Watanzania ni ignorants au tumelogwa? Oktoba 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?

Uzee mwema..
Asante, tena nimejifunza, akiyaanza mambo mapema, wanao nao wanapita mule mule!. Mimi nilioa at 25, nimejaaliwa kupata watoto 9, wakubwa watatu wa mwanzo, kila mmoja ana watoto 2!, hivyo hata before 60 tayari ni babu wa wajukuu 6!.
p
 
Wanabodi,

Mtanisamehe sana kwa kuanza huu mjadala kwa maneno makali, kuwa inawezekana kabisa sisi Watanzania tulio wengi ni "ignorants!", vichwa maji kabisa!, vichwani ni weupe na watupu!, uwezo wa kufikiri kwa kina (deep thinking) hatuna!. Uwezo wa kufikiri kwa tafakuri, ("logical thinking"), ni mdogo!, wengi wetu ni sifuri kabisa, ndio maana hatuna uwezo wa kufanya maamuzi ya maana, "informed decisions", hali inayopelekea, tunapelekwa pelekwa tuu kama ling'ombe, au tufanywa mazuzu!, kiasi kwamba, wengi wetu tunadanganyika kwa viahadi vidogo vidogo ambavyo ni non issues, na immaterial, ambazo sio chanzo bali ni matokeo. Badala ya kudeal na issue zenyewe ambazo ndicho chanzo, kilichopelekea haya yatokanayo, havishungulikiwi, havizungumzwi!, haviguswi! Tunahangaika na matokeo.

Hii ignorance ya Watanzania ina cut across section ya society yetu yote na ku reflect ndani ya kila sekta ya jamii yetu kuanzia ndani ya familia zetu, mitaa yetu, vitongoji vyetu, vyama vyetu, hadi ndani ya bunge letu, serikali yetu na ndani ya cabinet yetu!, tuna wabunge ma ignorants mule!, tuna viongozi wetu ma ignorants ajabu ndani ya cabinet yetu!, tuna viongozi wa taasisi za umma zenye dhamana kubwa na maisha ya Mtanzania ambao ni ma ignorants ajabu!, tuna viongozi wetu wa vyombo vya dola ikiemo mihimili ambao pia ni ma ignotants, na wana jf wengi tuu pia ni ignorants tuu, nikiwemo mimi mwana JF, ninayeandika hapa, Paskali pia ni ignorant tuu!, ila tofauti yangu na wengi wa maignorants wenzetu, wao wanajikalia kimya, hivyo kuificha hiyo ignorance yao, lakini sisi wengine ambao kwa bahati mbaya sana, hatukujaliwa aibu, tunaionyesha hiyo ignorance yetu wazi wazi kwa ku speak out and expressing our minds, tatizo, ni, in so doing, tunajikuta tumewaambukiza ignorance, hata wengine ambao hawakuwa ignorants!. Sorry for this.

Paskali
Baadhi ya hoja kuruhusu sisi Watanzania, ni za kweli kabisa!.
P
 
Wanabodi,

Ni kufuatia ignorance hii, Chama cha Mapinduzi, (CCM), kinaitumia ignorance hii ipasavyo kwa kuifanya ndio mtaji wake wa kupatia kura za ushindi, mwaka hadi mwaka, na October 25 tutaichagua tena CCM kwa kuipa ushindi wa kishindo!.
Paskali
Kumbe unaamini nguvu ya CCM ipo kwenye ujinga 😂
Mkuu Gichbo, karibu mitaa hii
P[/size][/font]
 
Hisia za kujiuliza, kama sisi ni ma ignorants au tumelogwa, ni kufuatia kuwa na mtazamo, ya kuwa haiwezekani, watu wenye akili zao timamu, wakafanyiwa mambo ya ajabu ajabu kama haya tunayofanyia na CCM lakini bado sisi wale wale tunaichagua tena CCM na kuichagua tena na tena!, na October 25, tutaichagua tena!.

Tulipopata uhuru miaka ya 60, maadui wetu wakuu watatu, walikuwa ni Ujinga, Umasikini na Maradhi, lakini hadi leo miaka zaidi ya 54 baada ya uhuru, sio tuu, wale maadui wakuu watatu bado wapo, bali ujinga umeongezeka mara dufu, umasikini sasa ni uliotopea, kila siku ni afadhali ya jana!, na maradhi hadi mengine ni janga, vimeongezeka afadhali ya zamani na enzi za mkoloni, bali pia, tumeongeza idadi ya maadui wakuu, wakiwemo rushwa na ufisadi, ambapo mazao yake ni pamoja na DCP, Deep Green, Meremeta, TanGold, Alex Stewart, EPA, Richimond, Escrow etc, etc.

Tulijiwekea misingi yetu mikuu minne ya maendeleo kuwa ili tuendelee, tulihitaji vitu vinne: Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora!. Kwenye hiyo misingi, tulisema Pesa sio msingi, pesa ni matokeo!, hili ndilol lililokuwa kosa pekee la Mwalimu, kutofautiana na misingi ya ukweli ya uchumi, kama ilivyofundishwa na Adam Smith (land, labor, capital na interpreneureship)!. Kwenye ile misingi minne tulidharau capital kwa kudai "pesa sii msingi bali pesa ni matokeo!".

Watu tunao na ardhi ya kutosha, yenye rutuba, vyanzo lukuki vya maji, madini, maliasili etc etc tunazo. Tulikuwa na tatizo kidogo la utekelezaji wa siasa safi ya Ujamaa na Kujitegemea na uongozi bora, ndio maana nchi tulizopata nazo uhuru, ile miaka ya 60, wao wakiwa ni masikini wa kutupwa kuliko sisi, with nothing, kana Tiger nations, leo wako mbali!, sababu pekee iliyowafikisha wenzetu pale walipo, wakati sisi tunaendelea kupiga mark time ni Elimu!. Sisi tulitaja tuu kuwa Ujinga ni adui, lakini we never invested on Elimu because we had no capital!. Nyerere aligombana na maprofesor wa uchumi, Kina Prof. Rweyemamu, wakajitimkia zao, akagombana Edwin Mtei na IMF, WB etc matokeo sote tunayajua!.

Kitu kizuri cha ajabu kuhusu sisi Watanzania ni kujifanya kupiga kelele sana as if tunauchukia umasikini, ujinga, maradhi, rushwa na ufisadi, lakini sisi wale wale, mwaka hadi mwaka, tunawachagua watu wale wale, chama kile kile, sera zile zile, tukitegemea matokeo tofauti!, hii ni nini kama sio ignorance at the highest levels?!. Keshokutwa October 25, 2015, tunamalizia kazi, kwa kuirudisha CCM kwa ushindi wa kishindo!.

Namalizia kwa kukumbushia hili swali, are we really this ignorant?!, kwa kuchagua tuu ili mradi ni kuchagua, or this time, around tutaonyesha tumeerevuka angalau kidogo, hivyo tutachagua kwa sababu ya kuchagua, yaani kufanya informed decision?!, na sio kujichagulia tuu alimradi tumechagua!.

Nawatakia Jumamosi Njema.

Paskali
Atlast kaka mayala umeuona ukweli, for so long very long jamii ya kitanzania imekuwa hivi. thanks to main political party imetuleta hapa, they brainwashed wananchi for so long wamekuwa mazuzu, today jamii hiyo ya mazuzu ndio inatoa product mbovu . Too late to wake up
 
Asante Mkuu,,Mimi kwa upande wangu wakati Mwingine ninaposafiri huwa inanipa taabu sana kuonesha passport ya Tanzania.na form your information tunakoelekea ni kubaya zaidi kuliko tuliko toka kama tutaendelea na ccm.watu wetu sasa vyuoni na mashuleni wanatoka na vyeti tu badala ya cheti,maarifa na ujuzi.hatari sana
Education yetu imeingiliwa na siasa, take look of our PhDs candidates? Bila mabadiliko we are doomed
 
Atlast kaka mayala umeuona ukweli, for so long very long jamii ya kitanzania imekuwa hivi. thanks to main political party imetuleta hapa, they brainwashed wananchi for so long wamekuwa mazuzu, today jamii hiyo ya mazuzu ndio inatoa product mbovu . Too late to wake up
It's never too late to act and do something!.
P
 
Back
Top Bottom