Watanzania tu wapole kiasili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tu wapole kiasili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzambia, Feb 1, 2011.

 1. m

  mzambia JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35

  Machinga Complex haina watu, Shule za Kata Hazina wanafunzi, Mahospitalini, hatuna madawa, Madaktari hawatoshi, umeme full mgawo, yaani wasipokata tunashangaa,matokeo ya kidato cha nne shule za Serikali hoi, Kama hakuna foleni eti tunashangaa....Pamoja na hayo yote Still tunataka kulipa Bilioni 94 za Dowans. Kigumuuuuuu Chama Chetu Kigumuuuuuuuu
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Sorry shule za kata hazina walimu nisahihisheni hapo juu
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  umesahau kitu kimoja mkuu.............

  Tangu JK aingie madarakani kwa mara ya 2 walalahoi wa Dar Es Salaam hawajawahi kupata maji ya DAWASCO.
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280

  ujakosea mkuu. yote ni sahihi.
   
Loading...