Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,435
- 1,967
Umesema ukweli!Mie nathibitisha kwa asilimia 1000% , majority ya watz ni wavivu na wanapenda short cut., kuna minority pia ambao ni wachapakazi haswa!! Uwiii msinishambulie please.
Umesema ukweli!Mie nathibitisha kwa asilimia 1000% , majority ya watz ni wavivu na wanapenda short cut., kuna minority pia ambao ni wachapakazi haswa!! Uwiii msinishambulie please.
Ni kweli mbongo_ halisi baadhi ya watu wa kuajiriwa wanatumia nafasi zao kupiga soga na kufanya mambo mengine yasiyo na tija. Hata, hivyo waliojiajiri hawako hivyo wako makini ila wengi hawasongi mbele labda kwa kukosa ubunifu na mitajiUsishange kuona watu wanahangaika kupanda madaladala kwenda kazini ama wengine wanatembea kuwahi kazini. Suala hapa ni hivi; watu hawa hawa wanaowai kwenda kazini wakifika huko hawafanyi kazi, wao ni domo tu, umbea, kuperuzi wasanii feki (bongo fleva) wamefanya nini jana ili wawaige wakiwa kazini, ukienda ofisini mwao kufuata huduma hakun wa kukusaidia. Cha kushangaza ukifika huko ofisini kufuata hiyo huduma utakuta watu kila mmoja kwenye computer akiperuzi wasanii wa marekani wanafanya nini. Utakaa unasuburi, ukiuwauliza utawasikia subiri niko bize.
Ni kweli mbongo_ halisi baadhi ya watu wa kuajiriwa wanatumia nafasi zao kupiga soga na kufanya mambo mengine yasiyo na tija. Hata, hivyo waliojiajiri hawako hivyo wako makini ila wengi hawasongi mbele labda kwa kukosa ubunifu na mitaji
Utafiti uliofanyika hivi karibuni na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) umebaini kwamba asilimia 71 ya watanzania wanatumia muda mwingi kufanya shughuli zisizokuwa za uzalishaji mali wala tija binafsi kwao na kwa Taifa kwa ujumla.Sio watanzania wote ni wavivu....Generalization yako ni kitu kibaya sana, angalau ungekuja na current data from recognizable institute kama ofisi ya taifa ya takwimu.....