Cjui kama umenisoma mpendwa! Sijazungumzia rangi au utaifa..nisome tena vizuri unifahamu.Ukija kwenye public toilets ulimwenguni ni kweli zinakuwa chafu - KAMA HAZINA USIMAMIZI.
Je inakuwaje kwenye nyumba za baadhi ya watu tena wasomi wenye vyeo vyao huwezi kuthubutu kuingia vyooni mwao!
Tatizo kubwa ni kwenye highways. Hakuna toilets za public. Sasa huko msituni ukikutana na za mwenzio sijui inakuaje! Ila nadhani this is got something to do with the texture of our skin
Kuna mtu kaninong'oneza ati watu wengine huvua nguo zote wakaziacha nje
kabla ya kuingia chooni maana akiingia nazo atatoka kama kajifukiza lol!
Kweli "siasa" za vyoo!
chagua tu,au fanya kwa incidents zote,ofisini ungefanyaje,na home ungefanyaje....nyumba za vyumba sita uswazi sio?
au wapi?
officin?
Mzee hii ya leo kali. Itabidi nipige about turn fasta ili nikalisokomeze hilo gogo kunako sehemu-pamoja na kwamba mzigo wenyewe siyo wangu!!!. Eeeee sina jinsi.Eti ,umeingia chooni na kukuta mtu amekata gogo pembeni ya choo muda mfuppi uliopita!!unafikiria na unaamua kuahirisha zoezi la kujisaidia!!ukiwa unatoka,mara mlangoni unakutana na yule mtu(msichana mrembo/mwanaume handsome) unayemtamani siku zote hapo mtaani kwenu,anataka kuingia chooni.je utafanyaje?
wewe kama wewe,utarudi au?Unampisha na yeye akashuhudie
sasa ndo ukute na yeye amebanwa kiasi kwamba hadi anatembea kwa shida.....utamsaidiaje?Mzee hii ya leo kali. Itabidi nipige about turn fasta ili nikalisokomeze hilo gogo kunako sehemu-pamoja na kwamba mzigo wenyewe siyo wangu!!!. Eeeee sina jinsi.
wewe kama wewe,utarudi au?
Hahahaah snowhite, naomba chenchi aiseeee.....