watanzania na mazingaumbwe ya nyongeza ya mshahara

kinya

JF-Expert Member
Feb 20, 2009
495
71
kiukweli hii tamthilia ya nyongeza ya mishara haitoisha leo wala kesho kwa sababu hapa upande wa serikali unataka ulipe kidogo ili wanyakazi waendelee kutomika milele.upande wa wawakilishi wetu nao sidhani kama wana dhamira ya dhati ya kutukomboa zaidi ya kutaka maslahi binafsi kwani tumeshudia mwito wa migomo mara nyingi lakini kwa kutochukua tahadhari za kutosha tunaishia kuahirisha hivyo igizo hili litachukua muda kuisha!
 
Back
Top Bottom