Watanzania ni wavivu?

Watanzania ni wavivu?

Watanzania ni wachapa kazi milele!
 
Mimi sijamwita mtanzania mwenzangu mvivu na wala sija ilaani nchi yangu Tanzania! Kwa sababu najua fumbo la alaanie mabaya hayata kutoka na ashutumie mwenzie mabaya , yeye ndiyo alivyo...have a nice Sunday!
Hilo la kukiri laana nakubaliana nalo ila ukweli lazima usemwe,Watanzania ni Wavivu sanaa
 
baada ya kupata uhuru mwalimu kwa kujua MINDSETS za wabongo akaja na na falsafa ya UHURU NA KAZI na ndio ilikua salamu UHURU!!!....NA KAZI!!.kwamba, ndiyo, tumepata uhuru, lakini uhuru haujakamilika bila ya sisi kufanya kazi.Falsafa inayoendelea mpaka awamu ya mwalimu huyu wa sasa" HAPA KAZI TU"...unapoona falsafa za kukumbushana na kuhimizana kufanya kazi katika jamii fulani zikijirudia rudia ,unaweza kupata mwanga kidogo kama sisi ni wavivu au laa.
 
KWANZA KBSA NAUNGANA NA MTOA MADA! WATANZANIA NI WAVIVU!! WAZEMBE!!WAZITO!! WEPESI WA KULAUMU!!WADANDIA MADA! SIO WACHUNGUZI!!! SIO WAPEMBUZI!! BENDERA FATA UPEPO!!! WAPENDA UDAKU!!WATANZANIA WANATUMIA MUDA MWINGI KUFANYA MAMBO YASIO NA MSINGI! NA KUPENDA KUSHABIKIA UVUMI BILA HATA YA KUUCHUNGUZA UVUMI HUO NA KUUFANYIA UPEMBUZI! WATANZANIA HAWAPENDI KUWAJIBIKA# NI WATEGEAJI MAKAZINI HATAR#KILA MARA ANA UDHURI MARA NAUMWA MARA MSIBA MARA HIKI ILI MRADI ASIFANYE KAZI! NA ANATAKA MWISHO WA MWEZI APEWE PESA YAKE TENA KWA WAKATI!WATANZANIA WANAPENDA WAKAE TU WARELAX!! NI WAVIVU HATAR KATIKA AFRIKA MASHARIKI WATZ NO 1 KWA UVIVU AKA MAMWINYI

KIUJUMLA! THE NEW GOVERNMENT INAKWENDA KUGEUZA TAIFA KUWA TAIFA LA WAFANYA KAZI! HAKUNA MUDA WA MAJUNGU NA LAWAMA,UZEMBE NA UVIVU TENA LAZIMA KUFANYA KAZI!#TZ GOING TO BE A WORKING NATION#NO MORE UZEMBE NA UVIVU HAPA NI KUJITUMA NA KUFANYA KAZI TU!
 
Waafrika ama watu weusi kwa ujumla tuna matatizo sana tena sugu

Sisi ni wa hovyo mbele ya races zingine
Halafu matatizo yetu yanafanana, iwe hapa Afrika, USA, Australia, Visiwa vya Caribbean, Ulaya, Haiti na kwingineko ni yale yale. Uvivu, kulalamika tunaonewa, ufisadi wa kutisha, wivu na kutopendana, ushirikina na kupenda vya bure. Pengine ni mfumo wetu wa kufikiri ndiyo tatizo. Pengine ni historia yetu. Pengine ni laana ya Mungu...Hata sijui sababu ni nini
 
Hilo la kukiri laana nakubaliana nalo ila ukweli lazima usemwe,Watanzania ni Wavivu sanaa
Katika kitabu kitakatifu Biblia kuna sehemu Nabii Elisha alimfufua mtoto ambaye mama yake yule mtoto hakukiri hata mara moja kwamba mtoto wake amefariki!
 
Halafu matatizo yetu yanafanana, iwe hapa Afrika, USA, Australia, Visiwa vya Caribbean, Ulaya, Haiti na kwingineko ni yale yale. Uvivu, kulalamika tunaonewa, ufisadi wa kutisha, wivu na kutopendana, walalamikaji, ushirikina na kupenda vya bure. Pengine ni mfumo wetu wa kufikiri ndiyo tatizo. Pengine ni historia yetu. Pengine ni laana ya Mungu...Hata sijui sababu ni nini
Waafrika tumeumbwa kutawala dunia! We are good in controlling other people's minds, lakini hawa watu wengine wakawa wajanja wakatuletea vitu vya ku memorize, iko siku tutafika tu! Mama Africa ameamka!
 
Katika kitabu kitakatifu Biblia kuna sehemu Nabii Elisha alimfufua mtoto ambaye mama yake yule mtoto hakukiri hata mara moja kwamba mtoto wake amefariki!
Mkuu ninaiamini Biblia pasipo shaka yoyote ila hapa nazungumzia Ukweli na Uhalisia kuwa watu weusi tuna Uvivu mbaya sanaa.
 
Mkuu ninaiamini Biblia pasipo shaja yoyote ila hapa nazungumzia Ukweli na Uhalisia kuwa watu weusi tuna Uvivu mbaya sanaa.
Huyo mama hakukiri kwamba mwanae amefariki , na alifufuliwa! Sasa wewe unakiri.. kazi kwako! Tuyaache, uwe na siku njema!
 
Have faith people tusikiri udhaifu wa aina yeyote hata siku moja!
 
Unataka nisikiri kuwa WATANZANIA NI WAVIVU, wakati Tafiti zinathibitisha hilo?
Believe what you believe na iwe kwako na kizazi chako milele yote!
 
Believe what you believe na iwe kwako na kizazi chako milele yote!
I believe in the TRUTH, so long has been passed in some findings and experiences...I call them FACTS

Japan ni kati ya nchi 8 Tajiri sana Duniani, waligundua Robots wanaofanya kazi wa kutosha kuanzia miaka ya 80 mwishoni

Ila mpaka leo hii wananchi wa Japan wanafanya kazi kwa zaidi ya Masaa 8 kila siku.

Watanzania wengi ambao ni watu masikini sana wanafanya kazi masaa manne (4) kwa siku.
 
I belive in the TRUTH, so long has been passed in some findings and experiences...I call them FACTS

Japan ni kati ya nchi 8 Tajiri sana Duniani, waligundua Robots wanaofanya kazi wa kutosha kuanzia miaka ya 80 mwishoni

Ila mpaka leo hii wananchi wa Japan wanafanya kazi kwa zaidi ya Masaa 8 kila siku.

Watanzania wengi ambao ni watu masikini sana wanafanya kazi masaa manne (4) kwa siku.
f8f51f275126b91fc646530445886d2a.jpg
 
Kuna madai au imani iliyojengeka kuwa Watanzania au Waafrika kwa ujumla ni wavivu. Dhana hiyo inanipa shida kwani naona watu wengi wanahangaika sana ili kukidhi mahitaji yao. Je ni kweli Wa TZ wengi ni wavivu au wanakosa tu mbinu?


Usishange kuona watu wanahangaika kupanda madaladala kwenda kazini ama wengine wanatembea kuwahi kazini. Suala hapa ni hivi; watu hawa hawa wanaowai kwenda kazini wakifika huko hawafanyi kazi, wao ni domo tu, umbea, kuperuzi wasanii feki (bongo fleva) wamefanya nini jana ili wawaige wakiwa kazini, ukienda ofisini mwao kufuata huduma hakun wa kukusaidia. Cha kushangaza ukifika huko ofisini kufuata hiyo huduma utakuta watu kila mmoja kwenye computer akiperuzi wasanii wa marekani wanafanya nini. Utakaa unasuburi, ukiuwauliza utawasikia subiri niko bize.
 
Nadhani ni joto kali, unakuwa kama umepigwa ganzi vile. Serikali ipitishe sheria kuwa kila nyumba iwe na AC!
 
Back
Top Bottom