Watanzania tuache chuki na roho mbaya

minded tips

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
475
847
SIKU TUTAKAPOACHA UBINAFSI' CHUKI,DHARAU NA ,MAJIVUNO NDIO HAPO MUNGU ATAKAPOBARIKI JUHUDI ZETU PENGINE IKAWA CHANZO CHA MAFANIKIO YETU

ni aibu kuamini kua wazazi wetu ndio wanapenda tufanikiwe na sio watu tofauti na hao!!! na tunasema hayo kwa sababu tunachukiana sana mtu hapendi kuona mwenzake anafanikiwa au anapiga hatua HIVI NI PEPO AU MBINGU YA NANI UTAENDA IKIWA MOYO WAKO UMEBEBA CHUKI NA VISASI?TENA WENGINE MPAKA UNAFIKIA HATUA YA KUWALOGA WENZENU ILI WASIFANIKIWE Ndugu zangu dunia ni mapito tu sio makazi ya kudumu tuish kwa wema
 
Unahitaji ushauri nasaha vinginevyo kuna siku utajiua.
 
Third world country.....umasikini, ujinga, na maradhi ndio sehemu ya maisha yetu...nenda sehemu kama usukumani huko kuna watu wana maisha magumu balaa..halafu wana hasira hao ( panic disoder)...😁😁😁😁
 
Hapa duniani Kuna mawili ...

Either utese wewe au uteswe ...

Hakuna usawa ...

Ubaya ubaya tu ,full ubinafsi ,roho mbaya ,kuombena mabaya ,kufanya mtu ateseke .....hii ndio dunia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom