Watanzania Na umarekani

...na kwa jinsi miafrika ilivyo mijitu ya hovyo mpaka dini za kuletewa zinawapagaisha na kuishia kuuana wenyewe kwa wenyewe, kweli miafrika ni mijitu ya hovyo sana hapa duniani!
 
Kwahiyo sipetu ni mjinga kumbe..nimeona kapost hiyo thenks givingi dina kule gram
 

Kaka, wewe unashangaa Thanksgiving, watu wanasherehekea kuanzia Halloween mpaka Diwali! Jambo kubwa hapa ni kwamba sisi tulishakuwa brainwashed, sikukuu nyingi ni za kuiga, kuanzia Christmas, Idd, Mei Mosi, Uhuru, Jubilei sijui ya nini..Mimi sioni skukuu halisi ambayo ni asili yetu hata moja, ZOTE NI WIZI MTUPU!
 

Kwa hakika miafrika ndivyo tulivyo, tuko tayari kujifunika gubigubi kuacha vimacho tu ati ndiyo ustaarabu, tuko tayari kuowa wake wanne na kuwafungia ndani kama wafungwa kwa sababu ndiyo mila za waliostaarabika, tuko tayari kubadili lugha na kuongea za wenzetu ili tuonekane tuko karibu na Mungu!
Miafrika Ndivyo Tulivyo - Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:

pitia bible UTAKuta mambo HAYOHAYO
 
Afrika kuna wamarekani koko, wazungu koko, waarabu koko.....
 
Uzi huu umeletwa kwenu kwa isani ya watu wa marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…