Watanzania ni ignorants au tumelogwa? Oktoba 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?

Wanabodi,

Mtanisamehe sana kwa kuanza huu mjadala kwa maneno makali, kuwa ina
wezekana kabisa sisi Watanzania tulio wengi ni "ignorants!", vichwa maji kabisa!, vichwani ni weupe na watupu!, uwezo wa kufikiri kwa kina (deep thinking). na kufikiri ka tafakuri, ("logical thinking"), ni mdogo!, wengi ni sifuri kabisa, ndio maana hatuna uwezo wa kufanya maamuzi ya maana, "informed decisions", hali inayopelekea, tunapelekwa pelekwa tuu kama ling'ombe, au tufanywa mazuzu!, kiasi kwamba, wengi wetu tunadanganyika kwa viahadi vidogo vidogo ambavyo ni non issues, na immaterial, ambazo sio chanzo bali ni matokeo tuu, badala ya kudeal na issue zenyewe ambazo ndicho chanzo, kilizopelekea haya yatokanayo, havishungulikiwi, havizungumzwi!, haviguswi!.

Hii ignorance ya Watanzania ina cut across society yetu na ku reflect ndani ya kila sekta ya jamii yetu kuanzia ndani ya familia zetu, mitaa yetu, vitongoji vyetu, vyama vyetu, ndani ya bunge letu, hadi ndani ya cabinet yetu!, tuna wabunge ma ignorants mule!, tuna viongozi wetu ma ignorants ndani ya cabinet yetu!, tuna viongozi wa taasisi za umma zenye dhamana ambao ni ma ignorants hadi, tuna viongozi wetu wa vyombo vya dola ikiemo mihimili ambao pia ni ma ignotants, na wana jf wengi tuu pia ni ignorants tuu, nikiwemo mimi mwana JF, ninayeandika hapa, Pasco wa jf, pia ni ignorant tuu!, ila tofauti yangu na wengi
wa maignorants wenzetu, wao wanajikalia kimya, hivyo kuificha hiyo ignorance yao, lakini sisi wengine ambao kwa bahati mbaya sana, hatukujaliwa aibu, tunaionyesha hiyo ignorance yetu kwa ku speak out and expressing our minds, tatizo, ni, in so doing, tunajikuta tumewaambukiza ignorance, hata wengine ambao hawakuwa ignorants!. Sorry for this.

Ni kufuatia ignorance hii, Chama cha Mapinduzi, (CCM), kinaitumia ignorance hii ipasavyo kwa kuifanya ndio mtaji wake wa kupatia kura za ushindi, mwaka hadi mwaka, na October
25 tutaichagua tena CCM kwa kuipa ushindi wa kishindo!.

Hisia za kujiuliza, kama sisi ni ma ignorants au tumelogwa, ni kufuatia kuwa na mtazamo, ya kuwa haiwezekani, watu wenye akili zao timamu, wakafanyiwa mambo ya ajabu ajabu kama haya, tunayofanyia na CCM lakini bado tunaichagua CCM tena na tena!, na October
25, tutaichagua tena!.

Tulipopata uhuru miaka ya 60, maadui wetu wakuu watatu, walikuwa ni Ujinga, Umasikini na Maradhi, lakini hadi leo miaka zaidi ya 54 baada ya uhuru, sio tuu, wale maadui wakuu watatu bado wapo, bali ujinga umeongezeka mara dufu, umasikini sasa ni uliotopea, kila siku ni afadhali ya jana!, na maradhi hadi mengine ni janga, vimeongezeka afadhali ya zamani na enzi za mkoloni, bali pia, tumeongeza idadi ya maadui wakuu, wakiwemo rushwa na ufisadi, ambapo mazao yake ni pamoja na DCP, Deep Green, Meremeta, TanGold, Alex Stewart, EPA, Richimond, Escrow etc, etc.

Tulijiwekea misingi yetu mikuu minne ya maendeleo kuwa ili tuendelee, tulihitaji vitu vinne: Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora!. Kwenye hiyo misingi, tulisema Pesa sio msingi, pesa ni matokeo!, hili ndilol lililokuwa kosa pekee la Mwalimu, kutofautiana na misingi ya ukweli ya uchumi, kama ilivyofundishwa na Adam Smith (land, labor, capital na interpreneureship)!. Kwenye ile misingi minne tulidharau capital kwa kudai "pesa sii msingi bali pe
sa ni matokeo!".

Watu tunao na ardhi ya kutosha, yenye rutuba, vyanzo lukuki vya maji, madini, maliasili etc etc tunazo. Tulikuwa na tatizo kidogo la utekelezaji wa siasa safi ya Ujamaa na Kujitegemea na uongozi bora, ndio maana nchi tulizopata nazo uhuru, ile miaka ya 60, wao wakiwa ni masikini wa kutupwa kuliko sisi, with nothing, kana Tiger nations, leo wako mbali!, sababu pekee iliyowafikisha wenzetu pale walipo, wakati sisi tunaendelea kupiga mark time ni Elimu!. Sisi tulitaja tuu kuwa Ujinga ni adui, lakini we never invested on Elimu because we had no capital!. Nyerere aligombana na maprofesor wa uchumi, Kina Prof. Rweyemamu, wakajitimkia zao, akagombana Edwin Mtei na IMF, WB etc matokeo sote tunayajua!.

Kitu kizuri cha ajabu kuhusu sisi Watanzania ni kujifanya kupiga kelele sana as if tunauchukia umasikini, ujinga, maradhi, rushwa na ufisadi, lakini sisi wale wale, mwaka hadi mwaka, tunawachagua watu wale wale, chama kile kile, sera zile zile, tukitegemea matokeo tofauti!, hii ni nini kama sio ignorance at the highest levels?!. Keshokutwa October
25, 2015, tunamalizia kazi, kwa kuirudisha CCM kwa ushindi wa kishindo!.

Namalizia k
wa kukumbushia hili swali, are we really this ignorant?!, kwa kuchagua tuu ili mradi ni kuchagua, or this time, around tutaonyesha tumeerevuka angalau kidogo, hivyo tutachagua kwa sababu ya kuchagua, yaani kufanya informed decision?!, na sio kujichagulia tuu alimradi tumechagua!.

Na
watakia Jumamosi Njema.

Pasco

Aisee umeeeleza meeengi lakini sijakuelewa. Kwa hiyo unashauri tuchamgue nani au chama kipi. Nadhani ungejipambanua kwa kutoa solution ungeeleweka. Kwa mawazo yako unadhani mbadala wa ccm ni nani hasa unadhani tukimpa huyu basi tuna imani nchi hii haitafisadiwa tena! Usituandikie vingereza visivyokuwa na mbele wala nyuma sisi ni waswahili tuu. Jiweke wazi maana kuna vyama vingine walau havina hata harufu ya ufisadi mfano ACT yule mama Anna.
 
Tatizo kubwa lipo kwenye kujitambua. Hali tulionayo ktk maeneo yote uliyotaja tunahisi ni majaaliwa ya alietuumba yaani tumepangiwa kua hivyo. Hebu jiulize mama anaekosa hata sehemu nzuri ya kujifungulia hii October ataichagua ccm. Baba anaepeleka mwanae st kayumba ambako hakuna vifaa wala vitabu October ataichagua ccm .Nafikiri tatizo ni kubwa zadi ya tujuavyo
watanzania including some viongozi wetu ni malofa mkichwa.mbaya zaidi tumejengwa katika kushindwa
 
Aisee umeeeleza meeengi lakini sijakuelewa. Kwa hiyo unashauri tuchamgue nani au chama kipi. Nadhani ungejipambanua kwa kutoa solution ungeeleweka. Kwa mawazo yako unadhani mbadala wa ccm ni nani hasa unadhani tukimpa huyu basi tuna imani nchi hii haitafisadiwa tena! Usituandikie vingereza visivyokuwa na mbele wala nyuma sisi ni waswahili tuu. Jiweke wazi maana kuna vyama vingine walau havina hata harufu ya ufisadi mfano ACT yule mama Anna.
sioni kama Hilo ni jukumu la pasco.coz unachojaribu kuonesha hapa ndo hiyo hiyo ignorance aliyoisema pasco.
 
Tafadhali pasco, wewe ni mwandishi wa habari andika taarifa ukiwa umetulia na kujua unachokiandika. Maandishi yako mengi yanajirudiarudia bila msingi wowote, nimechoka na swanglish yako, unarukaruka bila kujua utatua wapi.
wanabodi,

mtanisamehe sana kwa kuanza huu mjadala kwa maneno makali, kuwa ina
wezekana kabisa sisi watanzania tulio wengi ni "ignorants!", vichwa maji kabisa!, vichwani ni weupe na watupu!, uwezo wa kufikiri kwa kina (deep thinking). Na kufikiri ka tafakuri, ("logical thinking"), ni mdogo!, wengi ni sifuri kabisa, ndio maana hatuna uwezo wa kufanya maamuzi ya maana, "informed decisions", hali inayopelekea, tunapelekwa pelekwa tuu kama ling'ombe, au tufanywa mazuzu!, kiasi kwamba, wengi wetu tunadanganyika kwa viahadi vidogo vidogo ambavyo ni non issues, na immaterial, ambazo sio chanzo bali ni matokeo tuu, badala ya kudeal na issue zenyewe ambazo ndicho chanzo, kilizopelekea haya yatokanayo, havishungulikiwi, havizungumzwi!, haviguswi!.

Hii ignorance ya watanzania ina cut across society yetu na ku reflect ndani ya kila sekta ya jamii yetu kuanzia ndani ya familia zetu, mitaa yetu, vitongoji vyetu, vyama vyetu, ndani ya bunge letu, hadi ndani ya cabinet yetu!, tuna wabunge ma ignorants mule!, tuna viongozi wetu ma ignorants ndani ya cabinet yetu!, tuna viongozi wa taasisi za umma zenye dhamana ambao ni ma ignorants hadi, tuna viongozi wetu wa vyombo vya dola ikiemo mihimili ambao pia ni ma ignotants, na wana jf wengi tuu pia ni ignorants tuu, nikiwemo mimi mwana jf, ninayeandika hapa, pasco wa jf, pia ni ignorant tuu!, ila tofauti yangu na wengi
wa maignorants wenzetu, wao wanajikalia kimya, hivyo kuificha hiyo ignorance yao, lakini sisi wengine ambao kwa bahati mbaya sana, hatukujaliwa aibu, tunaionyesha hiyo ignorance yetu kwa ku speak out and expressing our minds, tatizo, ni, in so doing, tunajikuta tumewaambukiza ignorance, hata wengine ambao hawakuwa ignorants!. Sorry for this.

Ni kufuatia ignorance hii, chama cha mapinduzi, (ccm), kinaitumia ignorance hii ipasavyo kwa kuifanya ndio mtaji wake wa kupatia kura za ushindi, mwaka hadi mwaka, na october
25 tutaichagua tena ccm kwa kuipa ushindi wa kishindo!.

Hisia za kujiuliza, kama sisi ni ma ignorants au tumelogwa, ni kufuatia kuwa na mtazamo, ya kuwa haiwezekani, watu wenye akili zao timamu, wakafanyiwa mambo ya ajabu ajabu kama haya, tunayofanyia na ccm lakini bado tunaichagua ccm tena na tena!, na october
25, tutaichagua tena!.

tulipopata uhuru miaka ya 60, maadui wetu wakuu watatu, walikuwa ni ujinga, umasikini na maradhi, lakini hadi leo miaka zaidi ya 54 baada ya uhuru, sio tuu, wale maadui wakuu watatu bado wapo, bali ujinga umeongezeka mara dufu, umasikini sasa ni uliotopea, kila siku ni afadhali ya jana!, na maradhi hadi mengine ni janga, vimeongezeka afadhali ya zamani na enzi za mkoloni, bali pia, tumeongeza idadi ya maadui wakuu, wakiwemo rushwa na ufisadi, ambapo mazao yake ni pamoja na dcp, deep green, meremeta, tangold, alex stewart, epa, richimond, escrow etc, etc.

tulijiwekea misingi yetu mikuu minne ya maendeleo kuwa ili tuendelee, tulihitaji vitu vinne: watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora!. kwenye hiyo misingi, tulisema pesa sio msingi, pesa ni matokeo!, hili ndilol lililokuwa kosa pekee la mwalimu, kutofautiana na misingi ya ukweli ya uchumi, kama ilivyofundishwa na adam smith (land, labor, capital na interpreneureship)!. Kwenye ile misingi minne tulidharau capital kwa kudai "pesa sii msingi bali pe
sa ni matokeo!".

watu tunao na ardhi ya kutosha, yenye rutuba, vyanzo lukuki vya maji, madini, maliasili etc etc tunazo. Tulikuwa na tatizo kidogo la utekelezaji wa siasa safi ya ujamaa na kujitegemea na uongozi bora, ndio maana nchi tulizopata nazo uhuru, ile miaka ya 60, wao wakiwa ni masikini wa kutupwa kuliko sisi, with nothing, kana tiger nations, leo wako mbali!, sababu pekee iliyowafikisha wenzetu pale walipo, wakati sisi tunaendelea kupiga mark time ni elimu!. Sisi tulitaja tuu kuwa ujinga ni adui, lakini we never invested on elimu because we had no capital!. Nyerere aligombana na maprofesor wa uchumi, kina prof. Rweyemamu, wakajitimkia zao, akagombana edwin mtei na imf, wb etc matokeo sote tunayajua!.

kitu kizuri cha ajabu kuhusu sisi watanzania ni kujifanya kupiga kelele sana as if tunauchukia umasikini, ujinga, maradhi, rushwa na ufisadi, lakini sisi wale wale, mwaka hadi mwaka, tunawachagua watu wale wale, chama kile kile, sera zile zile, tukitegemea matokeo tofauti!, hii ni nini kama sio ignorance at the highest levels?!. Keshokutwa october
25, 2015, tunamalizia kazi, kwa kuirudisha ccm kwa ushindi wa kishindo!.

Namalizia k
wa kukumbushia hili swali, are we really this ignorant?!, kwa kuchagua tuu ili mradi ni kuchagua, or this time, around tutaonyesha tumeerevuka angalau kidogo, hivyo tutachagua kwa sababu ya kuchagua, yaani kufanya informed decision?!, na sio kujichagulia tuu alimradi tumechagua!.

Na
watakia jumamosi njema.

Pasco

Kwahiyo ujanja na werevu na kutokuwa ignorant na zuzu ni kuikabidhi nchi kwa hilo genge la wapiga DEAL likiongozwa na MTEI na UKOO wake???!!CCM imechoka,YES!Lakini Tanzania bado hakuna chama mbadala wa CCM.Tatizo la afya ya akili Tanzania ni kubwa kuliko inavyodhaniwa.Kama mtu anaorodhesha matatizo yake then anaona hilo genge la wapiga deal na watu wenye tuhuma lukuki Lowassa,Rostam Aziz ,Ndessapesa,mtei ndio watatuzi wa matatizo yenu.UZENI NCHI YENU KWA KARATASI.

Wewe ndio yule mbumbumbu (ignorant) Pasco anayemzungumzia.
 
Mkuu tunaomba ccm mtusaidie na kwa Kuwa mnakiri mmechoka tusaidieni watanzania mnataka watu wa eneo gani ndio waanzishe chama ndo mkione kinafaa?nakumbuka mlianza na Nccr,mkaja kwa Cuf Leo mpo na chadema na ukawa na vyote hivi mliviita majina ya ajabu ajabu,mnataka nini hasa na nchi hii?au mnatulazimisha tutafute kuwangoa kwa Nguvu?
Sihitaji kukujibu chochote.Wekeni "demokrasia" hata ya maigizo tu kama iliyopo CCM na heshimu "katiba" yenu hata kinafiki tu mnaweza kuaminika kidogo.Viongozi wa afrika sio kama wa US amma Uingereza kwamba tunaweza kujaribu chama kingine kikiharibu tunarudisha kingine tena.Mnaweza kukuta Kipengele hata cha "ukomo" wa madaraka kimeondolewa.Kama madaraka ya chama ni matamu.Nchi je...
 
Chagua Mama.
Hii itakupa peace of mind maana kwa hawa wengne ambao tunaamin lazma mmoja wao atachukua utajutia kusalitiwa.
Ni bora uje kuishia hta ivyo sikuwachagua mimi.
 
Aisee umeeeleza meeengi lakini sijakuelewa. Kwa hiyo unashauri tuchamgue nani au chama kipi. Nadhani ungejipambanua kwa kutoa solution ungeeleweka. Kwa mawazo yako unadhani mbadala wa ccm ni nani hasa unadhani tukimpa huyu basi tuna imani nchi hii haitafisadiwa tena! Usituandikie vingereza visivyokuwa na mbele wala nyuma sisi ni waswahili tuu. Jiweke wazi maana kuna vyama vingine walau havina hata harufu ya ufisadi mfano ACT yule mama Anna.

Si una ubongo? Au wewe ni 'ignorant' ambae Pasco ameelezea hapo? Kaa chini, tafakari, fanya maamuzi.
 
Ila mwaka huu, ignorants wameshaamua jambo moja tu, MABADILIKO tu. Hapa ni Lowassa na UKAWA tu.

Mwaka huu tuna option moja tu.
Hatuna budi kuichagua hiyo option.

Mabadiliko

Ccm must go. Wanaotaka soft mabadiliko wananishangaza hakuna siku mtakayokua tayari kusema sasa ccm itoke maana Hawa watu ni walaghai Dr. Magufuli ni muongo sana anahaidi kila akionacho ahadi zake zinaweza zidi za kikwete mpaka sasa ameshaahidi mambo ya miaka 29 ijayo kuyatekeleza ndani ya miaka 5. Tumelogwa na aliyetuloga kafa

Asante Mkuu,,Mimi kwa upande wangu wakati Mwingine ninaposafiri huwa inanipa taabu sana kuonesha passport ya Tanzania.na form your information tunakoelekea ni kubaya zaidi kuliko tuliko toka kama tutaendelea na ccm.watu wetu sasa vyuoni na mashuleni wanatoka na vyeti tu badala ya cheti,maarifa na ujuzi.hatari sana

hatuchagui wezi wa nembo wa chama kingine akienda ikulu ataiba zaidi

Mwaka huu mabadiliko hayaepukiki,tumejiondoa ujinga sasa

Mkuu tunaomba ccm mtusaidie na kwa Kuwa mnakiri mmechoka tusaidieni watanzania mnataka watu wa eneo gani ndio waanzishe chama ndo mkione kinafaa?nakumbuka mlianza na Nccr,mkaja kwa Cuf Leo mpo na chadema na ukawa na vyote hivi mliviita majina ya ajabu ajabu,mnataka nini hasa na nchi hii?au mnatulazimisha tutafute kuwangoa kwa Nguvu?

CCM haina jipya. Huwezi kuondoa rushwa, ufisadi, ujinga, maradhi, umaskini na undugu bila kuanza na CCM.

Ukawa daima.
 
Kwahiyo ujanja na werevu na kutokuwa ignorant na zuzu ni kuikabidhi nchi kwa hilo genge la wapiga DEAL likiongozwa na MTEI na UKOO wake???!!CCM imechoka,YES!Lakini Tanzania bado hakuna chama mbadala wa CCM.Tatizo la afya ya akili Tanzania ni kubwa kuliko inavyodhaniwa.Kama mtu anaorodhesha matatizo yake then anaona hilo genge la wapiga deal na watu wenye tuhuma lukuki Lowassa,Rostam Aziz ,Ndessapesa,mtei ndio watatuzi wa matatizo yenu.UZENI NCHI YENU KWA KARATASI.
Mkuu,unaposema hakuna mbadala wa ccm wakati hao unao wakataa karibia wote ni wana ccm, wapo ccm miaka yote na ccm haikuwahi kuwaona ni tatizo! nongwa imekuja pale walipo tofautiana. ni wana ccm hao tena wengine wamesimamishwa na ccm majimboni wewe unawaita wapiga dili! sasa unaitengaje ccm na kupiga dili?. Amini nakwambia ccm wangebaki wamoja usingesikia kauli za nitaanzisha mahakama ya mafisadi!, hata wanapo taja ufisadi si katika mahana ya upana wake, wanaongelea ufisadi ktk muktadha wa kumlenga aliye tofautiana nao!!!!!!!!!!!!!. sioni utashi ccm wa kuzua upigaji dili kwani wapigaji wapo ndani na hata wale wa nje ya chama nao salekali ya ccm imeshindwa kuwakamata. siku zote nchi yetu imo mikononi mwa wapigadili hivyo hakuna ajabu kama wataingia wapiga dili wengine kwa jina tofauti.
 
Uloi nga mâché68;14039613 said:
Tunajitambua sana ila hatuwezi kuitoa Nchi kwa chama cha Ukanda na Makabila mawili!

"Watanzania Ñî wavivu wa kufikiri" - James Mbatia

"Watanzania wengi Ñî walemavu wa fikra"- Reginald Mengi

Kila unachoambiwa na maccm unona Ñî kweli.

Amka wewe. Ñî wakati wa mabadiliko.
 
Uandishi wako unaudhi kwa kuwa unaandika october 25 tutaichagia tena na unarudia mara nyinginyingi kama vile umo kwenye maamuzi yetu. Bora ungeweka kwenye mfumo wa swali. Jifunze mbinu za kuwa mwandishi mzuri
 
Sihitaji kukujibu chochote.Wekeni "demokrasia" hata ya maigizo tu kama iliyopo CCM na heshimu "katiba" yenu hata kinafiki tu mnaweza kuaminika kidogo.Viongozi wa afrika sio kama wa US amma Uingereza kwamba tunaweza kujaribu chama kingine kikiharibu tunarudisha kingine tena.Mnaweza kukuta Kipengele hata cha "ukomo" wa madaraka kimeondolewa.Kama madaraka ya chama ni matamu.Nchi je...
pole ndugu yangu.ufahamu wangu mdogo unaniambia mfumo wa vyama vingi umeanza mwaka 1992,miaka 15 baada ya ccm kuanzishwa na kurithi madaraka ya kuongoza nchi toka kwa TANU na ASP,kwa maana nyingine ccm ni baba wa siasa za Tanzania,ninaoumia sasa ninapo ona baba akijilinganisha na mtoto.kama baba angekuwa anajitambua kiukweli kwa Kuwa kwake na democrasia ya magumashi una tarajia wanae watakuwa na democrasia ya aina gani.yaani wewe unategemea mtoto afanye vizuri kuliko baba ili baba ajifunze kwa mwanae?mimi nilitarajia wapinzani tuwasifu kwa hicho kidogo walichoweza kukionesha.

Naomba nirudie tena,pole sana ndugu yangu
 
Ni kweli naliona hilo genge.Ndio maana mimi na watanzania wenzangu tunaona ni bora tukaendelea na hili genge tunalolijua mpaka hapo tukapopata mbadala wake kuliko kuingiza Genge jingine tena hatari zaidi.
mkuu shule za kata mmetujengea wenyewe,walimu na vitabu mmetunyima wenyewe,na mwisho mmetupa wenyewe,tumepata vyeti ingawa tume kosa ujuzi na maarifa,ila mwaka huu sijui,let's wait
 
Back
Top Bottom