Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Hawa watu siyo kabisa bora kubaki na mitandao yetu ile ile
Njo leoWako poa nahamia soon
Heshima yako mkuu Lituye.Wajanja tuu hao wanavuta Wateja kwanza halafu watupige badae Kama wenzao wanavyo Fanya. Nchi sisi wanyonge hatuna mtetezi ni kupigwa tuu.
Kweli mkuu, wacha wabaki huko, haloooooooooooooo poa sanaTukiwa wengi network itakuwa slow, waache hukohuko
kivipi sio ?Hawa watu siyo kabisa bora kubaki na mitandao yetu ile ile
Nilikuwa na line yao nikaisahau sehemu for 1 month nikaja kurudi kuitumia kwa kuweka vocha ikagoma kuwapigia wanaanza kuniambia sijawahi itumia toka niinunue wala kuweka vocha ikabidi niwashangae kwanza na kuwapa mtiririko wa jinsi nilivyoitumia, hitimisho lao wakaniambia niinunue mpya tu sababu hii namba yangu imerudishwa dukani nikawaambia basi nai-renew wakasema haiwezekani just buy another one. Wala sijajishughulisha kwenda kwenye dukani laokivipi sio ?
pole mkuu, hapo jamaa wamechemkaNilikuwa na line yao nikaisahau sehemu for 1 month nikaja kurudi kuitumia kwa kuweka vocha ikagoma kuwapigia wanaanza kuniambia sijawahi itumia toka niinunue wala kuweka vocha ikabidi niwashangae kwanza na kuwapa mtiririko wa jinsi nilivyoitumia, hitimisho lao wakaniambia niinunue mpya tu sababu hii namba yangu imerudishwa dukani nikawaambia basi nai-renew wakasema haiwezekani just buy another one. Wala sijajishughulisha kwenda kwenye dukani lao
Asante mkuu... wacha wanao utumia waendelee mimi washa nitumbukia nyongo hawapole mkuu, hapo jamaa wamechemka
Ungeeleza kwa undani zaidi juu ya aina zavifurushi vilivyopo na bei zake ili tulinganishe na vifurushi vya mitandao tuliyomo.halotel kwasasa ndo mtandao unaondena na maisha ya watanzania...vifurushi vyao vinaridhisha siyo vya kinyonyaji kama vya mitandao mingine...
kwale wenzangu na mimi tunaotumia mtandao wa vodacom tujitathimini upya kwani nahisi kama tunanyonywa zaidi.kwa ufupi vodacom ni ile ile..tumeipenda wenyewe acha tuisome namba...ila mimi nahamia Halotel kuanzia leo