UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 8,732
- 7,965
Weka na wewe orodha yako basi ili tujadili.Philipi Mpango ni babu jinga. Hana karama za uongozi. Majaliwa low IQ. Luhanga simjui ila kiongozi akitokea CCM siyo rahisi kuleta mabadiliko. CCM imeshaishiwa, inatakiwa iondoke tuanze upya.