Watanzania tujihadhari na wanasiasa feki

Watanzania tujihadhari na wanasiasa feki

RaisMtarajiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
704
Reaction score
65
Ndugu zangu watanzania ni vizuri tukajihadhali na wanasiasa wanaojalibu kubadili ukweli na kutoa lugha nyepesi nyepesi kwa kuwalaghai wananchi. wanasiasa feki wanadhani watanzania wanaakili kama zao za udanganyifu.

Watanzania inabidi tuseme sasa basi. tunaitaji vitendo na si siasa.
 
kweli umenena. hivisasa wanasiasa wanadiliki kutumia chopa kwa kuwalamba chenga TZ, lakini wanajipiga wenyewe. uwongo siku zote unamwisho, na kifo cha CDM ni kama cha mende. ACT ni mbadala wa CHADEMA 100%. mwigamba oyeeeeeeeeeee
 
Attachments

  • mwi.jpg
    mwi.jpg
    7.8 KB · Views: 130
Naipenda sana Tanzania kamwe wanasiasa hawawezi kuniaminisha kwa Tanganyika.
 
hakuna wana saccos hatari kama CDM wakiongozwa na mbow na mzee mte
 
kwa mfano kiongozi kama huyu anakuwa mzee wa totozi , unafikili atawaongoza akina nani zaidi ya wenyeakili nusu.
 
Attachments

  • mzee wa to.jpg
    mzee wa to.jpg
    6.4 KB · Views: 120
Naipenda sana Tanzania kamwe wanasiasa hawawezi kuniaminisha kwa Tanganyika.
Napenda sana ukweli. Kamwe huwezi kunisadikisha kuwa eti muungano wa serikali mbili katika mazingira haya ambayo Zanzbar ni nchi kamili eti ndio bora! Ni unafiki na kujidanganya na kujaribu kudanganya uma wa wasio na elimu!
 
kwa mfano kiongozi kama huyu anakuwa mzee wa totozi , unafikili atawaongoza akina nani zaidi ya wenyeakili nusu.
Ningejua na wewe ni mchumia tumbo nisingefungua hii thread.Nlidhani utaongea jambo la maana kumbe mburula tu
 
Mbona hiyo bendela ya ACT kama ya wajahidina!!!! ACT ni minyooo gani sijaelewa.
 
kwa mfano kiongozi kama huyu anakuwa mzee wa totozi , unafikili atawaongoza akina nani zaidi ya wenyeakili nusu.

jamii forum inaharibiwa na vijana kama wewe ambao wamejiunga jamii forum kwa malengo ya kukejeli luku on your join date and what you have right show that you are not serous

Tanzania inahitaji wapiganaji na sio kejeli
General Information

Last ActivityToday 11:56
Join DateDate 25th March 2014
 
Ndugu zangu watanzania ni vizuri tukajihadhali na wanasiasa wanaojalibu kubadili ukweli na kutoa lugha nyepesi nyepesi kwa kuwalaghai wananchi. wanasiasa feki wanadhani watanzania wanaakili kama zao za udanganyifu.

Watanzania inabidi tuseme sasa basi. tunaitaji vitendo na si siasa.

kwa tarehe uliyojunga nayo hapo juu, ndo kazi uliyotuma kuifanya uku karibu we need solution and not critism if kama umemwona mwanasiasa fulani tapeli show people who is the right one
 
kwa mfano kiongozi kama huyu anakuwa mzee wa totozi , unafikili atawaongoza akina nani zaidi ya wenyeakili nusu.

tufikie wakati watanzania tuache unafiki wa kijinga, nani tapel

  • aliyesaini Mikataba ya madini hotelini na bado anaendelea kukuongoza na unapiga makofi barabarani akipita au ...
  • CCm ambao ndio wanajua mikataba ya uchimbaji gesi na mafuta ambayo imeku8wa siri kwenu..........
  • richnond and downs contracts
  • ubiansfishaji wa mashamba makubwa ..............etc

ningesema kitu fulani lakini nilipoangalia join date yako jamii forum(yo have five days) nikajua kuwa umetumwa kukejeli but you know the truth
 
jamii forum inaharibiwa na vijana kama wewe ambao wamejiunga jamii forum kwa malengo ya kukejeli luku on your join date and what you have right show that you are not serous

Tanzania inahitaji wapiganaji na sio kejeli
General Information

Last ActivityToday 11:56
Join DateDate 25th March 2014
kumbuka kuna wazee wanaozidiwa fikra na vijana haijalishi nani mkubwa, kwa taarifa yako nina zaidi ya miaka mitatu na account zaidi ya 30, ukubwa wa kichwa si akili. mfano halisi ni ZITTO Vs MBO..............E
 
HAYO ni mawazo yako. mfano mwingine halisi ni BEN MAO Vs wenje

huyu ni kijana anayejielewa
benny mao
 
Attachments

  • mao.jpg
    mao.jpg
    17.5 KB · Views: 52
Tatizo uchama unawaharibu wananchi. Hawatazami tena kama kiongozi anafaha ama la, wao wanachokiangalia ni 'kijani ama gwanda!!!'
 
kweli umenena. hivisasa wanasiasa wanadiliki kutumia chopa kwa kuwalamba chenga TZ, lakini wanajipiga wenyewe. uwongo siku zote unamwisho, na kifo cha CDM ni kama cha mende. ACT ni mbadala wa CHADEMA 100%. mwigamba oyeeeeeeeeeee

umeelewa somo au ukurupuka tu ?
 
kama ni utapeli au ulaghai basi bila shaka wale waliotuahidi yasiyowezekana tangu mungu alipoumba ulimwengu mpaka leo wanahusika .
 
Back
Top Bottom