Watanzania tuitangulize physics mbele

Watanzania tuitangulize physics mbele

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2008
Posts
3,007
Reaction score
2,462
Where do we go from here?
Matatizo yetu ni elimu. Tazama topics zilizopo katika physics:

theoretical physics, particle physics, medical physics.thermodynamics ambayo ni muhimu katika viwanda.

Huu ndio mkakati wa CCM bila shaka. Ndio maana walimchagua Magufuli.
 
Thermodynamics mboni ni chemistry Andrew au?
 
Thermodynamics mboni ni chemistry Andrew au?
Thermodynamics somo pana na muhimu kwenye fani ya engineering
Physics na Chemistry. Subject matter inakubalina kwa kiwango kikubwa fani zote tatu ila kila somo linasisitiza some aspects of thermodynamics. Mfano engineering inasitiza heat engines mfano steam turbines. Physics inajikita zaidi kwenye statistical mechanics.
 
Where do we go from here?
Matatizo yetu ni elimu. Tazama topics zilizopo katika physics:

theoretical physics, particle physics, medical physics.thermodynamics ambayo ni muhimu katika viwanda.

Huu ndio mkakati wa CCM bila shaka. Ndio maana walimchagua Magufuli.
Sijakuelewa, basi acha! Ukitaja fizikia nashutuka! unganisha naccm-------- nimepotea
 
mi nadhani CCM inabidi kwenye elimu wafanye kitu, maana hata hizi Taasisi za teknolojia sidhani kama zinafundisha watu kuvumbua vitu vipya

duuu kama nimepotea vile.......nisaidieni
 
Pita pembeni, akili yako haitoshi kuwa hapa

wenzako tunaviziavizia tunapoona post za huyu baba
Asante kwa ushauri ndugu...

naomba basi wewe uning'amulie kidogo ulichoelewa hapo...
 
Back
Top Bottom