Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,903
Hiyo neema wapeleke kwanza Zanzibar kabla ya baraunaishi kwa matumaini wewe.
Hata walipoleta IPTL waliwaambia watanzaia juu ya neema zijazo
Hiyo neema wapeleke kwanza Zanzibar kabla ya baraunaishi kwa matumaini wewe.
Hata walipoleta IPTL waliwaambia watanzaia juu ya neema zijazo
Wanadhani na bara ni wala urojo kama wao?Lazima uwe punguani kuyaamini hayo.
Hakuna nchi yenye wapumbavu wengi kama hii. Hizo benefits tukikomaa wenyewe zinakuja sio lazima tuuze na kutweza utu wetu kwa waarabu. Haya ni matokeo ya kuwa na kiongozi kipofu asiye maono. Aende kubinafsisha Bandari ya Zanzibar.Makubaliano juu ya uendeshaji na uendelezaji wa bandari zetu ni goli la mbali alilofunga mama yetu raisi Samia.
Sasa mizigo itakuja kwa wingi na kwa haraka ambapo kutasaidia kupungua kwa gharama za bidhaa.
Mapato yetu yataongezeka kwa asilimia kubwa, watanzania wengi wataajiriwa , wataalamu wa kitanzania wataongezeka mara dufu.
Dp world ni wazoefu wa undeshaji wa bandari duniani kote SI wababaishaji, hivyo tutegemee faida kubwa
Kwa ufupi watanzania wote tunakwenda kuneemeka.
Hongera raisi wetu.
Labda wewe ni sehemu ya hao wapumbavu kwani bandari zipi zilizouzwa?Hakuna nchi yenye wapumbavu wengi kama hii. Hizo benefits tukikomaa wenyewe zinakuja sio lazima tuuze na kutweza utu wetu kwa waarabu. Haya ni matokeo ya kuwa na kiongozi kipofu asiye maono. Aende kubinafsisha Bandari ya Zanzibar.
GoodLabda wewe ni sehemu ya hao wapumbavu kwani bandari zipi zilizouzwa?
Ndugu yangu Zanzibar haina sehemu ya kuweka makontenna, Ardhi ndogo hiyo mizigo tutamplekea nani.Jinga mkubwa wewe, mbona bandari zenu za Zanzibar hazipo kwenye huo mkataba wa milele au nyie hamtaki faida?
We chawa hujui kuwa Dubai siyo Nchi? Tumeingiza mkataba na mji wa DubaieMakubaliano juu ya uendeshaji na uendelezaji wa bandari zetu ni goli la mbali alilofunga mama yetu raisi Samia.
Sasa mizigo itakuja kwa wingi na kwa haraka ambapo kutasaidia kupungua kwa gharama za bidhaa.
Mapato yetu yataongezeka kwa asilimia kubwa, watanzania wengi wataajiriwa , wataalamu wa kitanzania wataongezeka mara dufu.
Dp world ni wazoefu wa undeshaji wa bandari duniani kote SI wababaishaji, hivyo tutegemee faida kubwa
Kwa ufupi watanzania wote tunakwenda kuneemeka.
Hongera raisi wetu.
Jidanganye..Makubaliano juu ya uendeshaji na uendelezaji wa bandari zetu ni goli la mbali alilofunga mama yetu raisi Samia.
Sasa mizigo itakuja kwa wingi na kwa haraka ambapo kutasaidia kupungua kwa gharama za bidhaa.
Mapato yetu yataongezeka kwa asilimia kubwa, watanzania wengi wataajiriwa , wataalamu wa kitanzania wataongezeka mara dufu.
Dp world ni wazoefu wa undeshaji wa bandari duniani kote SI wababaishaji, hivyo tutegemee faida kubwa
Kwa ufupi watanzania wote tunakwenda kuneemeka.
Hongera raisi wetu.
Kwa hiyo wabunge wetu ni WAPUMBAVU kwa kukubali na kupitisha jambo ambalo halijakamilika? jambo ambalo serikali na mwarabu HAWAJAKUBALIANA baadhi ya mambo?.Tumeambiwa tusubiri makubaliano.
Waliwekwa na Magufuli ndio maana hawana hofu.Kwa hiyo wabunge wetu ni WAPUMBAVU kwa kukubali na kupitisha jambo ambalo halijakamilika? jambo ambalo serikali na mwarabu HAWAJAKUBALIANA baadhi ya mambo?.
Mkuu hakuna bandari iliyouzwa watanganyika ni waelewa sanaMwambieni mama. Wale mnaowaita wapotoshaji, wametupotosha sana. Yaani nchi nzima watanganyika hawataki neema ya mwarabu. WAMEKATAA KATAKATA bandari zao kuuzwa kwa mwarabu. Bado naamini mama ataungana na wananchi wake nje ya bunge.
Until they fed - up!Tuachane na Neema na faida zote tunazopata juu ya huu mkataba,,, naomba tujikite kwenye mda wa mkataba
DP World watafanya kazi kwa mda gani?
Ni kati ya uongozi mbaya kuwahi kutokea Tanzania mkuuMnampango m-baya na wanachi wanaoishi maeneo ya kigamboni
George bush na mji wa kigamboni
mkataba umekuja kivingine
Vijibweni ,mjimwema ,kibada na maeneo mengine jiangeni kwenda kuishi kisarawe two