Watanzania tuamue: Uhaba wa Mafuta NEVER AGAIN!

kichwat

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
1,819
587
kuna dalili za kile kikundi kurudia mgomo wa kuuza mafuta. Lakini kwa kiasi kikubwa chanzo cha tatizo ni Watanzania wenyewe kwa kuwa na sura zinazosomeka 'tufanyie lolote'
 
hivi kiburi hiki wanapewa na nani????
au ndiyo wale wanaotoa michango mikubwa
kwenye kampeni za uchaguzi mkkuu ktk chama
tawala, kiasi ambacho wanakuwa na jeuri ya
kumkaripia mkuu wa nchi asipotii matakwa yao?

ndiyo hawahawa waliokuwa wanachakachua mafuta, serikali iliwashindwa ikaamua kupandisha bei ya kerosene ili kunufaisha busmen, na kuumiza walio the poor wengi wanaotumia kerosene

aaaaaaaaah!!!!!!!! SERIKALI YETU WAKATI MWINGINE INAKERA JAMAA!!!!, YYYUUUUUU!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom