe tumenyamaza.
Kaomba malaika ashuke kuzima mtandao, malaika kagoma sasa kaamua kuipiga burn mwenyewe.
89571edd331ff3f22693ce25c869461a.jpg

Tunaelekea wapi?

Baada ya kufanikisha kuminya uhuru wa habari tutegemee yafuatayo.

1. The era of "Big lie":
Mfano nchi kama North Korea haijawai sikika kuwa kuna janga la njaa wala umaskini na wakorea wapo tiyari kulidhika na hali ilivyo ingawa wanakufa na njaa na umasikini. Hakuna raia wa kuthubutu kusema ukweli. Try at your own Risk.

Sisi pia hii hali imesha anza kutunyemelea. Hata kama ni kiongozi, thubutu kusema ukweli utumbuliwe.

Kunamikoa inakipindupindu ila Wakuu wa mikoa wanaogopa kutoa taarifa kwa uoga wa kutumbuliwa.

Nina Rafiki yangu yupo serkalini juzi kanunua gunia 6 za mpunga na 4 za mahidi katunza ndani. Mwenyewe nilishtuka nikamuuliza " bro vp umeanza biashara nini?" Aliniita pembeni na kunieleza kuwa report ya hivi karibuni ya Tanzania food security and vulnerability situation inatishaaa. Naomba niishie hapo sitatoa details zaidi. Ila nachotaka kumaanisha serkal inajua kitakachotokea 2017.

Sasa tumefika kwenye " the big lie". UCHUMI unakuwa kwa 7.2% wakati serkali na makampuni yanaprune wafanyakazi.

"Only in Tanzania Economy grows while unemployment persists"

Wizara ya Afya yakanusha kuwepo kwa virusi vya ugonjwa wa Zika
e3186b395647713b96c1871463576bbc.jpg

2. Zero tolerance for negative coverage.
Hakuna serikali inayopenda kupingwa ulimwenguni kote na wala haijawai kutokea. Ila ni hatari pale serikal inapotumia nguvu zote kuhakikisha hakuna upinzani wa aina yoyote. Nchi ambazo zimepitia au fikia hatua hii kumekuwa na ukatili na uonevu wa kila aina kwa wapinzani. Wengi wamepotezwa duniani na wachache kuishia jela. Uzbekistan,Belarusian na Cuba ni mifano mizuri ya zero tolerence to opposition.

Kama hayo malengo mawili yakifanikishwa tambua 2015 ndyo ulikuwa mwisho wako wa kupiga kura.

Je watanzania Tufanye nini?
bcfa81abf41b51ab0c490cf42bf62809.jpg

Watanzania tuachane na izi kauli et mungu anawaona, mungu atawalipa, sijui tukae chini tusali.

Hata muovu humuomba mungu asaidie afanikishe ouvu wake.
e9e29ebb4bd5f10ec0f0a42da2f20ec7.jpg

[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeLema[/HASHTAG[/HASHTAG]
 
Bado miaka mi4 na sisi wananchi tuwe wafalme,safari hii hadi "Samba soti" zitapigwa,Eeh Mungu nipe pumzi ya kufika 2020
 
Nasikia hasira sana! Acha nitulie nisubiri labda Mungu atawabadilisha mioyo yao migumu!
 
Hivo nataka and kuuliza watanzania bara na visiwani

Hivo nani anasema nchi hii itatoka ??
Mnajifanya mmesoma kumbe hamna kinu kwanza mnakumbuka maneno ya marehmu asha makame bakar ?? Alisema nchi hawawezi and kuitowa labda kwa mapinduzi wakati ni kweli maana ya neno chama cha mapinduzi ni nn?
Halafu mnakaa mnajadiliana kushinda kupata kuongoza nchi nani kasema wakati wapinzani wanashindwa kujuwa hata mapato na matumizi ya pesa katika nchi leo chama kinatumia pesa nyingi kuhonga wakuu wa serikali na vikosi ili wasitoke madarakani ndicho kilochofanyika 2015 kwenye uchaguzi zanzibar Na hapa lakin kimya mnasema nchi hii kuna aman sio kweli nchi hii kuna watu Woga. Tena wakiongozwa Na upinzani. Hivo nchi hii kama kenya au burundi leo kuwe kumeonekana wizi kama wa Escrow bado watu wapo wanakula na wanatembea nyinyi !!!
 
Back
Top Bottom