Kufanya biashara ya Kuonesha Mpira wa miguu; Fursa iliyoko nje ya pazia!
Mpira wa miguu ni mchezo unaopendwa sana hapa duniani. Ni mchezo pekee ambao unawashabiki wengi tena wa Lika zote has hasa vijana wakiongoza.
Hapa nchini Tanzania; Wanaume ndio wanaongoza kwa kushabikia mpira kuliko wanawake. Hapo zamani; simba na Yanga zikicheza; ulikuwa unakuta watu wengi kwa makundi wakisikiliza mpira huo kwenye radio. Walikuwa wakipata burudani kwa njia ya masimlizi na si kutazama.
Kwa miaka ya sasa baada ya technologia kukuwa na utandawazi wake; mambo yamebadilika. Kwa sasa radio si ishu tena kusikilizia mpira imebaki ziliendwa! Kwa maeneo mengi sana ya mijini na vijijini mpira huangaliwa kwenye Luninga ( TV).
Kwa sasa; watanzania hufatilia kwa ukaribu lingi maarufu sana na pendwa zenye virabu vikongwe na vikubwa duniani. Ligi hizo ni kama :
1. Ligi za wingereza:
Haya ni mashindano ambayo hukutanisha virabu vikuu ( top 4) za kila ligue la nchi fulani barani Ulaya. Kumbe UEFA huchezwa na virabu vilivyopo barani Ulaya kwa sharti kiwa kira kirabu kitakachoshiriki ligi hii lazima kiwe kwenye top 4 kwenye ligi ya nyumbani.
Kwa sharti hili; EUFA huwa mashindano matamu na ya hasa kuangalia kwani hukutanisha virabu vyenye uwezo mkubwa wa kusakata kandanda ( Big clubs) hivyo kuleta big matches.
Mashindano hayo toka yanaanza yanakuwa na hamasa kibwa sana mpaka yamatia nanga mwezo wa tano.
Wapenzi wengi wa mpira kwao bora wakose chakula kuliko kukosa kuangalia kwenye TV mechi hizi hata kama zinacheza mida mobovu ya usiku mida ya saa tano ila utakuta watu wakifurika maeneo ya kuoneshea mpira.
7. Europa championship
8. Copa America Centanerio
9. World Cup ( Kombe la Dunia)
N.k
Ndugu Msomaji; kama urikiwa ujui ni kwamba kupitia mpira wa miguu watu wengi hutengeneza sana pesa kila Week end ( juma mosi na juma pili) kwani virabu vyote nilivovitaja hapo juu hushuka viwanjani kila week end. Na watazamaji hulipa kwa kawaida sh. 500 kwa mechi ndogo yaani mechi isiyo na ushindani au mvuto kwa mfano: Barcelona VS Eiber; Chelsea VS QPR au PSG vs Rennes.
Kiingilio cha sh. 1000 hutozwa kwa big matches yaani timu mbili kubwa zinapokutana. Kwa mfano: Barcelona VS Real Madrid; Arsenal VS Man U; Man City VS Liverpool au Germany VS Brazil.
Watazamaji hufulika sana kwenye vibanda vya kuoneshea mpira. Iwe mchana au usiku wa manane. Watu huacha familia zao na kwenda kuangalia mpira.
Kwa sasa mpira umekuwa starehe kuu kwa jamii. Mpira umekuwa burudani kuu kwa jamii za kitanzania.
Ujio wa kamari wa Kubashiri ( betting) nako kimenogesha sana mapenzi ya mchezo huo. Watu wengi kwa sasa hubeti ( betting nayo fursa nyingine) na wanapokuwa wamebeti wengi hupenda kwenda kutizama mechi walizozibetia.
Kama una ndoto za kufungua kibanda ( Soccer academy) ya kuoneshea mpira; basi fata hatua hizi:
1. Andaa mtaji wako yaani budget.
2. Chagua jina zuri na la mvuto la kuita Center yako. Hii inaitwa Brand Name. waweza kuita centa yako majina kama haya: Amsterdam Academy; Soccer Academy; Laliga; Football Academy; Old Traford; Jina la sehemu ulipo ikifatiwa na Academy; Soccer Academy. Mfano: Kyela Soccer Academy; Mererani Soccer Academy; Tandale Soccer Academy; Arusha Academy; Bukoba Academy n.k.
3. Tafuta sehemu ya kujenga banda la kuoneshea mpira. Eneo hilo lazima liwe center au liwe la kufikika na la usalama.
- Banda lako lazima liwe la kisasa lenye kuingiza na kutoa hewa. Weka Fane kila mahal; Viti waweza kutumia vya plastic au ukatumia banch. Epuka kuwa na upungufu wa viti maana wateja wanaposiama huchoka maana mpira unachukua zaidi ya lisaa moja na nusu. Weka sakafu nzuri chini na ukiweza weka marumaru ( tiles)
- Nunuwa Generator kwa ajiri ya emergency ya katizo la umeme.
- Uja Vocha hasa hasa za Halotel kwani watazamaji wengi hukuta wako bize wakichezea simu zao upande wa Internet wakicheki taarifa za mpira hivo huhitaji Data zaidi na walowengi hutumia mtandao wa halotel.
- Mwanga wa kitosha uwepo maeneo ya sehemu ya kuangalia mpira kuepuka vibaka usiku maana mechi nyingi huchezwa usiku.
Mbinu na Mikakati zaidi ya kushika wateja
Vile vile kama saa 11 jioni kuna mechi baina ya Chelsea na Man United na huku kuanzia saa kumi kuna mechi ya Crystal palace vs Burnley inacheza basi wateja waruhusu waingie waangalie hii mechi bure huku wakisubiri mechi inayofata ya Chelsea.
N.b Epuka kukaba na penati. Maana yake Epuka kuonesa kuwa wewe una uchu wa pesa na unakaba kila senti. Vimechi vingine wala havina mvuto na mashabiki hivo toa kama free entry kwa wateja.
Makelele na Tambo za mashabiki ndo.huwavuta wengine kuja kuangalia mpira sehemu.
Usione noma kupoteza hiyo 5000 ya kiingilio cha hao watu 5 huku umeingiza Laki moja na nusi kwa.mechi moja!
Faida utaipateje!
Kama kawaida; kifurushi champira kwenye DST huanzia elfu 80 hadi 150000 kwa mwezi.
Kwa waaofanya biashara ya kuonesha mpira hii pesa huirudisha kwenye kiingilio cha mechi moja tu. Hebu ona kwa mfano: Mechinya Manchester united Vs Arsenal. Utapata watazamaji zaidi ya 150. Na kwa kuwa hii ni big mechi basi kila mmoj atatoa kiingilio cha sh 1000 hivo basi utapata zaidi ya laki na nusu. Na hapo ni Mechi moja kwa siku. Sasa mwezi mmoja una big mechi ngapi? Una mashindano mangapi maarufu!?
Kwa taarifa yako; Wanaofanya biashara ya kuonesha mpira siki za Week End ( Juma Mosi na Juma pili) kwao ni siku za mavuno kianzia mchana hadi usiku. Pia kati kati ya wiki kunakuwaga pia na mashindano mbali mbali hivo huvuna mapesa pia maradufu.
Viva Football!

- Premier Ligi
- Championship ligi
- ligi one
- ligi two
- Community ligi . etc
- Laliga
- 1st segunda
- 2nd segunda
- 3rd secunda . etc
- Bundasliga. etc
- Ligue 1
- ligue 2
- National conferance. etc
- Serie A
- Serie B. etc

- Vifaa.
- Nunuwa Generator kwa ajiri ya emergency ya katizo la umeme.
- Vitu vingine vya ziada
- Uja Vocha hasa hasa za Halotel kwani watazamaji wengi hukuta wako bize wakichezea simu zao upande wa Internet wakicheki taarifa za mpira hivo huhitaji Data zaidi na walowengi hutumia mtandao wa halotel.
- Mwanga wa kitosha uwepo maeneo ya sehemu ya kuangalia mpira kuepuka vibaka usiku maana mechi nyingi huchezwa usiku.
Mbinu na Mikakati zaidi ya kushika wateja
- Toa free matches .
Vile vile kama saa 11 jioni kuna mechi baina ya Chelsea na Man United na huku kuanzia saa kumi kuna mechi ya Crystal palace vs Burnley inacheza basi wateja waruhusu waingie waangalie hii mechi bure huku wakisubiri mechi inayofata ya Chelsea.
N.b Epuka kukaba na penati. Maana yake Epuka kuonesa kuwa wewe una uchu wa pesa na unakaba kila senti. Vimechi vingine wala havina mvuto na mashabiki hivo toa kama free entry kwa wateja.
- Weka marefari. ( wanapropaganda)