Nimekuwa nikijiuliza swali hili muda mrefu, nikaona si vibaya nikipata mawazo toka kwa watu mbalimbali, je sisi watanzania ni mambo yapi ambayo tunaweza kujivuna au kama ni mabaya tunaweza kusema tumewazidi watu wengine afrika mashariki, kusini, au hata ulimwenguni.
Mimi nitaanza
A. Mazuri
1. Watanzania ni wavumilivu sana, waweza mtendea vibaya kitu lakini asi 'react'
B. Mabaya
1. Watanzania wengi ni wavivu, ukitaka kazi iende lazima uisimamie kweli kweli.
Waweza ongeza yako.