Watanzania tubadilike

Dejane

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
50,286
70,694
Screenshot_2016-12-28-10-23-56-1.png
hii tabia ipo sana
 
hahaha.....asa si anampa ushuhuda kam yeye anahisi kateseka zaid kuliko wengneee.au ye alitaka aambiwe kwamba anaweza akamsaidia...huo ungekuwa unafiki pia.
 
Haaaa haaa kumjibu hivyo ni kama njia moja wapo ya kumfariji ili ajione yeye ana afadhali angalau.
 
Haaaa haaa kumjibu hivyo ni kama njia moja wapo ya kumfariji ili ajione yeye ana afadhali angalau.
Basi Iceman 3D ndio ana tabia ya kujibu hivyo ,jana nilimuambia kua nna shida kwelii hehee akaniambia we mbona huna shida mim nna shida balaa hapa nilipo
 
Boss unamwomba akupatie increment ya mshahara baada ya kusota bila kwa miaka mitano, anakuja na jibu kuwa afadhali wewe miaka mitano tuu,Mimi unakaribia miaka kumi.
 
Boss unamwomba akupatie increment ya mshahara baada ya kusota bila kwa miaka mitano, anakuja na jibu kuwa afadhali wewe miaka mitano tuu,Mimi unakaribia miaka kumi.
Ahahahahha yaan ni shidaa
 
Back
Top Bottom